Dr. Azaveli Lwaitama, Prof. Seith Chachage (RIP) vs Dr. Bana & Prof Mukandala et al

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
WanaJF,

Kwa wale ambao wamebahatika kuwafahamu Dr. Lwaitama, Prof. Shivji na hayati Prof. Chachage (mwanazuoni aliyebobea aliyeandika Makuwadi wa Soko Huria na maandiko mengine mengi) watakubaliana nami kwamba katika viunga vya siasa zetu leo hii hawa ni wasomi wa aina yake, in life and in death.

Huwezi walinganisha na wengine kama Dr. Bana, Prof. Mukandala na wengineo ambao wananchi wengi wanawaona kama ni wasomi waganga njaa na waliopo kimaslahi zaidi kutokana na kushindwa kwao kujipambanua na wananchi wa kawaida katika mawazo na maisha yao wanayoishi.

For a minute, close your eyes mkumbuke Prof. Chachage. Think of what he championed. Visualize the Tanzania he advocated for. And say a little prayer thanking God the almighty for giving Tanzania Prof. Chachage and for allowing Prof. Issa Shivji and Dr Azaveli Lwaitama to continue in the same foot steps.

The life you live is a reflection of the heart you have, the words you say is a translation of the content of your mind!

I need say less!
 
Wewe mbona Dr Lwaitama bado yuko hai RIP KIVIPI? kwa Chachage its ok my beloved prof. rest in peace,
 
AMEN, may Almighty rest his soul (the late Prof. Chachage) in eternal PIECE.
Dr. Lwaitama and all others with good will for TZ, Aluta Continua!
MSANDO, Title yako ilinitisha kidogo, ila baada ya kusoma msg nimekupata vizuri sana.
 
Jamani poleni sana. Dr. Lwaitama is still very alive. Prof. Chachage's words and ideas are also very alive today. The latter is one of the best Prof who I have met. He had a great mind and heart.

Dr. Lwaitama has proven himself to be a true soul. He has Tanzania at heart and in any circumstance he has remained objective and kept his reputation. He does not pamper the power holders with sweet words or cooked statistics just to put bread on his desk!

He is a true academician! A fact is a fact!
 
May you rest in peace..... AMEN
We did love to have you with us but God has decided to have you with him so early !!.
P/se Pray for us and for our Revolution in Tanzania. Tell God all you know about CCM and the way they are stealing our properties in Tanzania. Tell him also that we have CHADEMA ready to save the people you so loved while still alive ! !
 
Nomba ubalilishe heading, anza na Chachage(RIP), then DR. Lwaitama. Umenishitua nikifikiri na Dr. Lawitama ni marehemu.
 
Unataka watu wawe attention kwenye thread yako???how come you say RIP???wakati mtu yupo hai??mwenyewe ni member wa jf pls edit hiyo title mimi sijui watunikutaka umaarufu uonekane unaidadi kubwa ya wachangiaji au??wakati idadi kubwa nikukulalamikia unasikia raha gani??
 
Unataka watu wawe attention kwenye thread yako???how come you say RIP???wakati mtu yupo hai??mwenyewe ni member wa jf pls edit hiyo title mimi sijui watunikutaka umaarufu uonekane unaidadi kubwa ya wachangiaji au??wakati idadi kubwa nikukulalamikia unasikia raha gani??

Acha kutoka povu, amekosea tittle tu bana. Kwani hujaelewa? Au we ndo umefungua ili uone kama lwaitama kafa?
 
Acha kutoka povu, amekosea tittle tu bana. Kwani hujaelewa? Au we ndo umefungua ili uone kama lwaitama kafa?
Asante!ila soma kipengele chakwanza hadi pale aliposema life and death
Utagundu makosa yake ila nawewe kamani hivyohivyo you can't see the defferent!
 
May God rest his soul in peace! Thanks God for the remaining great patriotic thinkers such as Dr. Azavel lwaitama and professor Mwesiga Baregu.
May you rest in peace..... AMEN
We did love to have you with us but God has decided to have you with him so early !!.
P/se Pray for us and for our Revolution in Tanzania. Tell God all you know about CCM and the way they are stealing our properties in Tanzania. Tell him also that we have CHADEMA ready to save the people you so loved while still alive ! !
 
niliogopa sana, nilidhani unataka kutupa taarifa mbaya! anyway R I P my beloved prof. Seith Chachage. Dr. Lwaitama aluta continue
 
Alinikuna zaidi pale aliposema yeye ni mwana-ccm mfu ,nadhani jamaa always anafwata fungu lililo jema ,lets pray for him .
 
KakaKiiza, nimekosea hapo kwenye title ndio sababu ya haya yote. Angalia post yangu ya tano niliomba radhi kwa hilo. Zaidi nimepost via mobile so kurekebisha title imekuwa shida kwangu. Nawaomba mods walifanyie kazi kuepusha kupotosha.

Umenikwaza sana kusema natafuta umaarufu kwa kusema Dr Lwaitama amefariki ili nionekane nachangia post nyingi wakati zote nalalamika. Sijui katika post hii nalalamika nini.

All is well, i trust i have explained and apologized. If there is anything more for me to do let me know.
 
ulitaka kunipandisha presha asubuhi hii ....nilidhani mwalimu wangu lwaitama .....kafa......rekebisha
 
Mods tafadhali rekebisha hiyo title, wengine imetushtua. Dr. Lwaitama bado yuko hai!
 
MsandoAlberto pole kwakukwaza kwahilo nimekuelewa ila nilikuwa nataka kumaanisha watu wengi wanatoa michango ya kumlaumu mtoa mada ndo ilikuwa maana yangu kwahiyo thread inakuwa na idadi ya no,lakini nizakukosoa,kubeza nk.Mwisho wa yote nisamehe kwakukwaza kwangu kwani nichangamoto pia!kwangu na wewe myoa mada!Matharani kuna member ametoa changamoto akasema ACHA KUTOA POVU!!!!Kwangu nichanga moto!!
 
Dr Lwaitama kwa mshahara, machapisho, ziara zake nje na ndani haviendani kabisa na maisha anayoishi yeye na familia yake. Ni kipenzi tu cha watu wa Tv. Anaelekea kushindwa sana maisha!
 
Back
Top Bottom