mmakonde,Kwa nini media zetu bado zinamwita huyu Naibu Waziri Dr wakati sio?
Huyu ana mediocre Assistant Medical Officer(AMO),ambayo kwenye nyingine hawezi hata kushika mgonjwa1Hata Muhimbili wanajua,ndio maana huwezi kupata AMO au Medical assistant hapo!
mmakonde,
Lets be fair. Una hakika kuwa Muhimbili haina AMO's? Unasemaje kuwa Hospitali nyingi za wilaya Tanzania zilikuwa chini ya AMO's ( for lack of MD's) na wamefanya kazi nzuri sana. Wakati wote hao wameitwa madaktari. Je unafahamu kuwa WHO imetambua kada hiyo, na imekubaliwa kuwa hata na specialization, mathalan AMO (opthalmology)n.k. Nadhani unahitaji kutuwekea details zaidi ili Jamvi hili likuelewe vizuri.
Heshima mbele mkuu. He could be wrong in some of the details but I think the real question is....is an AMO qualified to be called a doctor or use the title of "Dr."?
And who is a 'Dr'???...Haya mambo yanachanganya kweli,kwetu kjijini Tinde tushazoea hata Clinical Officer(wa zahanati ya kijiji) twamuita 'Dokta',pia Medical assistants(wa vituo vya afya) n.k...Wapenda lugha ya Kiswahili huwaita matabibu...Tabibu ni nani sasa???,napata tabu hapa,wajuvi nielewesheni hapa
Dokta is a person who practise as a general practitioner or a consultant physician and surgeons....a dentist is not a dokta....or a pharmacist is not a dokta either....
Kwa nini media zetu bado zinamwita huyu Naibu Waziri Dr wakati sio?
Huyu ana mediocre Assistant Medical Officer(AMO),ambayo kwenye nyingine hawezi hata kushika mgonjwa1Hata Muhimbili wanajua,ndio maana huwezi kupata AMO au Medical assistant hapo!
Ndugu zangu, hatuwezi hata siku moja kumwita mtu daktari espacially in healthcare field wakati hujakwenda shule kusomea hiyo taaluma ukaitwa daktari. Nakubaliana na Dr Slaa kwamba wapo ma AMO wengi wazuri tu ambao wameachiwa zahanati na wanaziendesha vizuri tu because of lack of qualified professionals(ie:MDs). Lakini asalani tusiwapandishe vyeo hawa watu na kuwaita madaktari, this is simply wrong. Na kama inafikia mtu katika hadhi ya uwaziri anaitwa au anajiita daktari na watu tunamwangalia tu, then there's something wrong in our society. Ndio maana hatuwathamini na kuwalipa madaktari wetu vizuri na kuwapa heshima wanayostahili, haiwezeki asomaye Muhimbili miaka 7 na yule wa kibaha wakawa katika hadhi sawa, one is an MD and the other is a Medical assistant. period.
Then Asha Kidogo should publicly tell us where, when did she acquire her doctorate!Au recantation!Yale yale ya Advanced Diploma ni sawa na degree, wapi na wapi? Diploma ni diploma na digree ni degree bana. Itabaki kuwa hivyo. Kwanza hata entry qualification za kuingia diploma ni far different than those that makes one start his/her M.D classes. Leo tuwaone wote sawa kwanini? tutakua tunatenda haki kweli?
media zetu si unazijua kwa uvivu wa kufikiri?kwa nini media zetu bado zinamwita huyu naibu waziri dr wakati sio?
Huyu ana mediocre assistant medical officer(amo),ambayo kwenye nyingine hawezi hata kushika mgonjwa1hata muhimbili wanajua,ndio maana huwezi kupata amo au medical assistant hapo!
Hazianzi media kuwaita. Tunaanza sisi na wao wenyewe wanajitambulisha hivo. Muhimu hapa ni kuwa professional boards kisheria kama walivyo wahasibu na NBAA yao au wahandisi na ERB yao ambazo zitatuambia na anastahili kuitwa "Dr". Kwa sasa madaktari, wanasheria, waandishi wa habari, wachumi,.... hawana boards kama hizi. Matokeo yake kuna kina "dr" Manyuki, dr Remmy Ongara, dr Kifimbo, dr Nchimbi, dr Mary Nagu,.....media zetu si unazijua kwa uvivu wa kufikiri?
Kwa nini media zetu bado zinamwita huyu Naibu Waziri Dr wakati sio?
Huyu ana mediocre Assistant Medical Officer(AMO),ambayo kwenye nyingine hawezi hata kushika mgonjwa1Hata Muhimbili wanajua,ndio maana huwezi kupata AMO au Medical assistant hapo!
Hazianzi media kuwaita. Tunaanza sisi na wao wenyewe wanajitambulisha hivo. Muhimu hapa ni kuwa professional boards kisheria kama walivyo wahasibu na NBAA yao au wahandisi na ERB yao ambazo zitatuambia na anastahili kuitwa "Dr". Kwa sasa madaktari, wanasheria, waandishi wa habari, wachumi,.... hawana boards kama hizi. Matokeo yake kuna kina "dr" Manyuki, dr Remmy Ongara, dr Kifimbo, dr Nchimbi, dr Mary Nagu,.....