Dr. Azaveli Lwaitama, Prof. Seith Chachage (RIP) vs Dr. Bana & Prof Mukandala et al

Dr Lwaitama kwa mshahara, machapisho, ziara zake nje na ndani haviendani kabisa na maisha anayoishi yeye na familia yake. Ni kipenzi tu cha watu wa Tv. Anaelekea kushindwa sana maisha!
acha majungu, Dr Lwaitama anaishi vizuri tu, nafahamu mpaka kwake. he is just a normal person na maisha ya kati kama mfanyakazi wa umma
 
nakubaliana na msando's, Dr Azaveli Lwaitama yule mtu balaaa! mi nampenda sana. ila Dr Bana cjui, yule jamaa hata nikimeet nae mahala mmmmmmhhh, aliniuzi sana hasa kipindi kile cha eti kutoa utafiti wakati wa campaigns, ni jamaa wa ajabu sana. hawezi kusimama yeye kama yeye. Dr Lwaitama juuuuu!
 
acha majungu, Dr Lwaitama anaishi vizuri tu, nafahamu mpaka kwake. he is just a normal person na maisha ya kati kama mfanyakazi wa umma

Maisha mazuri ni subjective. Kwa wengine wanaona kulimbikiza mali ni maisha mazuri. Si kweli. Kuna watu wanaishi vijijini, maisha ya dhiki lakini mazuri. Kuna watu wanaishi mijini, maisha ya anasa lakini mabaya.

Naamini kwamba Dr. Lwaitama anaishi maisha mazuri na kama yangekuwa mabaya asingeshindwa kuyabadili kuwa mazuri kwa tafsiri yake yeye na sio ya mtu mwingine.

Hapo wameanguka wengi. Kwenye kutafuta au kutaka maisha mazuri.
 
A lot of brain in Africa is in the graveyard. I am sory to say this.

Undugunisation
Aswahiba
Shosti
NK

The days are numbered.:gossip:
 
Fredrick,

Ni kina nani ambao siku zao zinahesabika? Na ni nini kitakachotokea kwa hayo waliyoyafanya? Tunatakiwa tujiandae vipi na hayo yanayoweza kutokea?

Pia, unadhani watakayosababisha na kuwezesha hayo yatokee ni wasomi au wale ambao si wasomi?
 
Back
Top Bottom