Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.

Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.

Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
 
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema. Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk. Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Kitila ni mtu anayeheshimika katika jamii, sasa wewe unapompigia kampeni za kibaguzi sio jambo la busara.
 
Inawezekana humfahamu ndio maana unasema hivyo
Ninamfahamu sana tu

Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining

remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!
 
Kitila Mkumbo ana upeo mzuri, ni msomi asiye mchoyo wa ufahamu, ni mtumishi wa umma muwajibikaji, unakubali akisema anaipenda tanzania, naamini hana tamaa ya madaraka na hafikirii angalau kwa sasa kugombea urais, kwa maslahi ya taaluma na nchi apate tiketi hatimaye awe waziri, na kadri atakavyotumikia nchi yake atajakuwa rais lakini si ghafla hivi.
 
Ni kweli huyu dogo ni urithi wa utawala, ametulia, anajenga hoja. NI MUADILIFU
 
Kitila Mkumbo ana upeo mzuri, ni msomi asiye mchoyo wa ufahamu, ni mtumishi wa umma muwajibikaji, unakubali akisema anaipenda tanzania, naamini hana tamaa ya madaraka na hafikirii angalau kwa sasa kugombea urais, kwa maslahi ya taaluma na nchi apate tiketi hatimaye awe waziri, na kadri atakavyotumikia nchi yake atajakuwa rais lakini si ghafla hivi.
thanks mkuu...........

jamaa ana quality lakini si sawa kumpeleka ki-voda fasta kwenye nafasi hiyo
 
Huu upuuzi unajengeka miongoni mwa watu kuwa watu wa kaskazini hawafai kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni upofu na ufinyu wa mawazo, soma katiba sifa za kugombea urais ni zipi msikurupe kutoa mada za kipuuzi huku mkivunja katiba?? Mtu anayeingiza ukabila, udini ukanda katika suala la urais au uchaguzi wowote wa kisiasa ajue anavunja katiba na anapaswa kuadhibiwa kwa sheria zilizopo!! Huyu Dr. Mkumbo hana mdomo?? mwacheni muda ukifika atatoa uamuzi kwa kutumia haki yake ya kikatiba lakini msimsemee na kuanza kumhusisha na ukanda na ukabila!!!!
 
Endeleeni kugombana hivyo hivyo..mi nawashauri Mr. Sugu agombee.
Kwanza siyo wa kaskazini.
Pili anafahamika sana na majority ya watanzania.
Tatu,,,,ongezea wewe
 
Kitila Mkumbo ni hazina lakini aandaliwe kwa mwaka 2025.Kwa sasa Dr Slaa hana mpinzani ndani ya chama.
 
Endeleeni kugombana hivyo hivyo..mi nawashauri Mr. Sugu agombee.
Kwanza siyo wa kaskazini.
Pili anafahamika sana na majority ya watanzania.
Tatu,,,,ongezea wewe
Hahaha, Kweli sugu anafaa sana.
 
Kitila Mkumbo ana upeo mzuri, ni msomi asiye mchoyo wa ufahamu, ni mtumishi wa umma muwajibikaji, unakubali akisema anaipenda tanzania, naamini hana tamaa ya madaraka na hafikirii angalau kwa sasa kugombea urais, kwa maslahi ya taaluma na nchi apate tiketi hatimaye awe waziri, na kadri atakavyotumikia nchi yake atajakuwa rais lakini si ghafla hivi.

udsm yupo kitivo gani vile?
 
Agombee kwanza ubunge kwao!tumpime

awakilishe wananchi kwanza mwaya, tupime comitment zake katika utumishi. kaka vipi, aendelee kukomboa vijana udsm, napo ni pazuri kwa kujenga taifa endelevu na la kizalendo.
 
Back
Top Bottom