Hapa ndipo dhana ya watu walio sensitive ktk mambo makubwa makubwa kuwa incapable kwenye matter ndogo ndogo...Haki ya Mungu, this is very low from his excellence, hivi huyu ndie alieyepiga magoti akiomba kura.....?
Washughulikie Mimba za Primary, Sekondari kabla ya hili , maana kwenye level ya chuo mtu anaweza soma na mji wake ...Kawambwa is right. mimba ni kweli zina athiri kiwango cha elimu. That it is not Kawambwa's business, that one we can discuss!!
Hawezi kupiga marufuku mimba chuo kikuu
Kutoa ushauri pia ni moja ya anayoweza kutenda.
Kuna watu ambao wakiwa wajawazito wanakuwa hawajiwezi. Fikiria kama hapo mhandisi unatakiwa ukasimamie zege!
Anajua hali halisi ya facilities chuoni, ukisha jifungua hakuna vituo vya baby-care vya kutosha.
Anajua mkopo wanaotoa serikali haumtoshi mwanafunzi seuze awe na mtoto.
Mimba lazima zitakuwepo!
kwa sababu mnakuwa dabo au :lol:Hajui mwanamke ukiwa na mimba ndo akili zinazidi unafaulu sana!akaulize!
kwa sababu mnakuwa dabo au :lol:
Mimba lazima zitakuwepo!
smokescreens!
Sio kweli, period!Tunachotakiwa kujadili ni maneno yake ni kweli au si kweli