MwanzoMwisho
Member
- Aug 11, 2009
- 34
- 0
yote haya tunaweza kuyazuia lakini wapambanaji tupo tupo tu hatuna mikakati ya kweli. Hata hii naweza kuitibua vile vile. Hadi jamaa waone kuiba tanzania ni kugumu.
hii nchi sasa imefikia pabaya haswa na sidhani kama unahitajika uvumilivu zaidi, huu utawala wa chukua chako mapema(ccm) unajidhihirisha wazi. Hebu mwanakijiji itibue isue hii tupambane nao hata kwa maandamano maana wanadhani watz bado tumelala.