Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

Huyu jamaa ni Osama kinoma lakini kitu cha kushangaza ni kwamba ingawa ni mwenyekiti wa benki ya Barclays bado anaficha pesa uchagoni kama walivyomuibia nyumbani kwake siku chache zilizopita!! Ingekuwa enzi za utawala bora asingekuwa hapo Nssf mpaka leo hii; ashukuru udini ndio unatawala serikali ya Kikwete!!

nimekitafuta kitufe cha senksi sijakiona. Umeongea "pwenti" tupu mkuu
 
Huyu jamaa ni Osama kinoma lakini kitu cha kushangaza ni kwamba ingawa ni mwenyekiti wa benki ya Barclays bado anaficha pesa uchagoni kama walivyomuibia nyumbani kwake siku chache zilizopita!! Ingekuwa enzi za utawala bora asingekuwa hapo Nssf mpaka leo hii; ashukuru udini ndio unatawala serikali ya Kikwete!!
We kweli chizi, Mbona Hyo Dr. Dau mwenyewe kateuliwa na mkapa (mkristo) kurepale nafasi ya Edward (mkristo).
Wakristo badilikeni hii si nchi yenu pekee ni yetu sote. Najua mnajidaganya kuwa nasasa mtafanya kama kipidi cha Nyerere, hiyo sahau sasa kila moja anajua kuwa hiki ni kijiko na lile ni beleshi.
Miaka karibia 50 mko madarakani, hamna chochote cha maani mlichofanya zaidi yakuishia kuiba na kwenda kulewa bar. UJINGA.
 
Kama anafaa sana kama wengine mnavyoona na azuiwe kwenda huko ili asaidie kujenga TZ iliyochoka.
 
We kweli chizi, Mbona Hyo Dr. Dau mwenyewe kateuliwa na mkapa (mkristo) kurepale nafasi ya Edward (mkristo).
Wakristo badilikeni hii si nchi yenu pekee ni yetu sote. Najua mnajidaganya kuwa nasasa mtafanya kama kipidi cha Nyerere, hiyo sahau sasa kila moja anajua kuwa hiki ni kijiko na lile ni beleshi.
Miaka karibia 50 mko madarakani, hamna chochote cha maani mlichofanya zaidi yakuishia kuiba na kwenda kulewa bar. UJINGA.

Ngwendu, waarabu waliwaingiza mkenge,,hawakuwaachia hata shule moja sasa mmefulia. Nyerere aliwasaidia sana, hata hivyo bado mmefulia na hamtatoka. Too late! acha lawama, jitambue!
 
Originally Posted by Nancy Tweed
Hana lolote, wamempendelea kwa sababu muislamu mwenzao tuu

Hebu tujaribu kuchambua mambo kisomi na kwa ajili ya kuisaidia jamii. Tujaribu kuwa critical kwenye michango yetu kuliko kupoliticise na kuelekeza kwenye mtizamo wa kidini kila jambo.Serikali haina dini lkn watu wake wana dini, Je, ni sahihi kuanza kuhoji dini kwa kila mtu kuliko kuangalia uwezo binafsi wa mtu? Tubadilike basi.
 
Alafu wengi mnasema Tanganyika hakuna Udini sasa huu ni nini? sababu ya dini yake asipewe pongezi.

Nakupa BIG UP Dr Ramadhani Dau.
 
I know better the guy, basically he is good shida yake kuu ni UDINI
 
Congrats. Ila aboreshe kitengo cha mawasiliano na UMA PPF. amekaa kimya sana juu ya kelele za ZITTO na Kiwira. tutaanza kufikiria otherwise ohoo.
 
I know better the guy, basically he is good shida yake kuu ni UDINI
tena udini (uislam) wenyewe ni kwa sababu ni swala 5 tu na si vinginevyo. Wala hajawahi kumnyima mtu haki yake wala kumnyanyasa. Ukiwa dhulumati ni tabu sana.
 
Back
Top Bottom