Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Dr Bilal ateuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela,Prof Mwakyusa Mwenyekiti wake.
Source: Michuzi Blog
Source: Michuzi Blog
Cha ajabu huyu aliyemtelekeza Baba wa Taifa kuendelea kulitumikia Taifa hili wakati watu wameshaanza kumuona ni msaliti wa wengi.Si mchezo soon naye atakuwa professa billal
Mkuu aliyenacho ataongezewa na asiyenacho atanyanganywa hata kile kidogo alichonacho.Sasa wajameni kazi za umakamu atamuachia nani?
Naomba kujua kama Chuo hiki kimeshakamilika kujengwa?Chuo chenyewe kuelekea huko mandela road haina lami,aibu 2pu.wanasiasa wanabebana...magamba bwana
JK amesababisha UDINI UDOM na sasa anaipeleka hii sumu Mandela!
Dr Bilal ateuliwa kuwa Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela,Prof Mwakyusa Mwenyekiti wake.
Source: MICHUZI: dr bilali ateuliwa kuwa mkuu wa chuo nelson mandela, prof mwakyusa mwenyekiti wake
Ndio, angalia hapa The Nelson Mandela African Institute of Science and TechnologyNaomba kujua kama Chuo hiki kimeshakamilika kujengwa?