bakuza
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 490
- 100
Source Uhuru
Mkurugenzi wa Takukuru Dr. Hosea kamsafisha mbunge wa Bariadi mh. Chenge na kusema hausiki na ufisadi na dhuruma ya ununuzi wa rada ila kama labda ashitakiwe kwa fedha zake kazipataje na sivinginevyo.
My take
Hivi mpaka leo wanatudanganya juu ya hili mie nadhani tuifutilie mbali takukuru tubaki na polisi sababu hawana maana
Wananifurahisha sana hawa Takukuru ina maana Hosea anafikiri enzi hizi ni sawa na miaka ya 47 Hatudanganyiki heri akae kimya