Dr. Hassy Kitine, aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, atangaza nia kugombea Urais Tanzania

Ili CCM ijipange upya, ni sharti ipigwe chini, inyang'anywe dola iwe chama cha upinzani at least for some years ili ijivue gamba labda watakuwa wapya.

From there, wataona matatizo ya watanzania na siku wakija kupewa uongozi wa dola tena, watakuwa wamejifunza and I hope wataweza kuja kufanya vizuri!.

Kwa CCM hii na kwa wakati huu, nothing is new, wote wameoza tena wananuka uvundo wa halafu mbaya kupindukia!
 
bila ccm kukaa nje ya dola hawawezi kujuwa shida za watz. na hawawez kuujuwa umaskin ulio tengenezwa na wao.akili iliyo tengeneza tatizo haiwez kutumika kutitatuwa tatzo hilo.
 
Mwalimu amekuwa pai kwa kila mgombea hivi mbona hamumtaji karume,?au yeye si muasisi,au mnagombea uraisi wa Tanganyika?maana mwalimu alikuwa mtanganyika,.Ni unafiki mkubwa kujifananisha na mwalimu wakati hamna sifa,au ndio kumkebehi marehemu?Hivi angekuwa hai huu utitiri wa mafisadi wanaochukua fomu wangeshubutu?
 
MPWA usihofu emirato inaingia kesho mchana ntakuwa na tab yamaana tu ukiona yaleyale ujueijumaaa ishaanzaa haposina lakujibu
 
Swahiba wa Dr.Slaa mwana CCM na aliyewahi kuwa mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Hansy Kitine ametamba kuwafunga miaka mitano wote wanaodai ni ma-doctor wakati hawajaenda shule na hawana vigezo.
 
Duh!
Hapo ndipo nilipochoka kwani kuna vitu ambavyo ni level ya chini yeye kavibebea bango kuwa itakuwa ni kipaumbele chake kama kutupa taka ovyo, kutanua barabarani, na kuendesha ovyo ovyo, ni kweli hivi ni kero bali ni vya level ya DC nilitegemea ataongelea uchumi imara lkn hakufanya hivyo kama nilivyotarajia. Kasisitiza usalama wa taifa na kuwa anazijua ikulu zote hapa nchini ikiwa ni pamoja na chumba alipokuwa analala baba wa taifa!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
nime ipenda hii

Jibu: Uzuri wa ushushu, na mimi nakufahamu japo hatujaonana ndg Majura. Uongozi wa mwalimu bado uko relevant kwenye uongozi wa leo.


 
nime ipenda hii

Jibu: Uzuri wa ushushu, na mimi nakufahamu japo hatujaonana ndg Majura. Uongozi wa mwalimu bado uko relevant kwenye uongozi wa leo.


Hahaha, hapa anamwambia kiujanja Abdallah majura kuwa anafahamu siri zake. Anyway, huyu nae si alijiuzuru uwaziri kwa kashfa ya kufoj na kuiibia serikali pesa za matibabu ya mkewe. Usafi anaosisitiza ni upi labda?
 
Huyu siye aliyeghushi matibabu ya Mkewake miaka ya nyuma na akaumbuliwa na Membe Bungeni? Au namchanganya? Mwenye uhakika zaidi atujuze plzzz!
 
emoji378.png

[/QUOTE
tick.. tock.. tick.. tock..
 
Back
Top Bottom