zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Kijana Kupanga ni kuchagua,
from thise price CT SCAN is almost 1 Billion , which is equal to 4 V8.
au na hili una bisha?
Soma kichwa cha habari kinasemaje na post namba moja?
Kijana Kupanga ni kuchagua,
from thise price CT SCAN is almost 1 Billion , which is equal to 4 V8.
au na hili una bisha?
Huyo Daktari ni muongo wa kutupwa, siku hizi kila kitu kiko wazi, gharama ya CT scan hii hapa:
the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx
Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.
There is also the cost of the Tomography room where the unit sits in. It consists of specialty HVAC system that provide perfect humidity and temp.control. Also specail independent electrical circuits to power the equipment, and RAM (radio absorbent)materials for the walls. The cost of a CT room can varry from $250,000- $750,000.
Read more: How much does CT Scan machine cost
mkuu hata kama sio kweli, kwa gharama hizi ulizoweka mbona ni kama mashangingi manne au matano tu?....serikali ina utitiri wa hayo mashangingi....haikuona umuhimu hata kuwa na CT scan moja au mbili mpya kwa ajili ya HOSPITALI YA TAIFA narudia tena HOSPITALI YA TAIFA .... shida ya serikali yetu ni priorities, wangeboresha hata mazingira ya kazi hilo swala la mishahara wakawaambia litelekezwe pole pole kwa jinsi bajeti inavyoruhusu.....inatia aibu national hospital na referral hospital kukosa vifaa muhimu halafu unaambiwa nenda agakhan au regency hospital..... saa ingine mtu wa kawaida unaweza jiuliza ni sabotage au ni nini hii .... waziri anapata ajali anaenda chukuliwa kipimo hospitali ya regency (private) kisa eti hicho kipimo hospitali ya taifa ni kibovu, na wahusika wako kazini na wanavuta mishahara tu
Naomba soma post namba moja na kichwa cha habari kinasema nini, mbona mnashindwa kumwambia mleta mada kuwa ni uongo?
mheshimiwa nimekuelewa point yako....wewe ni kama spika wetu bi makinda anayeshikilia kanuni kuzima points ambazo ni muhimu
yes mleta mada amekosea kusema bei ya CT scan moja ni sawa na shangingi moja
ILA utakubaliana nami kuwa ujumbe umefika kwamba wakipunguza ununuzi wa mashangingi yanayotumiwa na mtu mmoja, wanaweza kununua vifaa vingi muhimu kwa HOSPITALI YA TAIFA + referral hospitals kwa manufaa ya watanzania walio wengi .... UJUMBE SENT!!!
Kwa kuwa umekubali kuwa mleta mada kasema uongo sasa tuendelee.
Hayo ya mashangingi sasa hivi sio mjadala tena, juzi Mheshimiwa Pinda Bungeni kisha toa tamko kuwa kuanzia sasa Gari zisizidi cc 3000. Mashangingi yanayoongelewa hapa yenye gharama kubwa ni VX 8 ambazo zinaanzia CC 4000 na zaidi.
Hapo hatuna mjadala zaidi. Au hukumsikiliza Waziri Mkuu Bungeni akijibu hoja hiyo?
kama imechukua miaka 7 kugundua hilo then aliyesema tuna serikali dhaifu hakukosea
mashangingi ni kiitu kimojawapo tu ambacho kingeweza kusave gharama zisizo muhimu ili kupeleka maendeleo na huduma muhimu kwa wananchi...... posho za vikao wakati ni sehemu ya kazi, mikutano kuhamisihiwa nje ya miko ili watu wapate per-diems tu, majengo ya serikali yana kumbi za mikutano lakini bado vikao vya serikali vinapelekwa hotel binafsi tena nje ya mkoa, marekebisho ya mikataba mibovu hasa ya madini ....NIENDELEE?
Endelea tu, usifikiri hayo yameanza leo, imechukuwa miaka 50 kulielewa hilo. Ngoja nikupe kisa cha wakati wa Nyerere, nna uhakika haukuwepo:
Nakumbuka wakati tuna dhiki, hata kula hatuna mwaka 1979, Nyerere kwa kujifaharisha akaagiza benzi (Mercedes Benz) mpya za kifahari (presidential) 77 na escort ya hizo Benz ni Benz zingine 3 x 77 = 231 + 77= 308, akajenga na hoteli ambayo imekufa huko Arusha inaitwa 77, yote hiyo kujifaharisha na kujionesha kuwa hana dhiki na ujamaa ni mzuri wakati anajiumiza yeye mwenyewe. Na hiyo ilikuwa ni kuwakirimu wageni kwa wiki moja tu ya Mkutano wa "Group of Seventy Seven". Upo hapo ulipo?
Huoni kuwa ni vyema kuwa hao wote wa kabla yake hawakuliona kaja kuliona Kikwete na kulirekebisha ni achievement kubwa sana.
sasa mkuu naona unachekesha .... kwa kuwa nyererere alifanya kitu flani hai justify kikwete kufanya uzembe huo huo
watu wangeelewa kama kikwete angeendelea pale alipoacha mkapa kwa kurekebisha kasoro alizoziona ..... ndivyo mwinyi alivyofanya alipoingia madarakani na ndivyo mkapa alivyofanya alipoingia madarakani pia
kikwete atashukuriwa kwa uhuru wa kupata habari tu (ingawa bado baadhi ya vyombo vya habari hunyamazishwa kuhusu kutoa habari ambazo sio nzuri kwa serikali mfano mzuri TBC ambayo ilitegemewa iwe ndio kimbilio la wananchi wote)
tatizo la awamu ya nne ni .... jinsi ilivyoingia madarakani kwa pupa, kuona awamu ya tatu hawakufanya kitu, kuweka watu waroho wa madaraka na mali kupita kiasi ...
kama issue ni corrections ya magari, kulikua na ulazima gani wa kikwete kununua a series of BMW saloon and 4X4 cars plus a number of LEXUS (premium version of TOYOTA) and a lot of mashangingi kwa matumizi ya serikali wakati mercedes benz alizokua akitumia Mkapa ndio kwanza zilikua mpya
ukubali ukatae, serikali ya awamu ya nne imefuja sana hela kidogo tuliyokua nayo na tunaendelea kupata na kuitumia kwa matumizi yasiyo ya lazima huku huduma muhimu zikikosekana
nilitegemea kwa miaka hii michache iiliyobaki wangejirekebisha ila hawaonyeshi hivyo na huu ndio ukweli na hali halisi wananchi wa kawaida wanayoiona!
Huyo Daktari ni muongo wa kutupwa, siku hizi kila kitu kiko wazi, gharama ya CT scan hii hapa:
the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx
Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.
There is also the cost of the Tomography room where the unit sits in. It consists of specialty HVAC system that provide perfect humidity and temp.control. Also specail independent electrical circuits to power the equipment, and RAM (radio absorbent)materials for the walls. The cost of a CT room can varry from $250,000- $750,000.
Read more: How much does CT Scan machine cost
utasikia mijinga kule bungeni inasimama na kusema kwanza naunga mkono 100 kwa 100....wakati issues zinazo matter the most hazipewi kipaumbele. Shame bunge la viti maalum.