DP World ni genge la watu wanaojifanya wawekezaji ndani ya nchi yetu

Nawaonya watanzania kijichunga na UAE, QATAR, SAUDI. There is no good that can come from Arab fascist states. Kila siku tunasikia kwamba mkenya kauliwa kule gulf, ni kama kuna sport ya tossing kenyans off buildings.

UAE wanadai kununua port zote Africa. Kuke sudan wana mercenaries elfu mia moja pia Libya.

Socotra island washanyakua toka Yemen. Pia wanaushawishi mkubwa kwa Rais Abiy Ahmed.

America imeahidi gulf countries na Israel full control of Africans under Abrahamic accords.
 
Bado hujui kitu kumbe .unapoambiwa mapato yaraongezeka manake ni kwamba DP-WORLD wanaweka mifumo ambayo pesa haipiti mkononi kwa mtu kwahiyo hata hao TRA watakua wamepunguziwa kazi ya kukusanya wao ni kuangalia tu namna mifumo inavyofanya kazi baasi. Maana ukusanyaji wa kodi unaanzia kontena linapoiingia bandarini.
We ndio huna unachojua kabisa. Hakuna hela inayopita mkononi kwa mtu muda mrefu sana sio Tra wala Bandari zote zinalipwa kwa control number benki. Dpw wanakuja kuendesha bandari tena hiyo Dar tu sio kuja kuwa TRA.
 
Tutajie majina ya hao waswahili wenzetu waliojificha hapo kwa mgongo wa DP World uweke na ushahidi kabisa hapa kila mtu aone.
Wa kwanza ni wewe mama unayejificha nyuma ya Sir John Roberts. Ona unavyohangaika kwenye huu uzi kujitetea! Ungetusaidia sana kama ungetutajia majina ya wenzako huko DP world.
 
Back
Top Bottom