Dr Batilda akimbizwa Selian Hospital !!!!

Kuna habari nimezipata sasa hizi kupitia simu kuwa mgombe ubunge kwa tiketi ya CCM Arusha Dr Batilda amekimbizwa Selian Hospital kwa mshtuko !!!

Kama kuna mwenye taarifa zaidi ???

Jamani hata kama ni ushabiki tupunguze.
Hii habari si ya kweli na Dk Batilda yupo Municipal anaanagalia jinsi matokeo yanavyoingizwa kwenye mtandao.
Ila habari niliyoipata ni kwamba amepanic sana, na wameshakujana ngumi na Lema baada ya kurushiana maneno.
Wakati wakijibizana akatokea mdogo wake Dk Batilda, ambaye ni wa Kiume wakakwidana na Lema, lakini mambo ni shwari.
 
Yuegen?...mhh jamani hebu amamni iwepo tu, ni kweli Mbowe kafika hapo?
 
La msingi hapa ni Msimamizi wa uchaguzi atekeleze wajibu wake na kuachana na siasa uchwara.................
 
Back
Top Bottom