Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
- Zima gari lako unapopaki hata kama unaingia na kutoka. Utaokoa mafuta yako
- Warmup unapowasha gari asubuhi ni upotevu wa mafuta, anza kuendesha tu taratibu (unless upo Makete )
- Ukiwa kwenye foleni ndefu zima gari pamoja na taa uache parking lights tu
- Epuka breki za ghafula, unamaliza mafuta, na breki zenyewe
- Kama hakuna joto wala vumbi, kiyoyozi cha nini? :shock: