'Dr' Aisha Kigoda

Mimi naona matatizo yako kwa hawa MAKANJANJA wetu kwani wanaandika tu kwenye magazeti yao bila kufanya utafiti hata kujisomea vitabu ili waelemike; ndio maana mpaka leo hii bado wanawaandika wakina Kamala na Nchimbi kuwa ni "DR" wakati vyombo vya elimu ya juu vimekwisha eleza kuwa hawa jamaa hawastahili heshima hiyo na imewabidi warudi shule kusoma upya!!

5. DESIRABLE LEARNING OUTCOMES FOR THE ASSISTANT
MEDICAL OFFICERS​
What the AMO should be able to do:​
1.​
Clinical skills: Perform history taking, physical examination, interpretation of
findings and formulation of diagnosis.
2.
Practical procedures: Perform procedures related to cardiology, respiratory,
gastrointestinal tract etc.
3.
Patient investigation: Perform laboratory investigation such as: Clinical,
biochemical, haematological. Perform radiological investigation such as X-ray,
ultrasound etc.
4.
Patient management: Managing patients by using the following interventions:
Drugs, surgery, psychological,physiotherapy etc.
5.
Health promotion and disease prevention: Implementing disease preventive
measures and collaborating with other professionals/ other sectors in promoting
health.
6.
Communication: Communicate verbally/ in writing with patients, relatives and
colleagues qualifications.
7.
Appropriate information handling: Handling patients records, use of computers,
HMIS etc.

How will the AMOs approach their task?​
8.​
Understanding of basic and clinical science and underlying principles: Medicine,
Surgery, Obstetrics and Gynaecology, Child Health, Community Health, Pharmacology
etc.
9.
Having appropriate attitude, ethics, and legal responsibilities: Attitude, ethics, human
right issues etc.
10.
Appropriate decision making and clinical reasoning skills: Research methods and

statistical understanding.
 
Kwa nini media zetu bado zinamwita huyu Naibu Waziri Dr wakati sio?
Huyu ana mediocre Assistant Medical Officer(AMO),ambayo kwenye nyingine hawezi hata kushika mgonjwa1Hata Muhimbili wanajua,ndio maana huwezi kupata AMO au Medical assistant hapo!

Advantages and disadvantages of using substitute health workers (SHWs)
Possible advantages of SHWs
Possible disadvantages of using SHWs
1. Substitutes are country-specific, not internationally "tradable", and are more easily retained within the country
2. Emoluments and incentives for such cadres are significantly lower than for cadres substituted for
3. Pre-service training costs are also much lower
4. Academic entry requirements into technical training are less problematic and training is accessible to a wider range of entrants from all segments of society
5. All training is local and practical
6. Substitute cadres accept postings into rural/hardship areas and are retained there
7. Substitutes may reduce other service costs by requiring fewer diagnostic tests and less sophisticated equipment and by prescribing generic medications
8. They may relate better with communities by being less elitist and more integrated
1. Quality of care may suffer with poor clinical decision-making or poor supervision of their practice (they still require supervision by a professional)
2. Ethical considerations may be less strong in new cadres who don't have existing traditions and norms. Practice regulation is absent for many such cadres
3. The perceived low costs may be offset by poor treatment results and outcomes to patients and high morbidity
4. Scaling up the numbers of substitutes to achieve higher coverage will mean similar expansion in the numbers of professional cadres required for supportive supervision
5. Eventually cadres carrying out similar tasks want remuneration and incentives similar to those of the original cadres. Interprofessional conflict and demotivation may ensue
 
Experiences with substitution in Africa

Production of substitute cadres

The training of substitute cadres varies between countries in terms of entry qualifications, training duration and content of training. According to key informants, Mozambique had three levels of doctor substitutes, described as basic and middle-level "health technicians", and a "specialist" level. For the basic level, the requirement was a 10th-grade high school certificate for a pre-service training of 30 months. The cadres must work for two years before becoming eligible to be selected for a further 18-month course to become specialized.
CEDHA indicated that Tanzania provides a multi-step system, starting with the "clinical officer" (entry with grade 12) and ending at the assistant medical officer (AMO) specialist level. Kenyan Medical Training Center's clinical officers are trained for three years and registered after a year's "internship". A further 18 to 24 months' training confers a "higher diploma" and specialist grade in specific subjects such as anesthesia, ophthalmology and cataract surgery, reproductive health (with caesarean skills), and orthopedics.
Malawi's College of Health Sciences (MCHS) graduates clinical officers with certificates in "clinical medicine" after three years' training. Another year of training leads to postbasic qualifications in "clinical medicine" and "ophthalmology" as well as other specialties. MCHS also has a three-year diploma in pharmacy technology and with similar postbasic qualifications for pharmacist substitutes.
In the countries studied, the ministries of health were directly responsible for training institutions and not tertiary educational institutions. Tables 3, 4 and 5 provide a summary of training and staff production information from countries that responded to a questionnaire. If all the stages are taken together, the duration of education may be the same as for training a doctor, or nearly so
 
Mignon,umezungumzia Zambia na Malawi ,nchi poor duniani!Kwa nini usililinganishe na South Africa,India au Finland?
Huwezi kulinganisha mediocre kwa mediocre.Je waziri gani TANZANIA atapasuliwa na AMO?Ni walala hoi tu?

Get facts real!Hawa viongozi wetu walioweka AMO wanatibiwa South Africa na Ulaya.
 
Watoto wa Malecela ,Salim wana MDs na wanafanya kazi Marekani!Sio AMOs,it seems wanaosoma hizi Mediocre Clinical Officer/AMo ni watu wengi hawakufanya vizuri Form IV.
 
Dokta is a person who practise as a general practitioner or a consultant physician and surgeons....a dentist is not a dokta....or a pharmacist is not a dokta either....
Mbona Muhimbili kunatolewa degree ya DDS yaani doctor of Dental surgeon? imekaaje hiyo kwa mujibu wa comment yako?
 
Wabongo kwa kupenda ujiko aende mbu wakamuume then apatae hiyo title kama Mh. Magufuli.

Udaktari wake ni tofauti na wa magufuli. Ni vizuri pia wanaochangia mjadala huu kujua tofauti ya wanaotumia title ya "Dr." mbele ya majina yao kati ya wenye shahada ya uzamivu (udaktari wa falsafa - Ph.D) na wenye shahada ya udaktari katika fani ya afya ama ya binadamu au ya wanyama (medicine/veterinary). Aidha, hata kwa wenye udaktari wa medicine/veterinary nako kuna shahada ya uzamivu (Ph.D).

Kwa mtazamo wangu, ni wale wenye shahada ya uzamivu tu (Ph.D) katika fani yoyote ndio wangetumia title ya Dr. kwani jinsi title hiyo inavyotumika katika jamii yetu ina nia ya kuonyesha upeo wa juu kitaaluma (academic level) ya mhusika. Sasa, si vyema kwa mtu mwenye shahada ya kwanza/pili au stashahada (katika medicine/veterinary science) kutambulishwa kwamba ni msomi zaidi ya wenzake wenye kiwango kimoja au hata kuwazidi wenye shahada za uzamili (Masters) katika fani zingine.

Hivyo, pamoja na kutambua kwamba Aisha Kigoda, Maua Daftari, n.k. ni madaktari wa tiba/afya ya binadamu, hatuwezi kuwalinganisha na Dr. John Magufuli, Dr. Rose Asha-Migiro, Dr. Hassy Kitine, n.k.
 
Kumbe naye 'Dr' Zainab Amir Gama ana CV kama ya Aisha Kigoda!ana diploam ya Radiology.Huyu si MD!Lakini Bongo tumewatukuza sana hawa watu nakuwaita ma DR.
 
Yale yale ya "Advanced Diploma ni sawa na degree" wapi na wapi? Diploma ni diploma na degree ni degree bana. Itabaki kuwa hivyo. Kwanza hata entry qualification za kuingia diploma ni far different from those that make one start his/her M.D classes. Leo tuwaone wote sawa kwanini? tutakua tunatenda haki kweli? are we motivating the medical profession or discouraging those that aspire to become MDs?


Duh yangu macho jamani...AMO,diploma equal to degree hehehe...tutafika tuu maana lenye mwanzo mwisho lazima uwepo.
 
Nimependa mjadala huu,
nami nimeona japo nichangie kidogo!
1. Nakubaliana na waliosema kuwa AMO hasitahili kutambuliwa kwa title ya Dr. Kwani wanaotakiwa kutambuliwa hivyo ni wale wenye PHD ( Research doctorate), na wale wenye MD ( ambayo ni professional doctorate kwenye Medicine).
2. Nakubaliana kwamba AMO ndiyo taskforce inayoendesha hospitali zetu Tanzania, hasa kule ambako watanzania wengi wapo ( 80% ya watanzania) ambako ni vijijini.Lakini hiyo haijustify kuwa waitwe Doctors.
Hawa ni product ya Task shifting ( kwamba kwa sababu hakuna madaktari wa kutosha, serikali ilibuni njia ya kutoa mafunzo kwa watu ambao watafanya kazi ambayo angefanya daktari hata kama hawana ujuzi ambao ni sawa na daktari). Hawa hawatambuliki sehemu yeyote duniani zaidi ya Tanzania. Wakienda nchi nyingine wanatambuliwa kama Clinical officers.
3. Lakini, serikali yetu inaendekeza siasa ambazo zinaathiri afya za watanzania hasa waliopo vijijini. Madaktari wengi wanakimbia nchi au wanabaki Dar es salaam kwa sababu wanatafuta maslahi mazuri . Wengine wameacha hata kufanya kazi za kutibu kwa sababu hailipi!!.
Hivyo watanzania masikini wanaendelea kupewa "madaktari" wa danganya toto (AMO) na kuwapa title ya Dr ambayo wala hawasitahili.
Sijui tutafika?...too much politiki hata kwenye afya zetu!..am disgusted!!
 
That's typical something called "JEALOUSY", is just a name, why you guys never question about about other titles like Pro Jay, Pro maji Marefu, dr dre and all other names, Never even urge about former president Mwinyi education level, it's kind bull..... to sit dont and urge about others, do you own styles, who care about someone being a Dr or not a Dr ,As long as Someone has Good judgement that;s A++ in leadership
 
Hili ndio tatizo la watanzania , wanang'ang'ania huyu si Dr yule ndio Dr wakati kuna mambo ya maana mengi hawana habari nayo
Viongozi huzaliwa kiongozi sio madigirii . kaka
Huyu mama uchapakazi anao sasa nini unachokitaka ?

kikwete wanamuita Dr kwa lipi kwa digirii moja ya heshima sijui mandela ataitwa vipi anazo 72

Tujenge nchi , na tuwatose wezi kaka , nchi inafaruliwa na wahindi na kina nonihino wewe kazi yako Dr Dr Proffessor .......
 
wakuu salaam, mchango wangu ni kwamba AMO wamesoma dipl ya CO na baada ya kufanya kazi kwa muda waasomea Adv dipl jumla ni miaka 5 ya shule na exposure ya kazi kwa zaidi ya miaka miwili na wameprove kufanya kazi vizuri ambazo zinafanywa na MOs, so tatizo ni kuitwa Dr ambalo ni jina tu na halimwongezei kitu katika utendaji kazi wake au kunzuia asipractice kazi za MOs? na pia min qualifications za kuitwa Dr ni zipi degree? Fikiria zaidi ktk utendaji kazi na profs. ethics zaidi ya title!
 
Kwa kweli AMO kuitwa DR na wagonjwa wake ama watu anaowapa huduma aina zote mi sioni kama ni shida. Labda kama madaktari watujulishe vinginevyo. Maana wanafanye nafikiri aina zote za operesheni labda zile wanazofanya maspecialist. Na wakati mwingine hata ma MD wenyewe hawaaoni ndani kwa ma AMOs si theoratically bali hata practically. Mi pia ni medical personnel ninayaona hayo kila siku!
 
Yale yale ya "Advanced Diploma ni sawa na degree" wapi na wapi? Diploma ni diploma na degree ni degree bana. Itabaki kuwa hivyo. Kwanza hata entry qualification za kuingia diploma ni far different from those that make one start his/her M.D classes. Leo tuwaone wote sawa kwanini? tutakua tunatenda haki kweli? are we motivating the medical profession or discouraging those that aspire to become MDs?

Haya na wengine nao hawa , watu wanazungumza kunde analeta maharage , ki;a suali lina jawabu
 
Suala la Aisha Kigoda kuwa Dr au Kutokuwa Dr, ambaye anaweza kutujulisha zaidi ni Associations ya Watabitu "Chama cha Ma Dr. " They have their ethics and regulations/bylaws as engineers or lawyers

Hivi unadhani hadi Professional Associations ikuchapishie jarida ndo uamini!, usichoamini ni nini sasa?
Ukweli ni kwamba ni AMO na alikuwa akihudumu wilaya ya handeni kama Incharge wa kituo cha afya, lakini tu aaliingizwa kwenye Siasa na kaka yake Omary Kigoda na baadae Mumewe Seif Khatibu!
 
Hili ndio tatizo la watanzania , wanang'ang'ania huyu si Dr yule ndio Dr wakati kuna mambo ya maana mengi hawana habari nayo
Viongozi huzaliwa kiongozi sio madigirii . kaka
Huyu mama uchapakazi anao sasa nini unachokitaka ?

kikwete wanamuita Dr kwa lipi kwa digirii moja ya heshima sijui mandela ataitwa vipi anazo 72

Tujenge nchi , na tuwatose wezi kaka , nchi inafaruliwa na wahindi na kina nonihino wewe kazi yako Dr Dr Proffessor .......

Kazi gani ambayo aliifanya, ule upuuzi wa MSD ndo kazi nzuri, akiwa Naibu waziri alishindwa hata kusimamia MSD ili waweze kutoa huduma za kusambaza dawa ipasavyo, kazi ipi alifanya ya kumvisha huo udaktari? Ntajie japo moja.
 
mmakonde,
Lets be fair. Una hakika kuwa Muhimbili haina AMO's? Unasemaje kuwa Hospitali nyingi za wilaya Tanzania zilikuwa chini ya AMO's ( for lack of MD's) na wamefanya kazi nzuri sana. Wakati wote hao wameitwa madaktari. Je unafahamu kuwa WHO imetambua kada hiyo, na imekubaliwa kuwa hata na specialization, mathalan AMO (opthalmology)n.k. Nadhani unahitaji kutuwekea details zaidi ili Jamvi hili likuelewe vizuri.
Huyu alikuwaga mtu sana.... ila ndo ivo tena!!
 
Back
Top Bottom