Dr Edwaed Hoseah ni nani?

ba mdogo

Member
Oct 6, 2009
33
0
:drum:

Dr Edward Hoseah ni nani?


waja JF hebu nusaidieni. nimesoma na kusikia mambo mengi kuhusu Dr Hoseah ila sijapa wasifu wake mpaka sasa. Nisaidieni kupata cv yake na nguzo hasa anayoiegemea hadi kuwatishio hapa nchini. Itasaidia kujua kiburi chake cha hadi kumvua nguo Rais wake kwa wahisani anakozipata. Ni mtanzania kweli? au ni kibaraka?
 
Back
Top Bottom