Kugoma ni lazimaMadhara ya kumlipa mtu kama Lusinde mshahara mara 10 zaidi ya ule wa Daktari ndiyo makubwa zaidi kwa taifa kuliko mgomo wa madaktari. Nitawashangaa sana wasipogoma.
Kila jambo linakwenda kwa mizania maalum...km ni hivyo kuna fani muhimu zaidi kuliko udaktari lakini hazijishebedui kujiona wao ni zaidi...kilichopo ni mgawanyo tu wa kazi ambao kwa ujumla wake ndio unaofanya pakakalika na hata madaktari wakapata kutoa tiba....Huu ni ujiiinga na ufaaala wa serikali yetu, eti mbunge 6,000,000. dactari 950,000. Hivi wanajua kilaza yeyote yule, hata anayesinzia anaweza kuwa mbunge lakini sio dactari. Ngoja niache nisije pata Ban.
mmmmmh nawewe unachemsha sasa kwani pharmacist asipodispense dawa kuna ambaye ataathirika?si daktar au nesi wapo nao wanaweza dispense coz wote wamesoma pharmacology...Kila jambo linakwenda kwa mizania maalum...km ni hivyo kuna fani muhimu zaidi kuliko udaktari lakini hazijishebedui kujiona wao ni zaidi...kilichopo ni mgawanyo tu wa kazi ambao kwa ujumla wake ndio unaofanya pakakalika na hata madaktari wakapata kutoa tiba.....
Hebu imagine km pharmacists wakigoma kudispense dawa kwa walengwa cheti kilichoandikwa na daktari kitakuwa na thamani gani kwa mgonjwa....km manesi nao wakisema wao ndo muhimu zaidi kwa vile ndio wanaoshinda na wagonjwa na wakaamua kugoma kwa ulevi uleule wa madaktari...
Pprescriptions za madaktari zitakuwa na msaada gani kwa wagonjwa? Ndio maana dole gumba halina haki wala mamlaka ya kujiona ni bora zaidi katika mguu kuliko vidole vingine kwani kwa ufanisi wa mguu hutegemea umoja na utimilifu wa viungo vyote vinavyounda mguu.
Safari hii the so called Doctors wasinipitie karibu..nitawanasa vibao!
Kweli vilaza kama Mch Rwakatare, Munde, Vick Kamata, Nyangwine, Mkumba, Nchemba wanastahili Tsh 6,000,000 halafu Daktari anapata laki 9. Give me a break!!!!!!
Haya ndugu ila kumbuka kusali usipatwe na tatizo wakati huu kwani utajuta kuzaliwa! Watu wanadai fungu lao wewe unaleta siasa!!Safari hii the so called Doctors wasinipitie karibu..nitawanasa vibao!
Kugoma ni lazima
Kweli vilaza kama Mch Rwakatare, Munde, Vick Kamata, Nyangwine, Mkumba, Nchemba wanastahili Tsh 6,000,000 halafu Daktari anapata laki 9. Give me a break!!!!!!