Dr. Joyce Ndelichako (NECTA) alichemka kwa kitendo cha Kumshambulia kijana Julius

kwani hakuna?

Hakuna Tanzania. Tanzania education system is based on Ufaulu not understanding. The level of intelligence in Tanzania inapimwa na uwezo wakufaulu shule without even looking umefaulu vipi....

Kunawafunzi Tanzania wanapata Div 1 pint 7 O'Level na div 1 point 3 A'level, hawa ni straight A's student. These type of people sio wakuchukuliwa kawaida but do you know the government haina track ya hawa watu?? They government hata haifautilii hawa watu wamefiia wapi, how does the nation benefit from them, tuwaendelezaje. and stuffs like that..*
 
Takataka (uchafu) ni kitu chochote kilichopo eneo lisiloruhusiwa/ husika....Swali lilimtaka aandike mashairi ya music?? Kwanini alipoteza mda na pesa za wazazi si angejiondoa mapema ili ayakarabati mashairi yake vizuri na sasa angekuwa na albam nzima!! Pili kuna somo la Music...na linatahiniwa na NECTA ...na ni kozi ambayo angeweza ku-opt.....ili aendeleze kipaji chake kitaalamu zaidi..

Siungi mkono hoja!

kaka nakupa ma like 100. hivi kweli kama alikuwa na akili n nia ya kufikisha ujumbe kwanini asingetafuta njia sahihi ya kufikisha ujumbe? hivi leo hii ukienda kupanda kwenye nguzo ya tanesco yenye umeme kisa eti nataka kikwete ajiuzulu kweli utakuwa na akili wewe?

pia kwanini alipoteza rasilimali za wazazi wake na pengine kilichotumika kwake kingewasaidia wengine waliobaki nyuma yaani wadogo zake kama wapo? pia klauds redio hivi hawanga namna ya kupata habari zenye kujenga? hivi huwaga ni nani anayeandaa hizo makala manake kuna vitu vngine wanavisema hewani lakini madhara yake ni makubwa sana na hivi ukichanganya kuwa ni mambumbu ambao hawajui kuchambua -ve and +ve sides za wanachokisema.
 
Sioni chochote zaidi ya bangi hapo.
Ndo mawazo ya watanzania hayo.. Mnafikiri kuvua bhangi inakufanya uwe hunaakili, huku wahajui mababu zao used to smoke this shit all day long na walikuwa wanbusara kushinda wazee wa sasa ambao they ''smoked elimu ya mzungu''
 
Huyo kijana wenu Julius, hao Clouds FM, mleta 'thread' na wote wanaoshabikia suala hili naona mmepungukiwa maarifa. Yaani huyu kijana anamlaumu nani kwa kusoma hadi form 4? Huyo Dr. Ndalichako alimfunga kamba Julius kwenye nguzo ya dawati darasani kumlazimisha asome? Hata huo mtihani wenyewe aliofanya akaandika upuuzi, si alilipia ada mwenyewe au wazazi wake na akaenda mwenyewe kufanya mtihani huo? Kwa nini hakwenda Clouds mapema kabisa akawaambia kuwa yeye angependa kuutangazia umma kuwa hataki shule anataka mziki? Hao wote waliotajwa kufanikiwa katika muziki walipitia kwenye kurasa za baraza la mitihani ili kutoka? Kwa nini asingeenda studio moja kwa moja?

Huo ni upuuzi grade A! Hivi haelewi kwamba akiwa na kipaji cha mziki atafanya vizuri zaidi kama akipata elimu ya kawaida kisha akapata elimu ya muziki na biashara? Kweli ujinga ni mzigo! Ndio maana hapa bongo kuna wasanii wengi wamekuja juu na kuwa kwenye chati kisha wakapotelea mbali na kuwa kama omba-omba, ndio aina ya kina Julius na mashabiki wao.

My day has just gone bad!!!! arrghhh!!
 
Ndo mawazo ya watanzania hayo.. Mnafikiri kuvua bhangi inakufanya uwe hunaakili, huku wahajui mababu zao used to smoke this shit all day long na walikuwa wanbusara kushinda wazee wa sasa ambao they ''smoked elimu ya mzungu''

Kwa hiyo hao vijana wenu ndio mnataka wa'smoke' bongo flava hadi kwenye mitihani ya maths? Stupid ideas. Si angeenda kwenye vyombo vya habari na kutangaza hapendi shule anapenda muziki? Si angewaambia wazazi wake wasimpeleke shule hiyo waliyompeleka badala yake wampeleke Chuo cha sanaa Bagamoyo au THT ya hao Clouds asome huo muziki? What has that got to do with NECTA and Dr. Ndalichako for that matter?
 
Dogo kaomba radhi kwa alichokifanya,njia aliyotumia kufikisha ujumbe cyo kabisa ila cyo zuzu kama wengi walivyofikiri.
 
kaka nakupa ma like 100. hivi kweli kama alikuwa na akili n nia ya kufikisha ujumbe kwanini asingetafuta njia sahihi ya kufikisha ujumbe? hivi leo hii ukienda kupanda kwenye nguzo ya tanesco yenye umeme kisa eti nataka kikwete ajiuzulu kweli utakuwa na akili wewe?

pia kwanini alipoteza rasilimali za wazazi wake na pengine kilichotumika kwake kingewasaidia wengine waliobaki nyuma yaani wadogo zake kama wapo? pia klauds redio hivi hawanga namna ya kupata habari zenye kujenga? hivi huwaga ni nani anayeandaa hizo makala manake kuna vitu vngine wanavisema hewani lakini madhara yake ni makubwa sana na hivi ukichanganya kuwa ni mambumbu ambao hawajui kuchambua -ve and +ve sides za wanachokisema.

gfsonwin....Ni kweli uyasemayo.. unajua huu umarekani wa kupractice uswahilini ni tabu sana....tutatetea na yasiyofaa...Mie nauliza kama kweli huyo ni mwanao jee ungeunga mkono upuuzi wa aina hii?? na kama una mwanao anayesoma mwambie akaandike bongofleva kwenye mitihani ili afikishe ujumbe vizuri..ukiona hilo sio sawa basi kaa kimya usitetee ujinga.
 
Kwa wadau wa fani Kama sisi, dogo alifikisha ujumbe.

Hata mimi nimemsikia asubuhi, kafunguka vizuri tu, Na kasema watu wasimuone Kama yeye ni jeuri.

Kasema kua watu wanatahiniwa kwa vitu ambavyo havitakuja kuwasaidia maishani.

Historia yake inaonyesha kua elimu haikua Bahati yake, kwani kamaliza form4 akiwa Na miaka 22 baada ya kurudia rudia na kuhama hama sana. Kusoma yenyewe kasoma kwa tabu sana.

Hao kina Diamond ukifuatisha utakuta form4 kamaliza kwa mbinde, labda hata "kazungusha", lakini leo anatembelea VX ambayo wengine Na MBA zao hawana.

Dogo yuko juu, Ndalichako alikosea.

Sehemu gani wanauza bangi safi ambayo nikstua napata mistari mikali? Niambie rafiki yangu, natamani kuwa na vx mkuu!
 
gfsonwin....Ni kweli uyasemayo.. unajua huu umarekani wa kupractice uswahilini ni tabu sana....tutatetea na yasiyofaa...Mie nauliza kama kweli huyo ni mwanao jee ungeunga mkono upuuzi wa aina hii?? na kama una mwanao anayesoma mwambie akaandike bongofleva kwenye mitihani ili afikishe ujumbe vizuri..ukiona hilo sio sawa basi kaa kimya usitetee ujinga.

na hili ndilo tatizo kubwa Mkirua kwenye haya mambo ya haki ambayo watoto wanasikilizishwa kila siku kwenye majukwaa. hivi kuna mtangazaji ambaye anaijua cost ya kusomesha mtoto ilivyo na gharama za returns mzazi anazotegemea? of course wapo watakao sema wanajua ila je ikitokea mtoto hadelivi kama unavyotaka utamtuma akaandike kwenye mtihani? sasa hawa na wafananisha na wale wazazi ambao wananunuaga mitihani, ama nafasi ama wananunua watu ili wawafanyie watoto wao mitihani.

hivi wengine tukifikir tunaendelezaje elimu yetu wenzetu wanafikir wataididmizaje. jamani hatuon mfano wa kenya na ugandaa? hivi hata hizo tungo hapa tz wanamziki wangapi wametoka kiasi hicho hadi tushabikie hili?
 
Last edited by a moderator:
Kwa wadau wa fani Kama sisi, dogo alifikisha ujumbe.

Hata mimi nimemsikia asubuhi, kafunguka vizuri tu, Na kasema watu wasimuone Kama yeye ni jeuri.

Kasema kua watu wanatahiniwa kwa vitu ambavyo havitakuja kuwasaidia maishani.

Historia yake inaonyesha kua elimu haikua Bahati yake, kwani kamaliza form4 akiwa Na miaka 22 baada ya kurudia rudia na kuhama hama sana. Kusoma yenyewe kasoma kwa tabu sana.

Hao kina Diamond ukifuatisha utakuta form4 kamaliza kwa mbinde, labda hata "kazungusha", lakini leo anatembelea VX ambayo wengine Na MBA zao hawana.

Dogo yuko juu, Ndalichako alikosea.

Alikosea kumpa F angempa A sio??
 
Wachangiaji wengu humu so faa naona kama mnakurupuka, angalia na wengine wengi mmeonyesha kuwa what the kid was saying. mi mwenyewe nimemsikiliza na from how he explained imeonesha uwezo wake mkubwa wakuchanganua mambo, that means IQ yake ni kubwa. but probably hauandaliwa maandalizi mazuri ya kusoma akajikuta anaamini kwamba yeye shule hawezi.

IQ yake ni ndogo sijapata kuona....ingekuwa kubwa angeshagundua kuwa yeye ni zero material na asingeendelea kupoteza mda kukaa daradsani na kuja kuandika upuuzi kwenye mitihani .....Washauri wanao wafanye hivyo ili watoke kimaisha..ukiona ngumu basi jua huo ni upuuzi wala hakuna IQ hapo ni bangi tu imepungua kichwani sasa anatafuta alternative.
 
Kwa wadau wa fani Kama sisi, dogo alifikisha ujumbe.

Hata mimi nimemsikia asubuhi, kafunguka vizuri tu, Na kasema watu wasimuone Kama yeye ni jeuri.

Kasema kua watu wanatahiniwa kwa vitu ambavyo havitakuja kuwasaidia maishani.

Historia yake inaonyesha kua elimu haikua Bahati yake, kwani kamaliza form4 akiwa Na miaka 22 baada ya kurudia rudia na kuhama hama sana. Kusoma yenyewe kasoma kwa tabu sana.

Hao kina Diamond ukifuatisha utakuta form4 kamaliza kwa mbinde, labda hata "kazungusha", lakini leo anatembelea VX ambayo wengine Na MBA zao hawana.

Dogo yuko juu, Ndalichako alikosea.

Ni Bora kuwa maskini wa pesa kuliko kuwa maskini wa elimu, VX bila elimu utaishia kuwa chakula cha wenye elimu na hakuna sustainability ya hiyo VX yako. Utaishia kudhulumiwa haki yako au kutumia pesa nyingi kupata haki yako.
 
Naunga mkono.......dogo ana hoja nzito ameona mbali sana hebu we fikilia
1.ada unayolipa kuanzia form one hadi six
2.ada na gharama unazotumia kusoma degreee
3.ada unazotumia na gharama za kusoma masters degreee
4.ada unazotumia kusoma phd...........na gharama za chuo

halafu mwisho wa siku haupati kazi....unaishia kuja jf unalalamika tatizo la ajira.....kwa serikali dogo piga bongo fleva.........
 
Watu wote mnao mponda dogo mpumbavu.....nyinyi ndo wapumbavu........hebu kama hamjui
1.siku hizi watu hawangaliii una elimu kiasi gani watu wanaangalia pesa
2.hivi nyinyi hamshangai mtu kama diamond ana elimu ya darasa la saba lakini ana pesa kuliko wasomi wenye phd....na maprofesa sasa mjiulize.....ikitokea kikao ni nani atasikilizwa....
 
Hakuna Tanzania. Tanzania education system is based on Ufaulu not understanding. The level of intelligence in Tanzania inapimwa na uwezo wakufaulu shule without even looking umefaulu vipi....

Kunawafunzi Tanzania wanapata Div 1 pint 7 O'Level na div 1 point 3 A'level, hawa ni straight A's student. These type of people sio wakuchukuliwa kawaida but do you know the government haina track ya hawa watu?? They government hata haifautilii hawa watu wamefiia wapi, how does the nation benefit from them, tuwaendelezaje. and stuffs like that..*
Hapa sijaelewa point yako uki link na stori ya huyu dogo
 
Watu wote mnao mponda dogo mpumbavu.....nyinyi ndo wapumbavu........hebu kama hamjui
1.siku hizi watu hawangaliii una elimu kiasi gani watu wanaangalia pesa
2.hivi nyinyi hamshangai mtu kama diamond ana elimu ya darasa la saba lakini ana pesa kuliko wasomi wenye phd....na maprofesa sasa mjiulize.....ikitokea kikao ni nani atasikilizwa....
umesoma mada ukaelewa au unakurupuka tu?
 
hivi uulizwe machungwa bei gani? Halafu ujibu maparachichi yamepanda bei, baada ya hapo unajiona upo sahihi na kujitapa mbele ya wachuuzi wenzio?

Kama ndo hivyo kazi ipo
 
Kwa hiyo hao vijana wenu ndio mnataka wa'smoke' bongo flava hadi kwenye mitihani ya maths? Stupid ideas. Si angeenda kwenye vyombo vya habari na kutangaza hapendi shule anapenda muziki? Si angewaambia wazazi wake wasimpeleke shule hiyo waliyompeleka badala yake wampeleke Chuo cha sanaa Bagamoyo au THT ya hao Clouds asome huo muziki? What has that got to do with NECTA and Dr. Ndalichako for that matter?

Ndo mana nakwambia uwezo wakuchambua mambo kwa watanzania ni mdogo, huwa jazba nyingi, huwa cjui tatizo nini but moja nililo liona kutoka kwako ni hujamsikiliza huyu kijana so its really unfair and very shallow of you ukitoa maoni. Kwasababu how will you contribute kama hukusikia alichosema, on what grounds* will you presenting your ideas,
*
Kwahiyo I have to end here bcoz tutaishia kubishana mpka kesho kutwa kwasababu hatuko katika same page. You have half information and yet you want to argue.
 
Wachangiaji wengu humu so faa naona kama mnakurupuka, angalia

na wengine wengi mmeonyesha kuwa what the kid was saying. mi mwenyewe nimemsikiliza na from how he explained imeonesha uwezo wake mkubwa wakuchanganua mambo, that means IQ yake ni kubwa. but probably hauandaliwa maandalizi mazuri ya kusoma akajikuta anaamini kwamba yeye shule hawezi.

The point i think he made ni WANTANZANIA uelewa wetu ni mdogo sana, we do no like to think out of he box, Watoto wanachapwa, wanaitwa bogus, Bongo lala, na majina tofauti simply kwasababu hawapendi kuendelea na Form 1 mpka form 4 au hawajafaulu form 4, bt the Kid said Loud and clear, not all are ment kwa shule. isifanywe kuwa kumaliza form 4 au kutofaulu form 4 kama unamatatizo. because this is what is been going on, kwmba kama hujaenda shule au hujafaulu unaonekana kama huna matatizo fulani =, kama you are not key, and you wont be successful, bt its not true. Wakina diamond, Josph Kusaga, na wegine wengine wameonyesha kwamba they may have no degrees bt they know how to what they are good at the its best. As for Abroad we have all sorts of example from David Beckham, to Samuel Jackson, will smith, Jay Z, Fifty Cents, Samuel Etoo, Demba Ba, ohhhh we have wakina michael Dell, Bill Gates, Steve Jobs and Mark zuckerberg they are all High school and College(univesirty) drop outs. Na hawakulazimishwa kwenda shule when their parents walivyogunua hawana interest yakuendelea na shule bt they were supported at very early stages with their parents and it paid off.

This should be a lesson to Tanzania, tujipange, we should create an education system where watoto wote wenye interest na shule na wasiokua nao, wenye high and Low IQ, Wenye na wasiokuwa na talents kwenye non-academic stuff , wote wabenefit na kuwe na mutual respect between ecah other katika field waliokuwepo.
[h=3]Work and Education[/h]
Employers

  • Facebook
    Founder and CEO · Feb 4, 2004 to present · Palo Alto, California
    Making the world more open and connected.

College

  • Harvard University
    Sep 2002 to May 2004 · Computer Science · Psychology · Cambridge, Massachusetts

High School

Kwa hiyo hao vijana wenu ndio mnataka wa'smoke' bongo flava hadi kwenye mitihani ya maths? Stupid ideas. Si angeenda kwenye vyombo vya habari na kutangaza hapendi shule anapenda muziki? Si angewaambia wazazi wake wasimpeleke shule hiyo waliyompeleka badala yake wampeleke Chuo cha sanaa Bagamoyo au THT ya hao Clouds asome huo muziki? What has that got to do with NECTA and Dr. Ndalichako for that matter?

bt kukujibu for the sake of kuelilimishana,*
kwanza wewe umeichukua hii in a very narrow perspective, kuna vitu vingi sana vyakufanya haviusiani na shule zaidi ya bongo fleva. Kuna Kuchora, mpira, biashara, Ufundi stadi, unamichezo(kukimbia,tennis,golf,baskeball,boxinig and os mcuh more) n.k.*
Hatusemi vijana waache shule waende kuji engage kwenye hivyo vitu, tunasema not everybody is ment to get a degree and degree/diploma/certicate za vyuo should not a be a necessity kwa vijana wetu kufanikiwa. They should be provided with options for those ambao hawako interested na kuendelea na elimu ya darasani( kwasabb elimu can be hata ya mpira,).
Tusiwe waoga, tuwe wakweli by facing the truth. Mtu mmoja humu kasema alizima radio yake watoto wajirani na wake wasisikie wakawa encouaged. But that is very wrong, utandawazi unavyokuwa these things are invertable and cannot be avoided, so it is our duty kama wazazi t let the kids get information right and on our perspective kama guardians.

Ndo mana nikatoa mifano yakina Bill Gates, Michael dell etc kwasabbu their parents listerned to them, Michael Dell wazazi wake walimuuliza if he wants to continue na shule au anatak kuendelea kutengeneza computer he opted to drop out of college and His parents wakamwachia atumie Garage kufungua His first shop. Kumbuka by then Kulikuwa hakuna Assemblying of computer na it wasnt easy kupata parts za computer nakufanya utundu utundu.*

Sasa these are things we should tell our Kids ili wawe encouarged not to drop out if school, but to know that there is more than going to school in life, There is somthing called Knowlegde and that will help you become succesfull. Sasa sisi tunawalazimisha kuattend shule na kufaulu bt hawapati knowledge ndo wisho wake tunapata graduates kama tuliokuwa nao sasa hivi. Mtu anamaliza mpka Udocta (PHD) but cannot construct a proper english sentence, then how did you manage kufika kwenye udocta kama lugha yakusomea uliotumia ni kiingereza and yet you cannot even construct a sentence?????? really??????
 
Back
Top Bottom