Dr. Hosea: Chenge sio fisadi wa Rada

Penye genge la wezi nani amseme nani. Anyway Takukuru as an institution need to rethink whom are they working for. Are they working against wananchi, or they are working for their network of big stomachs who have no mercy for the poverty of this country. If this institution was meant to work seriously, their boss would have been sacked out long time ago.
 
Hii ni moja kati ya sababu ya ufanisi mbovu WA institute yake. That's why hastahili post ile.
 
Siku moja nilikuta "viongozi" flani kwenye hoteli moja hivi. Kati ya mazungumzo yao lilikuwa swala rushwa hapa nchini. Unajua walisemaje?
 
For that matter, kulikuwa na ulazima kwa Dr. Hosea kuongea kuhusu Change?
IF he will not be careful, people will start questing the credibility of the University which awarded him a Doctorate degree.

hapa chuo kinahusika vp? Watu wengine mnaudhi sana,na hii ni dalili ya akili makamasi.
 
Yule sijui mpare si nani aliyejitokeza na ushaidi wa Kagoda mbona hasikiki na wala hakuna kesi iliyofunguliwa? We better concentrate on what can feed our families, the rest will be taken care by M4C
 
Mnalidhalilisha jukwaa, hakuna hata mmoja aliyeleta source ya conclusion yake kuwa alichosema Hosea ni uongo. Wengi ni mashabiki mnaorukia hisia zenu bila kuwa critical enough kujua anachosema Hosea. Naweza kuelewa, kwa umasikini wetu hata muda wa kutafakari ni mdogo, ila si kisingizio cha kutokukaa chini na kutafakari kwa umakini kabla ya kugeuza mambo nyeti kuwa ya ushbiki kama mpira ambao lolote lafaa kusemwa hata kama halina ukweli ili mradi linaburudisha.
 
Back
Top Bottom