Dr. Kigwangalla anyang'anywa bastola na polisi nae atishia kujiuzulu ubunge!

Kingwa anataka ajihudhuru ubunge gani tena, wakati mahakama imeshamvua ubunge,
 
Ingependa awe ameshajiuzulu!


Si aende wodini akatibu wagonjwa!
Eti anatishia kujiuzulu!

Hana maana yote zaidi ya kuwa janga kwa jamii yetu!
 
Kama wao kwa wao wanatoleana vya moto,itakuwaje ikihusishwa chama kingine?
Hizo zote ni dalili mbaya za kufa kwa CCM-full matatizo!
 
Licha ya kwamba wote wawili ni Magamba lakini ndugu zangu wanyamwezi mnatia aibu sana kwa kukubali siasa zenu za CCM zimilikiwe na huyu Al Shabaab Hussein Bashe, huyu nitaendelea kumchukia kwa sababu yeye ndio source ya kumpoteza mpiganaji Lucas Selii.
Narudia tena Wanyamwezi mnatia aibu.


Tatizo la CCM ni kumbakumba. Kila taka zinapewa kadi.
Mnategemea amani ipi ukimkaribisha Al shabaab nyumbani kwako. Afadhari Al qaida kuliko msomali. Niwie radhi hii ni fact wala si ubaguzi. Wape miaka 10 nchi inaitwa TANSOMA
 
Dr.kigwangala hamuwezi bashe hata siku moja labda ajaribu kupambana na mke wake bashe mrs mbiki ila kawa bashe hamuwezi hata abebwe na kikwete mwenyewe..huyu said bagaile mwongo sana mwogope mtu anaefoji jina ni hatari sana huyu mutusi.
 
Licha ya kwamba wote wawili ni Magamba lakini ndugu zangu wanyamwezi mnatia aibu sana kwa kukubali siasa zenu za CCM zimilikiwe na huyu Al Shabaab Hussein Bashe, huyu nitaendelea kumchukia kwa sababu yeye ndio source ya kumpoteza mpiganaji Lucas Selii.
Narudia tena Wanyamwezi mnatia aibu.

na rage
 
Uwezo wa kisiasa wa Dr.Kigwangwala ni mdogo sana, kutishia kujiuzuru ubunge ni utoto tena wakizamani sana,

Huo ujinga wa kitoto hata Magufuli aliwahi kujaribu mwisho wa siku watu walimcheka na akajiona mjinga,

Wanasiasa wakomavu ndani ya CCM hawatishii wanafanya mfano ni Lowassa, Rostam nk.

wewe usilololijua litakusumbua, magufu alijiuzulu live kwa barua sema akawekwa kitimoto na mkuu, na kupewa nakoz za uhakika, na barua ya resignation ikakataliwa. usimchezeee magu kabisa anachotaka ndo hicho hicho lazima apewe.
 
Ila watanzania tuna dhambi inatutafuna na ambayo haitatusaidia katika maendeleo, UBAGUZI WA RANGI/KABILA. Mungu atusaidie tuishinde hii dhambi. Ona nchi tena zilizoendelea, mfano Marekani, Uingereza n.k. Kwani Rais wa Marekani asili yake wapi, akina Powel, Rice na wengine Waisrael kibao. Wale wapenzi wa soka mtawakumbuka akina Nasri, Zidane, Nani (tena huyu msomali kabisa) n.k. Amkeni watanzania
 
Dr.kigwangala hamuwezi bashe hata siku moja labda ajaribu kupambana na mke wake bashe mrs mbiki ila kawa bashe hamuwezi hata abebwe na kikwete mwenyewe..huyu said bagaile mwongo sana mwogope mtu anaefoji jina ni hatari sana huyu mutusi.

amshinde mara nagpi? ubunge kamnyanganya tonge kooni, KINGWALA ANAJIPIGIA PROMO TU ILI APEWE UPENDELEO NEC, ndo maana hataki wayasuluhishe ili aendelee kupata promo kwenye media. Na hilo la silaha yake kuchukuliwa ni moja ya promo zake akimshirikisha rijesh. hapo anajua NEC watamuona Bash mkorofi na kuleta propaganda za uzalendo wa kumbeba.
 
Nyote ni magamba jivuweni hamna jipya kazi yenu ni malumbani tangu january mpaka december hamna chochote kipya tokeni wote mtafute kazi nyingine Bashe kauze Hoteli ya baba yako Kahama,na kingwangalla katafute vifuu uchezee. CCM mmeifanya ya kwenu kila ikifika siku za uchaguzi mara nyeupe siyo nzuri; mara paka hana mkia mnaleta malumbano yasiyo na tija kwa chama. Nini hiyo bastola ikitoka inauwa siyo inatishiya nyiye vipi? hatupendi marumbano yenu kwenye chama wote nyiye watoto wadogo, hamuoni hasara ya malumbano yenu nini nyiye. Chama ni kikubwa kuliko nyinyi komeni kabisa none sense bulldogs.
 
Pamoja na rushwa na ufisadi wa Bashe bado uwezo wa kisiasa wa Bashe ni mkubwa sana kumlinganisha na Dr.Kigwangala,

Embu jiulize inakuwaje Bashe aongoze kura za maoni mwaka 2010 aachwe kwa kudaiwa ni msomali, halafu Lukas Selelii aliyeshika nafasi ya pili aachwe bila sababu, kisha Dr.Kigwangala aliyekuwa wa tatu ambaye ilikuwa anadaiwa ni mrundi apewe nafasi?

Dr.Kigwangwala bado sana kisiasa, haya mambo ya kugawa vitumbua, chai na 2000, kutishia kwa bastola na sasa kutishia kujiuzuru ubunge ni utoto wa kisiasa kabisa.

Namshauri aanze kujifunza siasa akiona mambo magumu arudi tu hospitali kutibu wagonjwa.

Mkuu Concrete ni uwezo gani mkubwa wa kisiasa wa Bashe alionao? huu wa kutumia mapesa ya RA na EL kushawishi?
Unazijua vizuri siasa zinazoendelea Igunga wewe? mkuu kule Bashe ameapa Dr Kigwa hatakuwa salama kwa kuwa amepoka nafasi yake

Tabu zote unazoziona Igunga chanzo ni Bashe ambaye kimsingi alipaswa kufahamu kuwa si Dr Kigwa aliyesababisha akaenguliwa bali ni ushirika wake na mafisa papa ndio uliopelekea yeye kumwagwa na zari kumuangukia Dr Kigwa kwasababu tu Selelii alikuwa mwiba wa serikali bungeni hivyo hawakutaka arudi

So anaye leta siasa za kitoto ni bashe ambaye anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Dr Kigwa pasi na sababu za msingi badala ya kujipanga upya kukabiliana na NEC awe msafi kwa uchaguzi ujao

sisemi kama Dr Kigwa ni mtu safi sana , hapana ninachomaanisha hapa ni kwamba tabu zote za igunga sababu ni pesa za kifisadi za Bashe ndio zimeleta haya yote
Lakini pia huwezi kumlinganisha Dr Kigwa na vilaza wengi tu wabunge wa CCM na hata huyo bashe angekuwa bungeni wewe unajua fika angekuwa kambi gani na unadhani ingekuwa na manufaa gani kwa taifa hili zaidi ya kambi ya mafisadi kuongeza nguvu yao mjengoni

Mbunge wangu wa kweli wa Igunga kwangu mimi atabaki kuwa Selelii tu, na katu sita msamehe Bashe kwa vurugu zake za kitoto zilizopelekea Selelii akatoswa
Na kwa taarifa tu ni kwamba rushwa ya vitumbua na swala la kutoa bastola ni bashe ndio muhusika wa hayo yote lakini hivi sasa amemwwaga pesa za kutosha na mehonga watu wote waliokuwepo kwenye tukio la ugonvi wao wa bastola na Dr na sasa Dr ndio anaonekana namakosa
 
Last edited by a moderator:
Ila watanzania tuna dhambi inatutafuna na ambayo haitatusaidia katika maendeleo, UBAGUZI WA RANGI/KABILA. Mungu atusaidie tuishinde hii dhambi. Ona nchi tena zilizoendelea, mfano Marekani, Uingereza n.k. Kwani Rais wa Marekani asili yake wapi, akina Powel, Rice na wengine Waisrael kibao. Wale wapenzi wa soka mtawakumbuka akina Nasri, Zidane, Nani (tena huyu msomali kabisa) n.k. Amkeni watanzania
 
Nauona mwisho wa Kigwangala, nauona live. Sijui nimsaidieje aokoke na hatari kubwa aliyoko ndani yake

KINGWA hapo anajifanyia resurruction au kama mto tungesema anajifanyia river rejuvination ameona NEC hashindi hivo analeta zogo ili kutaka kubebwa. Ubunge wenyewe aliupata kwa fitina na majungu na design hiyohiyo anaitumia kuingilia NEC. Ndo maana hataki yaishie wilayani anataka ngazi ya taifa akajungue vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom