Dr. Kawambwa na mimba za vyuo vikuu

Tutasikia mengi kutoka kwa hawa vichwa maji!
kwani ni business ya wizara watu kupata mimba?
kwa nini asiangalie vitu vya msingi.........ambavyo anaweza kuvifanyia kazi
 
Haki ya Mungu, this is very low from his excellence, hivi huyu ndie alieyepiga magoti akiomba kura.....?
Hapa ndipo dhana ya watu walio sensitive ktk mambo makubwa makubwa kuwa incapable kwenye matter ndogo ndogo...
 
Kawambwa is right. mimba ni kweli zina athiri kiwango cha elimu. That it is not Kawambwa's business, that one we can discuss!!
Washughulikie Mimba za Primary, Sekondari kabla ya hili , maana kwenye level ya chuo mtu anaweza soma na mji wake ...
 
Anataka kupingana na boss wake nini, maana bosi wake aliwaambia watoto wa primary tu kuwa wana viherehere, sasa na yeye anataka kutuambia watu wazima kama wa vyuo vikuu nao wana viherehere-Huyu jamaa anaidhalilisha PhD kishenzi.

:hug::target::drum::frown::angry::frown::painkiller::A S clock:; PhD=Pombe Haina Deni
 
Hawezi kupiga marufuku mimba chuo kikuu

Kutoa ushauri pia ni moja ya anayoweza kutenda.

Kuna watu ambao wakiwa wajawazito wanakuwa hawajiwezi. Fikiria kama hapo mhandisi unatakiwa ukasimamie zege!

Anajua hali halisi ya facilities chuoni, ukisha jifungua hakuna vituo vya baby-care vya kutosha.

Anajua mkopo wanaotoa serikali haumtoshi mwanafunzi seuze awe na mtoto
.

Hayo yenye red ndiyo matatizo anayotakiwa ayasemee na kuyashughulikia na wala siyo mimba!
 
Mimba lazima zitakuwepo!
Anyway, sababu ya watu kufeli ni:
1. scarce of lecturers
2. Lect. waliopo hawako motivated. I hope hujasahau kuwa walitaka kugoma kipindi fulani
3. Hata hao waliopo wanafundisha vibaya - hesabu unasoma kwa slide
4. Lect. rooms hazitoshi
5. .........................................
Ashughulikie haya matatizo badala ya kutengeneza smokescreens!
 
Wadogo ni wengi zaidi vyuo vikuu kuliko wakubwa. Kwa maana kwamba wengi wanaoingia vyuo vikuu wanatokea sekondari (form six) bado wanatakiwa kusaka elimu ya juu badala ya kusaka mimba na ndoa. Elimu ya form six ni ndogo sana kwa dunia ya leo wanapaswa kujikita zaidi kuongeza elimu ya chuo.
 
Hakika DK. kawambwa unaonekana wewe sio FATAKI, wasio na macho wanaona kuwa vile vitoto vinavyotoka form six vinakuwa tayari vikubwa mara tu vikiingia majengo ya vyuo.
 
Mimba lazima zitakuwepo!

smokescreens!

Kwa mujibu wa thread hii hakuna pahala waziri aliposema mimba hazitakiwi kuwepo.

Yeye ametoa fact ambayo ni hiari ya wanafunzi wenyewe kuifanyia kazi


Sawa na mtu aje atwambie pain killers are addictive kisha tumtukane kwa sababu kuna watu wengine wanalazimika kuzitumia kwa maelekezo ya daktari.

Tunakubali kuna mambo chungu nzima yanayosababisha kiwango cha elimu kushuka na niwajibu na jukumu lake kuyafanyia kazi lakini haifuti fact kuwa mimba inaangusha elimu pia(if it is a fact)

Tunachotakiwa kujadili ni maneno yake ni kweli au si kweli sio mimba chuo kikuu haziepikiki au la
 
ukiingi chuo kikuu mana yake ni mtu mzima... ndo maana ukifanya uhalifu wahukumiwa kama raia.... ukiamua kushiriki mashindano yasoyotambulika na chuo...kwenye pepa msumeno uleule... kwahiyo anaebeba mimba kataka mwenyewe na awajibike!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom