Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

Wewe unashangazwa nini kuhusu misaada? kwani ni leo tu.

Kumbuka Kikwete katutoa kwenye kutegemea misaada kwa asilimia zaidi ya 60 kufikia chini ya asilimia 40.


Mkikosa hoja mnaanza viroja, nenda katazame operation theaters za Muhimbili zilivyoboreshwa.

Kwahiyo Wajisikia Raha Amepunguza Uomba Omba kwa Asilimia 20 tu Wakati nchi Ina rasilimali Nyingi hadi Watoa Misaada Wanashangazwa hadi Wana Mnanga Raisi... na hapa Kwetu hadi kapata Majina Mengi Sana ....

Rushwa Imeongezeka kwa Zaidi ya Asilimia 90

Uzembe Serikalini Uliongezeka kwa zaidi ya asilimia 80 Kelele za Upinzani zikasaidia na kupunguza na kufikia asilimia 50

Safari za Raisi zimeweka Rekodi ya Dunia kwa Raisi Msafiri hadi Watu wanafikia Kumpa majina Mengi ya Dhihaka.. lakini Bado Anaendelea tu!!! Knahitajika uchunguzi Raisi anaposafiri akaguliwe pengine kuna vitu huwa anasafirisha...

Madawa ya Kulevya yameongezeka na Hatujawahi tuone yanavyoteketezwa yale yanayoshikwa... Kuna ufadhiri wenu hakika...

Hana la Kujisifia kwa Hospital zetu na analijua hilo kuna uwezekano hajawahi tibiwa pale, labda manesi waliompima Damu siku alipohamisisha upimaji.

Raisi ana machache sana ya kujisifia na Mengi sana ya Kulaumiwa hakai kwenye Mzani... ni Aibu tupu
 
Back
Top Bottom