Dr. Azaveli Lwaitama, Prof. Seith Chachage (RIP) vs Dr. Bana & Prof Mukandala et al

Chapakazi,

Ni data zipi kamanda, kuhusu hawa wanazuoni na misimamo (mawazo yao ya kisiasa)?

Kama ndivyo tuweke wazi na kila mtu atakueleza anavyomfahamu yeyote kati ya hao.
 
Kwa bahati mbaya sana wetu wema hawadumu.Moja kati ya vitu vilivyonivutia kusoma UDSM ni huyu komrade Chachage (Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi).Kufundishwa na watu aina ya Chachage kwangu ni fahari sana.Nakumbuka amewahi kumwambia Rais Mstaafu B.Mkapa wakati akiwa rais,kuwa itamchukua muda mrefu sana Mkapa kuwa Profesa kuliko yeye (Chachage) kuwa rais.Hiyo ilitokana na tabia ya kibabe ya Mkapa,wakati Chachage akiwa Mwenyekiti wa UDASA.Wakati watu wa aina ya Chachage wanapukutika,watu wa aina ya Dr.Benson Bana wanazaliwa kwa uwingi.
 
Mwankunga,

Whenever I think of Prof. Chachage I feel my eyes getting wet again. He is my hero. During those times at UDSM he was a friend, a teacher, a lecturer, a professor and a parent.

One day when striking he came to us and told us 'you will be stupid to listen to 'them'....' them he meant his fellow lecturers who wanted us back in class!

May our good Lord give him eternal peace!
 
Dr Lwaitama kwa mshahara, machapisho, ziara zake nje na ndani haviendani kabisa na maisha anayoishi yeye na familia yake. Ni kipenzi tu cha watu wa Tv. Anaelekea kushindwa sana maisha!

Kuwa huru. Sema ukweli nawe utakuwa huru. Dr Lwaitama yuko huru kwa mitazamo wangu ni kama rangi ni nyeusi anasema ni yes ni nyeusi. Hakuna kuuma uma maneno.
Na kweli style yake ya kuusemea uovu kwa Tanzania hatapewa na consultancy au support ya maana from givernment and related machinery.

Mungu aendelee kumpa nguvu.

Chachage RIP.
 
WanaJF,

Kwa wale ambao wamebahatika kuwafahamu Dr. Lwaitama, Prof. Shivji na hayati Prof. Chachage (mwanazuoni aliyebobea aliyeandika Makuwadi wa Soko Huria na maandiko mengine mengi) watakubaliana nami kwamba katika viunga vya siasa zetu leo hii hawa ni wasomi wa aina yake, in life and in death.

Huwezi walinganisha na wengine kama Dr. Bana, Prof. Mukandala na wengineo ambao wananchi wengi wanawaona kama ni wasomi waganga njaa na waliopo kimaslahi zaidi kutokana na kushindwa kwao kujipambanua na wananchi wa kawaida katika mawazo na maisha yao wanayoishi.

For a minute, close your eyes mkumbuke Prof. Chachage. Think of what he championed. Visualize the Tanzania he advocated for. And say a little prayer thanking God the almighty for giving Tanzania Prof. Chachage and for allowing Prof. Issa Shivji and Dr Azaveli Lwaitama to continue in the same foot steps.

The life you live is a reflection of the heart you have, the words you say is a translation of the content of your mind!

I need say less!

dont forget the late prof.HAROUB OTHMAN
 
Prof. Haroub Othman. Yes, the other true son of Tanzania. He is among the Dr. Lwaitama, Prof. Shivji cloth piece! Same make. Same model.
 
Huwezi walinganisha na wengine kama Dr. Bana, Prof. Mukandala na wengineo ambao wananchi wengi wanawaona kama ni wasomi waganga njaa na waliopo kimaslahi zaidi kutokana na kushindwa kwao kujipambanua na wananchi wa kawaida katika mawazo na maisha yao wanayoishi.!

Katika kundi hili usimsahau prof Mwesiga Baregu, ameuza/amenunuliwa na kundi fulani la wapinga demokrasia ndani ya CDM huku akijua dhahiri kuwa kufanya hivyo ni kuisaliti taaluma yake, nadhani angekuwa ni mzalendo leo sura ya CDM ingekuwa ni bora zaidi au kwa usalama zaidi angeachana na kazi za chama akawa huru kama akina Lwaitama.
 
hapo red:Wahi Loliondo kabla dawa haijaisha naona wadudu ameshaanza kucross Blood brain barrier wamezifikia cells za ubongo.

Chapakazi,

Ni data zipi kamanda, kuhusu hawa wanazuoni na misimamo (mawazo yao ya kisiasa)?

Kama ndivyo tuweke wazi na kila mtu atakueleza anavyomfahamu yeyote kati ya hao.

Ndo hivyo maana wengine ndio tunawasikia leo. Mngeweka CV zao hapa ili na sisi tujue achievements zao. Sasa zimebaki story tu zisizo na substance yeyote.
Hicho kitabu chake cha Makuwadi wa Soko Huria kinazungumzia nini?
 
Jamani poleni sana. Dr. Lwaitama is still very alive. .

Dr. Lwaitama has proven himself to be a true soul. He has Tanzania at heart and in any circumstance he has remained objective and kept his reputation. He does not pamper the power holders with sweet words or cooked statistics just to put bread on his desk!

He is a true academician! A fact is a fact!

Mkuu.
Huyu Dr. Lwaitama kweli ni msemaji mzuri wala hazungushi maneno hasa pale anapokuwa amebwia "maji ya uzima" kidogo.
 
mmmhhh, mi mkulima, hapa sina la ku-comment, ila kwa huyo R.I.P, mungu amlaze pema, amen!
 
Unaweza kunikosoa, hawa wengine wanabaki kuwa maarufu miongoni mwa wasomi wa vyuo vikuu lakini profesa Chachage anaendelea kuwa mtu wa tofauti, aliufikia umma mkubwa kwa maandishi yake na hasa pale alpotyoa kitabu Makuwadi wa Soko Huria kikiwa katika lugha rahisi na inayoeleweka na wengi ya Kiswahili.

Kwa mbali ninamuona dr Lwaitama kama msomi wa aina yake ambaye hajalipia kadi ya uanachama wake wa ccm na hivyo kuungana na jamii ya watz wanaotaka mabadiliko yenye usawa kwa wote
Prof Shivji anafanya kazi vizuri na hasa katika kueleimisha mfumo wa kisheria (hasa ya ardhi) na hapa tusimsahau profesa Chris Maina Peter ambaye siku zote anapigania haki za binadamu
Thx bw. Msando, A
 
Obe, nakushukuru. Prof Maina ni kundi la kina Chachage et al. Amefanya kazi kubwa ya kutetea haki za binadamu kupitia maandiko yake.

Thank you brother.
 
Chapakazi,

Kwa kweli kama hujawahi kuwasikia hao wote kazi ya kukuelimisha nitaicha kwa Gsana, Gurudumu, Birigita na BlueBalaa. Kwa kweli haitakuwa kazi ndogo kutokana na hatua uliyopo sasa hivi. Ila kwa kuanzia andika majina yao kwenye google uone kinachokujia.
 
Dr Lwaitama kwa mshahara, machapisho, ziara zake nje na ndani haviendani kabisa na maisha anayoishi yeye na familia yake. Ni kipenzi tu cha watu wa Tv. Anaelekea kushindwa sana maisha!
tupe hayo maisha yake anayoishi yeye na hiyo familiya yake mkuu, tuthibitishie ili sisi tunaomwamini na kuishi naye tupate ukweli ndipo tutajaji kuwa ni mwanazuoni au la, lakini nje ya hapo mimi huwa ninamkubali sana huyu mwalimu, ni mchambuzi mzuri wa maswala
 
Chapakazi,

Kwa kweli kama hujawahi kuwasikia hao wote kazi ya kukuelimisha nitaicha kwa Gsana, Gurudumu, Birigita na BlueBalaa. Kwa kweli haitakuwa kazi ndogo kutokana na hatua uliyopo sasa hivi. Ila kwa kuanzia andika majina yao kwenye google uone kinachokujia.

Well i believe kuna watu kadhaa ambao mimi nawajua na wewe unaweza kuwa huwajui...there is nothing absurd about that. I admit kuwa i am ignorant on their social contribution na ndio hicho nitaka kujua. well hopefully more ppl will put up his works...
 
Ila karibu wote in NSHOMELE. Ndo kusema wapambanaji na wavurugaji wako upande huu wa NSHOMILE tu. angalia Ndimala Tegambwage, Prince Bagenda, Jenerali Ulimwengu, Baregu, Bazigiza (RIP?)

Back
Top Bottom