Dr. Hosea: Chenge sio fisadi wa Rada

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source Uhuru

Mkurugenzi wa Takukuru Dr. Hosea kamsafisha mbunge wa Bariadi mh. Chenge na kusema hausiki na ufisadi na dhuruma ya ununuzi wa rada ila kama labda ashitakiwe kwa fedha zake kazipataje na sivinginevyo.

My take

Hivi mpaka leo wanatudanganya juu ya hili mie nadhani tuifutilie mbali takukuru tubaki na polisi sababu hawana maana
 
Tumeshasikia wimbo wake ..anyamaze naye na takokururu yao
SAM_1251.JPG
 
huwezi kumlaumu hosea ingawa naye ni sehemu ya matatizo lakini kiini hasa ni katiba yetu mbaya inayompa Rais mamlaka ya kumiliki na kuviendesha vyombo vya kusimamia haki za raia kuanzia takukuru, polisi, ofisi ya DPP na vinginevyo. wahusika akiwemo Hosea wana serve tu for the pleasure of the president kwahiyo hawana mamlaka kamili ya kimajukumu wanaweza
kutaka kuchukua hatua lakini kama Rais hataki basi huwezi kufanya kinyume na bosi wako. kinachotakiwa kufanyika ni kuleta mabadiliko ya katiba ili vyombo vyote vya kusimamia haki za wananchi ziwekwe chini ya bunge hata kama rais atakuwa na madaraka ya kuwateua lakini ni lazima bunge liwathibitishe na kuakikisha ni bunge tu lenye mamlaka ya kuwaondoa hapo ndipo utaona kivumbi kwa sababu si rahisi kwa bunge kukubali kutumiwa kulinda maslahi ya mwizi mmoja tu.
 
Wanasubiri taasisi nyingine yoyote itangulie kumnyooshea mkono nao wadakie hapohapo kuanza kumchunguza!haya majitu mapongo kabisa.
 
Source Uhuru

Mkurugenzi wa Takukuru Dr. Hosea kamsafisha mbunge wa Bariadi mh. Chenge na kusema hausiki na ufisadi na dhuruma ya ununuzi wa rada ila kama labda ashitakiwe kwa fedha zake kazipataje na sivinginevyo.

My take

Hivi mpaka leo wanatudanganya juu ya hili mie nadhani tuifutilie mbali takukuru tubaki na polisi sababu hawana maana

You have taken too long to realize that TAKUKURU is a useless
 
For that matter, kulikuwa na ulazima kwa Dr. Hosea kuongea kuhusu Change?
IF he will not be careful, people will start questing the credibility of the University which awarded him a Doctorate degree.
 
Source Uhuru

Mkurugenzi wa Takukuru Dr. Hosea kamsafisha mbunge wa Bariadi mh. Chenge na kusema hausiki na ufisadi na dhuruma ya ununuzi wa rada ila kama labda ashitakiwe kwa fedha zake kazipataje na sivinginevyo.

My take

Hivi mpaka leo wanatudanganya juu ya hili mie nadhani tuifutilie mbali takukuru tubaki na polisi sababu hawana maana

wiki hii inayoisha nimemsoma kwenye nipashe amesema kuwa TAKUKURU inazingatia HAKI ZA KIBINADAM,
pia akaenda mbali zaid akasema kwamba TAKUKURU inajitahid sana kufanya kazi ila watu wanataka ifanye wanavyotaka wao,ushahid aloutoa ni pale alipoweza kuokoa bil 2(kama sijakosea) zilizotzkz kupotea kwenye halmashauri 2 hapa nchini
 
For that matter, kulikuwa na ulazima kwa Dr. Hosea kuongea kuhusu Change?
IF he will not be careful, people will start questing the credibility of the University which awarded him a Doctorate degree.

udsm,,,,,tena kitivo cha sheria,,,chini ya mukandala.....
 
Wanasubiri taasisi nyingine yoyote itangulie kumnyooshea mkono nao wadakie hapohapo kuanza kumchunguza!haya majitu mapongo kabisa.

hahahahaaa,,,hata mkulo atakuja sema hana hatia,,,DPP nae atathibitisha,TAKUKURU MTUAMBIE je ni pesa za chenge nazo anastahili????
 
Kwa hiyo ile kashfa waliyokua wanaipigia kelele wabunge wa Uingereza mpaka ikaenda mahakamani na hela kurudishwa Waingereza walikua wanatudanganya au?mbona Chenge amehusishwa moja kwa moja?hii Takukuru ni useless kabisa
 
Kurudishwa kwa chenji ya RADA ni uthibitisho tosha pale mchezo mchafu ulifanyika, na TAKUKURU ya uingereza iilithibisha huo uchafu!
 
SISI HATUJALAZIMISHA CHENGE AWE MTUHUMIWA,TUNACHOTAKA NI YUPI MTUHUMIWA?
AU NI BOSI WA CHENGE?
KWA KUWA CHENCHI IMESHARUDI BASI NI LAZIMA HAPO KUNA KESI JE KWA UCHUNGUZI WENU NI NANI ALIYETUINGIZA HUO MKENGE?

au takukuru imechunguza tu uhusika wa chenge?na kama ndivyo inabidi tumtume yule jamaa wa nida aje kuchunguza vyeti vya takukuru.
 
Takukukuru inatumika kama dawa ya ganzi, ili tusisikie maumivu wakati tunaibiwa. Wamechangia kwa kiasi kikubwa sana nchi kuibiwa. Hawa jamaa si msaada kabisa bali ni vibaraka wa wezi. Bora ifutwe tujue moja kwamba haipo tupambane wenyewe.
 
Source Uhuru

Mkurugenzi wa Takukuru Dr. Hosea kamsafisha mbunge wa Bariadi mh. Chenge na kusema hausiki na ufisadi na dhuruma ya ununuzi wa rada ila kama labda ashitakiwe kwa fedha zake kazipataje na sivinginevyo.

My take

Hivi mpaka leo wanatudanganya juu ya hili mie nadhani tuifutilie mbali takukuru tubaki na polisi sababu hawana maana

Nitamtetea hoseah mpaka mwisho wa takukuru! Mwenye matatizo nchi hii anajulikana, rushwa anazitetea yeye na hoseah alishasema (wikileaks). Mwambieni acheni kumuonea huyu hoseah bana.

Halafu takukuru ndio taasisi yenye nafuu kuliko zote za serikali hii, unaesema ifutwe ibaki polisi hujui au umesahau madudu ya polisi.
 
Kurudishwa kwa chenji ya RADA ni uthibitisho tosha pale mchezo mchafu ulifanyika, na TAKUKURU ya uingereza iilithibisha huo uchafu!

Naamini 100% maneno haya ya Hosea atakuja kuyakana huko mbeleni, tuombeane uzima tu
 
Back
Top Bottom