zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Kundi la wanajeshi kutoka vikosi mbalimbali Tanzania ambao wamepiga kambi MGULANI kwa aajiri ya Maandalizi ya GWARIDE la muungano juzi juzi hapa walifedheheshwa na CAPTEN wao baada ya kuwambia TAARIFA ya kuwalipa shilingi 8000(kwa mwezi mzima wangelipwa 240000) kwa siku ni ya uongo ilikosewa na badala yake watalipwa 80000 posho ya mwezi mzima wa maandalizi ya gwaride la muungano mpka siku ya mwisho Na muda huu wanasubiri form za kusaini hela hiyo waone fedha ni shilingi ngapi.
Yani ndani mwezi mzima wa GWARIDE jamaa watalamba laki kasoro 20000 kama kifuta jasho chao.
Hata hivyo walipo jaribu kuhoji mbona police wao wanapewa hela hiyo ya 80000 kwa siku walijibiwa kuwa police wao ni kama waalikwa kwenye maadhimisho na hawatakiwi kujifananisha na POLICE KAMWE.Kwa kawida police huwa wanalipwa laki tatu na zaidi ambayo kadilio hulipwa elfu 10 kwa siku.
mytake. Serikali muwajari hawa wanajeshi siku wakigeuka hawa hatatoka mtu ndani ooooohhhh.
Hawa jamaa siku wakigeuka hawa POLICE HATUTAWAONA,TISS HATUTA WAONA....watakuwa WAO TU.