Dr HUSSEIN MWINYI unajua 80000/month ni posho ya maandalizi ya GWARIDE LA MUUNGANO........

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Kundi la wanajeshi kutoka vikosi mbalimbali Tanzania ambao wamepiga kambi MGULANI kwa aajiri ya Maandalizi ya GWARIDE la muungano juzi juzi hapa walifedheheshwa na CAPTEN wao baada ya kuwambia TAARIFA ya kuwalipa shilingi 8000(kwa mwezi mzima wangelipwa 240000) kwa siku ni ya uongo ilikosewa na badala yake watalipwa 80000 posho ya mwezi mzima wa maandalizi ya gwaride la muungano mpka siku ya mwisho Na muda huu wanasubiri form za kusaini hela hiyo waone fedha ni shilingi ngapi.

Yani ndani mwezi mzima wa GWARIDE jamaa watalamba laki kasoro 20000 kama kifuta jasho chao.

Hata hivyo walipo jaribu kuhoji mbona police wao wanapewa hela hiyo ya 80000 kwa siku walijibiwa kuwa police wao ni kama waalikwa kwenye maadhimisho na hawatakiwi kujifananisha na POLICE KAMWE.Kwa kawida police huwa wanalipwa laki tatu na zaidi ambayo kadilio hulipwa elfu 10 kwa siku.

mytake. Serikali muwajari hawa wanajeshi siku wakigeuka hawa hatatoka mtu ndani ooooohhhh.

Hawa jamaa siku wakigeuka hawa POLICE HATUTAWAONA,TISS HATUTA WAONA....watakuwa WAO TU.
 
mbona hata polisi waliopelekwa arumeru perdiem ilishuka kutoka 40000 hadi 10000.

Nawashauri hao wajeda wajitolee tu ''uwezo wetu kifedha bado ni mdogo''
 
hao wanaojiita TISS wanafaham hili??
Maana hii inahatarisha usalama wanchi
 
Alisema Sumaye, kujiongezea posho wabunge kutaambukiza taasisi nyingine kudai
 
TISS?!. Si nasikia ili kanumbwa mara tu awamu hii ya serikali ilipoanza?!, anyway, nadhani TISS Iko likizo.
hao wanaojiita TISS wanafaham hili??
Maana hii inahatarisha usalama wanchi
 
Kundi la wanajeshi kutoka vikosi mbalimbali Tanzania ambao wamepiga kambi MGULANI kwa aajiri ya Maandalizi ya GWARIDE la muungano juzi juzi hapa walifedheheshwa na CAPTEN wao baada ya kuwambia TAARIFA ya kuwalipa shilingi 80000 kwa siku ni ya uongo ilikosewa na badala yake hiyo 80000 itakuwa ndo posho ya mwezi mzima wa maandalizi ya gwaride la muungano.

Yani ndani mwezi mzima wa GWARIDE jamaa watalamba laki kasoro 20000 kama kifuta jasho chao.

Hata hivyo walipo jaribu kuhoji mbona police wao wanapewa hela hiyo ya 80000 kwa siku walijibiwa kuwa police wao ni kama waalikwa kwenye maadhimisho na hawatakiwi kujifananisha na POLICE KAMWE.

mytake. Serikali muwajari hawa wanajeshi siku wakigeuka hawa hatatoka mtu ndani ooooohhhh.

Majeshini haya ni ya kwaida tena JWTZ yanatisha kuliko majeshi mengine. mfano mzuri ni ukwasi aliokutwa nao shimbo, unavyopatikana ni kwa vitendo vyake vya kukata posho za askari walioko operation katika sehemu mbalimbali za dunia.

Kimataifa, askari analipwa 12,000,000/- ni pesa za UN. Polisi wanapewa zote, lakini JWTZ wanaambiwa pesa hizo zinalipwa kikosini, wakirudi unapewa let say 2,000,000/- hadi 5.000.000/- out of 144,000,000/- kwa mwaka.

hivyo operation za polisi zinawalipa zaidi kuliko za JWTZ, kwani wajeda pesa zote zinaenda jeshini, na hivyo kuishia kwa wajanja wachache kama kina shimbo vileeee
 
Habari hii ina mashaka kidogo, kwa nini?

Kwa mshahara wa askari polisi na JWTZ kwa rank & file night allowance yake ni Tshs 45,000.00 per day. Kwa baadhi ya ngazi fulani ni kuanzia Tshs 80,000.00 per day.

Sasa askari hao ambao wengi ni rank & file wanapokuwa parade huwa wanalipwa night moja kwa kila siku ambayo rate yao ni Tshs 45,000.00.
Swali au shaka ya habari hii ni hii, wamepandisha lini hiyo rate toka 45,000 - 80,000?

Mwisho msiilamu TISS kwa kuwa hamjui mfumo wake jinsi ulivyo, nakuhakikishieni ni vitu vichache sana vinaweza kufanyika kama hivyo TISS isijue. Ikiwa kweli naamini taarifa itakuwa imefika sehemu husika tayari.
 
Mkuu kwenye "Operation za UN" (hivi sasa) Askari anafungua Akaunti ya USD kabla ya kuondoka nchini na UN wanaweka posho zake moja kwa moja kwenye Akaunti hiyo kila mwezi.

JWTZ wanapewa na UN pesa kwa ajili ya chakula na gharama nyingine za kiutawala.
 
kama parade lingefanyika mtwara hapo sawa lakini dar ni jiji kwa hiyo 80000 ndio perdiem husika.
 
Wanawaibia wanajeshi pesa hizo. Lazima wakichunguzwa hao watoa pesa watakuwa wanakata ya kula wao.
 
hao wanaojiita TISS wanafaham hili??
Maana hii inahatarisha usalama wanchi

the govnt is broke since sept last year
posho na mishahara ya wafanyakazi wa chini ni matatizo makubwa inalipwa baada ya serikali kukopa bank
 
Mkuu kwenye "Operation za UN" (hivi sasa) Askari anafungua Akaunti ya USD kabla ya kuondoka nchini na UN wanaweka posho zake moja kwa moja kwenye Akaunti hiyo kila mwezi.

JWTZ wanapewa na UN pesa kwa ajili ya chakula na gharama nyingine za kiutawala.

kutoaminika binafsi naona ni kitu kibaya sana, kuna wahisani miaka ya tisini walikuwa wanataka kusimamia miradi wao wenyewe, hii ni kwasababu ilikuwa tukipewa pesa either miradi haikamiliki au inakuwa mirad hewa na pesa ndo imekwisha, ni aibu sana
 
Ni kweli, Imani ingekuwepo UN wangelipa Posho za Askari kwa JWTZ na JWTZ wangewapa Askari husika.
 
MWANDISHI wa safu ya ‘Kalamu ya Mwigamba (36)' inayochapishwa kila Jumatano na gazeti la Tanzania Daima, Samson Mwigamba (36), jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kwa kosa la kuwashawishi askari na maofisa wa majeshi ya hapa nchini kuacha kuitii serikali iliyopo madarakani kwa sasa.
Msiwachochee askari
 
huyu jamaa hana uhakika na alichokiandika ''nyie hamjashitukia''?
Kama mimi sina uhakika nenda pale mgulani wapo jamaa wanafanya maandalizi ya Gwaride mwezi mzima mpaka siku hyo ya muungano then wanalamba hyo themanini...nenda kawaulize au kama una ndugu mwanajeshi ana jamaa yake yupo kambi hapo mulize ulete jibu na kama mi ntakua mwongo Nipgwe BAN ya mwaka mzima.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom