Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,406
- 92,746
Hivi na wewe siku hizi upo kwenye kundi la mabwege? na Adena Rage kuwa mbunge wa Tabora mjini unataka kuniambia hakuna Mnyamwezi mwenye sifa hizo mpaka mbunge awe Al Shabaab?Umevimbiwa KIHEMBE wewe.
Sasa kama Bashe alishinda kwenye uchaguzi wa CCM, na wakamuondoa, Seleli aliyekuwa wa pili wakampiga chini na mwisho wakamchukua mtu wa tatu, hapa WANYAMWEZI na BASHE wanaingia vipi? Msula eve....