Nilidhani nimefikia kikomo cha kukasirika kumbe, nina ability ya kukasirika to infinity....:angry: These people think they are dealing na mazuzu
jamani eenh mitambo ipo kwenye ardhi yetu kwa nini tusiandame km egypt au tunisia tukaitie moto yabaki majivu tu. huu ujinga kabisa umeme wenyewe hatukuuona na sasa taifa linadaiwa na serikali dhalimu ya jk inataka kulipa fasta fasta, na sie tukachome moto ule uchafu hautusaidiii.