Wanajamii inabidi mumfahamu daktari wa TMJ Hospital kwa jina la Kapiteni. Huyu ni mkongomani asiye na adabu hata kidogo.
Kila msichana na mwanamke anaeingia katika chumba chake cha udaktari lazima amtongoze kisha anampeleka nyumbani kwake ambako si mbali na hospitali kufanya ngono.
Anatumia advantage yake ya udaktari kuwadanganya kuwa atawasaidia matibabu na wasichana ambao wengine ni sawa na wajuu zake anawadanganya eti ata waoa!
Huyu anatakiwa apewe funzo kwa sababu mchezo huo anaoufanya kulala ovyo wasichana, wachumba na wake za watu hawezi kuuacha.
Hivi toeni mapendekezo daktari huyu tumfanye nini?
kwa wanawake wakibongo kuwa mcongo ni advantage kubwa kuwatafuna...We cacico,
Inawezekana ameshakupitia ndo mana unasifia analaptop nne ! eti anaenda kila wqeekend USA ! Usikute hata dawa ya your mum ulizifuata nyumbani kwake ! ndo mana unamsifia !
Kwa hiyo nawe alishakupitia mwanacongo ! ukampelekea na maua ?