Dr. Joyce Ndelichako (NECTA) alichemka kwa kitendo cha Kumshambulia kijana Julius

Leo asubuhi nimefanikiwa kusikiliza Interview ya kijana Julius aliyeandika Verses/Rhymes ama mistari ya hip hop -bongofleva kwenye karatasi ya majibu mtihani wa Form 4- NECTA uliofanywa 2011.Kitendo cha Joyce Ndelichako (PhD) kwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kusoma kilichoandikwa,kwa maoni yangu nathubutu kuandika kuwa alikurupuka,haiingii akilini mwanafunzi kuandika mambo yale kwenye karatasi ya majibu halafu mtu mwenye taaluma ya juu (PhD) kama mama Joyce kushindwa kutafuta sababu za mwanafunzi yule kwa nini aliandika mambo yale tena kwa ujasiri wa kiwango kile.

Kijana Julius asubuhi ya leo katika kwenye kipindi cha Power Breakfast-Clouds fm, kwa kinywa chake mwenyewe amesema alifanya vile kama kufikisha ujumbe kwa Watanzania kuwa mfumo wa elimu haulengi kuwaelekeza vijana /watoto kwenye mambo wanayoyajua kwa ufasaa.Unapomwelekeza mtoto/mwanafunzi kwenye mambo anayoyapenda na kuyaamini kuwa yatamsaidia yeye kuweza kujiingiza katika shughuli halali za uzalishaji inasaidia kutumia rasilimali chache kumfikisha huyo mwanafunzi/mtoto mahala pazuri kwa manufaa yake na taifa kwa ujumla.Pia ameelezea kuwa yeye aligundua kuwa ana kipaji cha music ila hakupewa fursa hiyo kutokana na mfumo wa elimu uliopo,ujumbe aliotaka kufikisha kwa jamii ,ni kiasa jamii ithamini taaluma na fani mbalimbali kwa mrengo wa kuwakomboa wananchi/vijana wasio na ajira.

Julius ametoa mifano hata hawa kina Diamond tunaowaona leo ,wazizi wao walikuwa wanakimbizana nao wakiwalazimisha kwenda shule pasipo kutambua vipaji vyao.Hata wazazi/walezi wa baadhi ya wasanii hawa mara kwa mara wammekuwa wakihojiwa na kukiri kuwa vijana wao walikuwa hawapendi shule ila leo wanajivunia mafanikio yao.Kwenda shule ni jambo jema ila mfumo uendane na mahitaji/mazingira ya jamii husika.

My take;
Inashangaza sana kuwa Tanzania kuwa watu wana taaluma na wanaitwa Maprofesa,madaktari wa falsafa wameshindwa kuona matatizo ya ufumo wa elimu yetu katika kuwasaidia vijana/watoto na taifa kwa ujumla.Nimesikiliza pia single mpya ya Kijana Julius ameonyesha uwezo wa juu sana kama msanii chipukizi.Julius aliwasilisha kilio cha wengi kwa njia ile-hivyo naye ni Mwanaharakati, naamini itakuwa fundisho na somo kwa baraza la mitihani.
Mi naona we ndo kilaza zaidi ya huyo dogo! khaaa
 
Wachangiaji wengu humu so faa naona kama mnakurupuka, angalia
[FONT=Verdana said:
sawabho[/FONT];4222414]Hii tabia ya kuendekeza Uanaharakati kila sehemu italimaliza taifa !!! Yaani mtu atahiniwe somo lingine, atoe majibu ya somo lingine, halafu tuseme ana kipaji, kipaji gani hicho kisichojali muda na mahali ? Kila kitu kina utaratibu wake. Kama alikuwa na kipaji cha muziki alitakiwa kumweleza mzazi wake mapema kuwa anahitaji shule ya muziki, apelekwe Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Hata hivyo, kuna umuhimu wa kumaliza elimu ya Msingi na Upili ili kumjengea mtoto Uelewa wa Taifa lake kuhusiana na mataifa mengine kabla ya kuanza kutafuta elimu ya fani kama vile kwenda VETA au Vyuo vya Sanaa.

[FONT=Verdana said:
kanga[/FONT];4222414]Upumbavu kabisa na wote siyo huyo kijana hata Clouds wenyewe.Muziki gani pasipo na shule ya maana au ni producer gani anaingia studio bila kuwa na elimu bora kama sound engineering,electrical etc.Pia kumbukeni kuwa muziki ni taaluma inasomewa darasani kama ilvyoprofessional zingine.Na nzuri zaidi kama hajui na wote nyie ni kwamba shule nzuri zina option ya kuendelea na masomo ya kawaida na muziki ikiwa kama somo la ziada na unakuta shuleni wanafunzi wanaofanya option ya muziki wanatoa burudani kama kawaida utafikiri kuna mabingwa kama Michael Jackson vile.Muhimu ni kwamba shule zetu za serikali ziajiri walimu wa muziki na masomo mengine ya michezo ili kuwapa skills na kuendeleza viapaji vyao wanao taka, otherwise ni ujinga kutetea mawazo ya huyo mwanafunzi aliyeshindwa kujibu mitihani na kuibukia kwenye upumbavu wake wa kuandika mashairi.

[FONT=Verdana said:
Mkirua[/FONT];4222414]Takataka (uchafu) ni kitu chochote kilichopo eneo lisiloruhusiwa/ husika....Swali lilimtaka aandike mashairi ya music?? Kwanini alipoteza mda na pesa za wazazi si angejiondoa mapema ili ayakarabati mashairi yake vizuri na sasa angekuwa na albam nzima!! Pili kuna somo la Music...na linatahiniwa na NECTA ...na ni kozi ambayo angeweza ku-opt.....ili aendeleze kipaji chake kitaalamu zaidi..

Siungi mkono hoja!

na wengine wengi mmeonyesha kuwa what the kid was saying. mi mwenyewe nimemsikiliza na from how he explained imeonesha uwezo wake mkubwa wakuchanganua mambo, that means IQ yake ni kubwa. but probably hauandaliwa maandalizi mazuri ya kusoma akajikuta anaamini kwamba yeye shule hawezi.

The point i think he made ni WANTANZANIA uelewa wetu ni mdogo sana, we do no like to think out of he box, Watoto wanachapwa, wanaitwa bogus, Bongo lala, na majina tofauti simply kwasababu hawapendi kuendelea na Form 1 mpka form 4 au hawajafaulu form 4, bt the Kid said Loud and clear, not all are ment kwa shule. isifanywe kuwa kumaliza form 4 au kutofaulu form 4 kama unamatatizo. because this is what is been going on, kwmba kama hujaenda shule au hujafaulu unaonekana kama huna matatizo fulani =, kama you are not key, and you wont be successful, bt its not true. Wakina diamond, Josph Kusaga, na wegine wengine wameonyesha kwamba they may have no degrees bt they know how to what they are good at the its best. As for Abroad we have all sorts of example from David Beckham, to Samuel Jackson, will smith, Jay Z, Fifty Cents, Samuel Etoo, Demba Ba, ohhhh we have wakina michael Dell, Bill Gates, Steve Jobs and Mark zuckerberg they are all High school and College(univesirty) drop outs. Na hawakulazimishwa kwenda shule when their parents walivyogunua hawana interest yakuendelea na shule bt they were supported at very early stages with their parents and it paid off.

This should be a lesson to Tanzania, tujipange, we should create an education system where watoto wote wenye interest na shule na wasiokua nao, wenye high and Low IQ, Wenye na wasiokuwa na talents kwenye non-academic stuff , wote wabenefit na kuwe na mutual respect between ecah other katika field waliokuwepo.
 
kwani hakuna?
 
Nashukuru kwa wewe kuliona hilo,jamii yetu ina matatizo mengi sana hususani hili ulilolibainisha la kuangalia jambo kwa upande wa pili.Ona hata baadhi ya wachangiaji wanavyochangia (kupinga ni sawa kwani ni mtazamo) ila ushabiki umetawala zaidi
 
Upumbavu kabisa na wote siyo huyo kijana hata Clouds wenyewe.Muziki gani pasipo na shule ya maana au ni producer gani anaingia studio bila kuwa na elimu bora kama sound engineering,electrical etc.Pia kumbukeni kuwa muziki ni taaluma inasomewa darasani kama ilvyoprofessional zingine.Na nzuri zaidi kama hajui na wote nyie ni kwamba shule nzuri zina option ya kuendelea na masomo ya kawaida na muziki ikiwa kama somo la ziada na unakuta shuleni wanafunzi wanaofanya option ya muziki wanatoa burudani kama kawaida utafikiri kuna mabingwa kama Michael Jackson vile.Muhimu ni kwamba shule zetu za serikali ziajiri walimu wa muziki na masomo mengine ya michezo ili kuwapa skills na kuendeleza viapaji vyao wanao taka, otherwise ni ujinga kutetea mawazo ya huyo mwanafunzi aliyeshindwa kujibu mitihani na kuibukia kwenye upumbavu wake wa kuandika mashairi.
kweli kabisa. Hay mawazo yapo kwa wasanii wengi hasa wale ambao sasa wana-vijisenti. wengine ktk interview zao wanadiriki kusema elimu haina maana kabisa. wanasahau hata microphone na vyombo wanavyotumia vimetengenezwa na watu waliosomea. hata mziki wao unatengenezwa na mtu aliyesomea. Clouds Media nao wapo mstari wa mbele ktk kuonesha elimu haina maana.Nafkiri wanavyojiona wengi wao si-wanahabari kwa kusomea na mambo yanaenda wanaona hakuna haja ya kusoma.Wangemshauri dogo ajiendeleze ktk shule za sanaa kama anafikiri ndicho kitu anachokiweza na si kupromote ujinga.
 
Sijui kwa nini una shindwa kufikiri?
Kwa hiyo unaona hapo palikuwa ni sehemu sahihi pa yeye kuandika huo ujumbe?
Angalia usije ukawa una tetea vitu visivyo na msingi kabisa na tumaini wewe ni mtu mzima!

Je kwenye huo mtihani kulikuwa na swali linalo huyu kutoa maoni kama hayo?

Jaribu kufikiri kwa kina kabla ya kupost.

Inawezekana nawe hujui unachobishia.
Ingekua kila mtahiniwa anaandika lile tu alilotakiwa kuandika wote tungepata A.

Hujamsikiliza jamaa, ndio maana unampinga!!
 
Leo asubuhi nimefanikiwa kusikiliza Interview ya kijana Julius aliyeandika Verses/Rhymes ama mistari ya hip hop -bongofleva kwenye karatasi ya majibu mtihani wa Form 4- NECTA uliofanywa 2011.Kitendo cha Joyce Ndelichako (PhD) kwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kusoma kilichoandikwa,kwa maoni yangu nathubutu kuandika kuwa alikurupuka,haiingii akilini mwanafunzi kuandika mambo yale kwenye karatasi ya majibu halafu mtu mwenye taaluma ya juu (PhD) kama mama Joyce kushindwa kutafuta sababu za mwanafunzi yule kwa nini aliandika mambo yale tena kwa ujasiri wa kiwango kile.

Kijana Julius asubuhi ya leo katika kwenye kipindi cha Power Breakfast-Clouds fm, kwa kinywa chake mwenyewe amesema alifanya vile kama kufikisha ujumbe kwa Watanzania kuwa mfumo wa elimu haulengi kuwaelekeza vijana /watoto kwenye mambo wanayoyajua kwa ufasaa.Unapomwelekeza mtoto/mwanafunzi kwenye mambo anayoyapenda na kuyaamini kuwa yatamsaidia yeye kuweza kujiingiza katika shughuli halali za uzalishaji inasaidia kutumia rasilimali chache kumfikisha huyo mwanafunzi/mtoto mahala pazuri kwa manufaa yake na taifa kwa ujumla.Pia ameelezea kuwa yeye aligundua kuwa ana kipaji cha music ila hakupewa fursa hiyo kutokana na mfumo wa elimu uliopo,ujumbe aliotaka kufikisha kwa jamii ,ni kiasa jamii ithamini taaluma na fani mbalimbali kwa mrengo wa kuwakomboa wananchi/vijana wasio na ajira.

Julius ametoa mifano hata hawa kina Diamond tunaowaona leo ,wazizi wao walikuwa wanakimbizana nao wakiwalazimisha kwenda shule pasipo kutambua vipaji vyao.Hata wazazi/walezi wa baadhi ya wasanii hawa mara kwa mara wammekuwa wakihojiwa na kukiri kuwa vijana wao walikuwa hawapendi shule ila leo wanajivunia mafanikio yao.Kwenda shule ni jambo jema ila mfumo uendane na mahitaji/mazingira ya jamii husika.

My take;
Inashangaza sana kuwa Tanzania kuwa watu wana taaluma na wanaitwa Maprofesa,madaktari wa falsafa wameshindwa kuona matatizo ya ufumo wa elimu yetu katika kuwasaidia vijana/watoto na taifa kwa ujumla.Nimesikiliza pia single mpya ya Kijana Julius ameonyesha uwezo wa juu sana kama msanii chipukizi.Julius aliwasilisha kilio cha wengi kwa njia ile-hivyo naye ni Mwanaharakati, naamini itakuwa fundisho na somo kwa baraza la mitihani.

Visingizio tu aseme shule ilimshinda.Kama aliona ana kipaji cha muziki si tangu mwanzo angemwambie mzazi wake ampeleke chuo cha sanaa BAGAMOYO.Mbaazi akikosa maua husingizia jua.
 
Wachangiaji wengu humu so faa naona kama mnakurupuka, angalia

na wengine wengi mmeonyesha kuwa what the kid was saying. mi mwenyewe nimemsikiliza na from how he explained imeonesha uwezo wake mkubwa wakuchanganua mambo, that means IQ yake ni kubwa. but probably hauandaliwa maandalizi mazuri ya kusoma akajikuta anaamini kwamba yeye shule hawezi.

The point i think he made ni WANTANZANIA uelewa wetu ni mdogo sana, we do no like to think out of he box, Watoto wanachapwa, wanaitwa bogus, Bongo lala, na majina tofauti simply kwasababu hawapendi kuendelea na Form 1 mpka form 4 au hawajafaulu form 4, bt the Kid said Loud and clear, not all are ment kwa shule. isifanywe kuwa kumaliza form 4 au kutofaulu form 4 kama unamatatizo. because this is what is been going on, kwmba kama hujaenda shule au hujafaulu unaonekana kama huna matatizo fulani =, kama you are not key, and you wont be successful, bt its not true. Wakina diamond, Josph Kusaga, na wegine wengine wameonyesha kwamba they may have no degrees bt they know how to what they are good at the its best. As for Abroad we have all sorts of example from David Beckham, to Samuel Jackson, will smith, Jay Z, Fifty Cents, Samuel Etoo, Demba Ba, ohhhh we have wakina michael Dell, Bill Gates, Steve Jobs and Mark zuckerberg they are all High school and College(univesirty) drop outs. Na hawakulazimishwa kwenda shule when their parents walivyogunua hawana interest yakuendelea na shule bt they were supported at very early stages with their parents and it paid off.

This should be a lesson to Tanzania, tujipange, we should create an education system where watoto wote wenye interest na shule na wasiokua nao, wenye high and Low IQ, Wenye na wasiokuwa na talents kwenye non-academic stuff , wote wabenefit na kuwe na mutual respect between ecah other katika field waliokuwepo.

Upeo wako mdogo mbona hutoi mfano wa kina bill klinton,obama na watu wengine unashabikia ujinga.Basi acha kumpeleka mtoto wako shule aje kuwa kama kina fifty cent na wakata viuno kwenye majukwaa ya starehe.Study hard make money soft
 
Leo asubuhi nimefanikiwa kusikiliza Interview ya kijana Julius aliyeandika Verses/Rhymes ama mistari ya hip hop -bongofleva kwenye karatasi ya majibu mtihani wa Form 4- NECTA uliofanywa 2011.Kitendo cha Joyce Ndelichako (PhD) kwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kusoma kilichoandikwa,kwa maoni yangu nathubutu kuandika kuwa alikurupuka,haiingii akilini mwanafunzi kuandika mambo yale kwenye karatasi ya majibu halafu mtu mwenye taaluma ya juu (PhD) kama mama Joyce kushindwa kutafuta sababu za mwanafunzi yule kwa nini aliandika mambo yale tena kwa ujasiri wa kiwango kile.

Kijana Julius asubuhi ya leo katika kwenye kipindi cha Power Breakfast-Clouds fm, kwa kinywa chake mwenyewe amesema alifanya vile kama kufikisha ujumbe kwa Watanzania kuwa mfumo wa elimu haulengi kuwaelekeza vijana /watoto kwenye mambo wanayoyajua kwa ufasaa.Unapomwelekeza mtoto/mwanafunzi kwenye mambo anayoyapenda na kuyaamini kuwa yatamsaidia yeye kuweza kujiingiza katika shughuli halali za uzalishaji inasaidia kutumia rasilimali chache kumfikisha huyo mwanafunzi/mtoto mahala pazuri kwa manufaa yake na taifa kwa ujumla.Pia ameelezea kuwa yeye aligundua kuwa ana kipaji cha music ila hakupewa fursa hiyo kutokana na mfumo wa elimu uliopo,ujumbe aliotaka kufikisha kwa jamii ,ni kiasa jamii ithamini taaluma na fani mbalimbali kwa mrengo wa kuwakomboa wananchi/vijana wasio na ajira.

Julius ametoa mifano hata hawa kina Diamond tunaowaona leo ,wazizi wao walikuwa wanakimbizana nao wakiwalazimisha kwenda shule pasipo kutambua vipaji vyao.Hata wazazi/walezi wa baadhi ya wasanii hawa mara kwa mara wammekuwa wakihojiwa na kukiri kuwa vijana wao walikuwa hawapendi shule ila leo wanajivunia mafanikio yao.Kwenda shule ni jambo jema ila mfumo uendane na mahitaji/mazingira ya jamii husika.

My take;
Inashangaza sana kuwa Tanzania kuwa watu wana taaluma na wanaitwa Maprofesa,madaktari wa falsafa wameshindwa kuona matatizo ya ufumo wa elimu yetu katika kuwasaidia vijana/watoto na taifa kwa ujumla.Nimesikiliza pia single mpya ya Kijana Julius ameonyesha uwezo wa juu sana kama msanii chipukizi.Julius aliwasilisha kilio cha wengi kwa njia ile-hivyo naye ni Mwanaharakati, naamini itakuwa fundisho na somo kwa baraza la mitihani.

Kumlaumu na kumbeza sana dr. ndalichako ni uonevu mkubwa sana kwani hata wewe tungekusifu sana kama ungetoa ushauri kuhusu swala hilo wakati huo tungelizielewa shutuma zako, jambo la msingi hapa ni kuwashukuru Geral;d hando na clouds FM kwa kulifuatilia swala hili na kumleta hewani kijana Julius, wametuwezesha wengi wetu "to think out of the box"!! kwa hiyo sio dr ndalichako pekee ambaye hakulielewa tukio hilo wakati huo bali watu wengi sana, ni bahati mbaya hata kijana mwenyewe ameeleza masikitiko yake kama aliwaangusha watu; psycology ni taaluma na wengi wetu hatuna taaluma hiyo. Labda ni bora kusema kwamba Julius aliamua kutumia njia ambayo haikuwa bayana sana kufikisha ujumbe wake ndio maana wazazi wengi walikereka sana na taarifa hizo. Kwa kuwa sasa kijana Julius ameamua kufunguka; thanks to Clouds FM; kuna umuhimu wa kuanzisha vitengo vya CAREER ADVISERS kuanzia katika wizara ya elimu na serikali za mitaa, wawekwe walimu mahiri wana saikolijia wawe wanatembelea shule zetu kutathmini maendeleo ya wanafunzi wetu ili hatimaye wawashauri masomo yanayo faa kuwaelekeza katika taaluma fulani fulani kulingana na vipaji na uwezo wa mwanafunzi mmoja mmoja. hili ndio somo tulilojifunza kutoka kwa ujumbe wa kijana Julius na kwa jinsi hiyo taifa linaweza kupanua fursa katika taaluma, kijamii na kiuchumi.
 
Takataka (uchafu) ni kitu chochote kilichopo eneo lisiloruhusiwa/ husika....Swali lilimtaka aandike mashairi ya music?? Kwanini alipoteza mda na pesa za wazazi si angejiondoa mapema ili ayakarabati mashairi yake vizuri na sasa angekuwa na albam nzima!! Pili kuna somo la Music...na linatahiniwa na NECTA ...na ni kozi ambayo angeweza ku-opt.....ili aendeleze kipaji chake kitaalamu zaidi..

Siungi mkono hoja!

think out of the box; usiwe mwepesi kuwa judgemental katika maswala ya namna hii; there is more to this than meets the eye!! stretch you gray matter a little further utaona kwamba there was a positive side to the boys actions ambacho kikifanyiwa kazi kinaweza kuwa na manufaa kwa taifa letu.
 
Famous ....He has beat all odds and negativity and now he is Famous and going to be rich .go go go kido....
 
Hii dunia ina maajabu sana, kila mtu ana staili yake ya kutokea.

Leo mtu ataruka uzio wa uwanja na kwenda kumpa mkono mchezaji
maarufu km Kaka n.k Tayari CV yake itakuwa na nyongeza ya mimi
ndiye niliyempa mkono kaka - Anaweza kutoka huyu.

Kesho mwingine atatoa Singo kupitia pepa za form 4&6 atafeli mtihani
lakini jambo la ajabu kitendo kilekile cha kufeli mtihani kinaweza kumtoa
kwa namna nyingine.
 
Leo asubuhi nimefanikiwa kusikiliza Interview ya kijana Julius aliyeandika Verses/Rhymes ama mistari ya hip hop -bongofleva kwenye karatasi ya majibu mtihani wa Form 4- NECTA uliofanywa 2011.Kitendo cha Joyce Ndelichako (PhD) kwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kusoma kilichoandikwa,kwa maoni yangu nathubutu kuandika kuwa alikurupuka,haiingii akilini mwanafunzi kuandika mambo yale kwenye karatasi ya majibu halafu mtu mwenye taaluma ya juu (PhD) kama mama Joyce kushindwa kutafuta sababu za mwanafunzi yule kwa nini aliandika mambo yale tena kwa ujasiri wa kiwango kile.

Kijana Julius asubuhi ya leo katika kwenye kipindi cha Power Breakfast-Clouds fm, kwa kinywa chake mwenyewe amesema alifanya vile kama kufikisha ujumbe kwa Watanzania kuwa mfumo wa elimu haulengi kuwaelekeza vijana /watoto kwenye mambo wanayoyajua kwa ufasaa.Unapomwelekeza mtoto/mwanafunzi kwenye mambo anayoyapenda na kuyaamini kuwa yatamsaidia yeye kuweza kujiingiza katika shughuli halali za uzalishaji inasaidia kutumia rasilimali chache kumfikisha huyo mwanafunzi/mtoto mahala pazuri kwa manufaa yake na taifa kwa ujumla.Pia ameelezea kuwa yeye aligundua kuwa ana kipaji cha music ila hakupewa fursa hiyo kutokana na mfumo wa elimu uliopo,ujumbe aliotaka kufikisha kwa jamii ,ni kiasa jamii ithamini taaluma na fani mbalimbali kwa mrengo wa kuwakomboa wananchi/vijana wasio na ajira.

Julius ametoa mifano hata hawa kina Diamond tunaowaona leo ,wazizi wao walikuwa wanakimbizana nao wakiwalazimisha kwenda shule pasipo kutambua vipaji vyao.Hata wazazi/walezi wa baadhi ya wasanii hawa mara kwa mara wammekuwa wakihojiwa na kukiri kuwa vijana wao walikuwa hawapendi shule ila leo wanajivunia mafanikio yao.Kwenda shule ni jambo jema ila mfumo uendane na mahitaji/mazingira ya jamii husika.

My take;
Inashangaza sana kuwa Tanzania kuwa watu wana taaluma na wanaitwa Maprofesa,madaktari wa falsafa wameshindwa kuona matatizo ya ufumo wa elimu yetu katika kuwasaidia vijana/watoto na taifa kwa ujumla.Nimesikiliza pia single mpya ya Kijana Julius ameonyesha uwezo wa juu sana kama msanii chipukizi.Julius aliwasilisha kilio cha wengi kwa njia ile-hivyo naye ni Mwanaharakati, naamini itakuwa fundisho na somo kwa baraza la mitihani.

kweli Dr. alimtaja jina?kama ni kweli alikosea kuliweka wazi jina la huyu Julius
pia mm nawalaumu Clouds kwa kumtafuta huyu kijana kwani hapa ni kuundeleza ujinga Tz,Nchi yetu si ya waimbaji kama Congo though ni kweli Tz kama nchi tunatakiwa kutambua vipaji tofauti, ila dogo hakuna kipaji bila ya elimu
 
du kweli magamba hayaishi kumbe hata humu yamo weulitaka afanyiwe sherehe kwauupuuuuz alioufanya. think twice before you urge
 
Mimi nilivyosikia anahojiwa ilibidi nizime REDIO ili watoto wa jirani wanaosoma shule wasisikilize ujinga na upuuzi alioufanya ili wasije kufanya kama yeye naomba Mungu apishilie mbali.Nakumbuka enzi hizo nafanya mtihani wa form four aliingia mwenzetu kwenye paper Kuangalia swali la kwanza hadi la mwisho hakuna hata moja analifahamu alichofanya aliandika namba yake ya mtihani kwenye hiyo paper halafu akalala kwenye dawati mpaka akasikia sauti ya kalamu chini.Akakusanya paper yake na kutoka nje,Sasa mwenzetu huyu anayejiita Bongo flave kwa nini aandike mashair kwenye paper ya mtihani,kama aliona hana cha kuandika angeandika namba yake na kukusanya paper na mtu kama huyo ukifuatilia record zake kwa walimu wake inawezekana ni kati ya wale vijana wakorofi shuleni wanaoona maisha siku zote ni rahisi kwa sababu wanakula na kulala bure kwa wazazi wao.
 
We uunge mkono hoja usiunge poa tu! cha msingi msg sent! we unadhani huu mfumo wa elimu uliopo unamuandaa mtoto kujipanga kimaisha!? hakuna kitu zaidi ni mambo ya kimawazo zaidi kuliko vitendo,yeye amepeleka ujumbe hata kama haukutakiwa kuwa pale wakati ule bali umefika.

Kesho na wale waliotukana matusi tutaona bandiko lao hapa na wewe utajawatetea kuwa ni msg sent....walikuwa wanapeleka ujumbe....Well pengine kwakuwa sio mwanao sawa...nawashauri NECTA waweke swali la bongo fleva walau moja ili tuandae watoto wetu kimaisha LOL...ushauri mwingine kama nguvu za giza.....
 
think out of the box; usiwe mwepesi kuwa judgemental katika maswala ya namna hii; there is more to this than meets the eye!! stretch you gray matter a little further utaona kwamba there was a positive side to the boys actions ambacho kikifanyiwa kazi kinaweza kuwa na manufaa kwa taifa letu.

Sioni chochote zaidi ya bangi hapo.
 
Upeo wako mdogo mbona hutoi mfano wa kina bill klinton,obama na watu wengine unashabikia ujinga.Basi acha kumpeleka mtoto wako shule aje kuwa kama kina fifty cent na wakata viuno kwenye majukwaa ya starehe.Study hard make money soft

Ni kwelii inawezekana upeo wangu ni mdogo ila nadhani hujaelewa kinachozungumziwa hapa. sasa utakap elewa kinachozungumziwa hapa then siajabu tutabanefit from mchango wako.

Hapa hatusemi kwamba kwenda shule hakuna manufaa ndo mana ckutoa mfano wa wakina bill clinton kwasababu we all know for a fact kwamba kwenda shule kunamanufaa mengi sana and as amatter of fact kuna level of education is a must to attend ili utoe ujinga(i think kwa tanzania ni mpka form 4 bt hata form 2 or three inatosha vile vile). Bt tatizo la stigma ya kitanzania ni kwamba lazima ufaulu na kuendelea na A level. swala la kufeli form four unaonekana wewe unamatatatizo huna akili na hutofanikiwa, kwasababu we all believe katika kazi za kuaijiriwa. hata hawa wtu huwa wanaonekana hawan cha kuchangia kwenye mazungumzo yanayo gusa maswala ya kitaifa. `hili ni tatizo iasi kwamba hata viongozi inabidi wajipe vyeo vya ''DOCTOR'' ili wapae heshima.

sasa alichozumngumzia yule kijana ni kuna watoto au vijana wakiwa shule huwa they cannot cope*wth school due to so many reasons*(underperform,absentism kwasababu wanatokea kuchukia shule, ukorofi,mambo ya kifamilia n.k) *but they are good at somthing else, wanatalents tofauti, wasiwe discouraged wawe encouraged waendelee tu nashule wamalize huku side by side wanaendlezwa kwenye talents zao, kama high schools au colleges US, ambapo atheletes aspirants wanatakiwa wa maintain some level of performance ili wawe eligible kuchaguliwa kwenye Pro-leagues, hata kama wao hawana intention ya kuendela na elimu. They know they dont like shule but they force tu attend school kwasbbu they know they Love doing what they do(playing Basketball, soccer, football).

sasa huku kwetu watoto kama hao huwa branded so many names, wanachapwa, subjected to high level of punishment mpaka kufikia level of National mockery kama alivyofanyiwa huyu kijana. Kwasababu alitngazwa kwneye national televisions na akawa subjected to mockery just for the ministry to save thier ass in the public eye for their blunders. Wao walitakiwa wakae waone hawa vijana mbona wanafanya hvi, na wanaongezeka, kama vipi tutafute njia mbadala yakuwa encourage au kuwasaidia katika maisha yao. But nobody cares and watu tunaishia kuwaita mbumbu hawana akili, wameshindwa shule na blah blah...*

**
 
Back
Top Bottom