Do's and Dnt's kama unalipenda Gari lako

  1. Zima gari lako unapopaki hata kama unaingia na kutoka. Utaokoa mafuta yako
  2. Warmup unapowasha gari asubuhi ni upotevu wa mafuta, anza kuendesha tu taratibu (unless upo Makete :))
  3. Ukiwa kwenye foleni ndefu zima gari pamoja na taa uache parking lights tu
  4. Epuka breki za ghafula, unamaliza mafuta, na breki zenyewe
  5. Kama hakuna joto wala vumbi, kiyoyozi cha nini? :shock:
 
[/B]
hahahahahaa....

Gari yeyote ile zingatia:
1. Service Kwa wakati, na unatumia parts ambazo ni GENUINE always
2. Tumia amfuta safi tu epuka vituo vinavyochakachua mafuta
3. Gai isiendeshwe hovyo hovyo na "kila mtu" bila sababu maalumu,
4.....
Ni kweli kabisa Mkuu namba tatu inahusika sana japo wengi hatuitilii maanani.
 
Dos and Donts1.Acha accelaration za haraka haraka..
2.Inspect na usafishe Oxygen sensors, MAF sensors
3.Badislisha air cleaner kila unapofanya service.. kwa mazingira ya wengi wetu ( ukiacha wa masaki) kuipuliza na upepo haitoshi.. cant get it clean
4.Usioshe na Sabuni kali za detergent zinachosha rangi
5.Usiweke mafuta mchan wa jua kali- mengi yatapotea maana yanakuwa too much upepo (gas)- weka asubuhi na mapema wakati kuna ubaridi unapata mengi.
6.

kwa wanaopenda mwendo mkali kama mimi:
1. Hakikisha una matairi mazima
- Yasiwe yameisha muda wake ( huwa zina expiry miaka 4 from date of manufacture)
- ukiona tairi zako zina crakes ujue zishaexpiry..( tiketi ya ajali hiyo)
- Tairi hata kama haijatumika kabisa kama imeisha muda wake inapoteza elasticity yake kabisa.. so badala ya
kutanuka inapopata joto yenyewe inachanika

2. Fanya wheel alignement inaongeza stability- Ukiona gari yako inatetemeka unapokuwa spidi kubwa jua alignment kushney
3. Fanya wheel balancing kuhahkikisha tairi zako haziishi upande
4. Rotate tairi kila baada ya miezi sita ( from mbele to nyuma na kulia to kushoto) muhimu sana kwa wenye AWD vehicles
5.Hakikisha unaweka upepo kulingana na manufactures recomendations.- Gari nyingine ni 28psi wakati zingine ni 36psi.- upepo ukizidi/kupungua tiketi ya ajali
6. hakikisha brake zako ziko sawa.. usisubiri mpaka zianze kupiga kelele ndo ujue zimeisha
 
  • Thanks
Reactions: ram

hii ya timings ya mafuta sikuwa naijua thanks
 
du nikusahihishe kidogo kwenye wheel alignment na balance umeeleza kinyume .....balance ni stability ufikapo 80 kph ...alignment ni tyre wear
 
Mkuu hapo namba mbili gari inapokuwa kwenye mwendo haiwezekani kupiga gear ya reverse na ukaingia, mfano ukiendesha let say gari yako ni manual wakati unabadilisha gear toka na.3 kwenda na.4 hata kama itatokea bahati mbaya gia liva umeipeleka usawa wa reverse itapiga kelele kisha wewe unaivuta kushoto kidogo inaingia

Kwa upande wa automatic hapa kidogo kuna shida kwa kuwa madereva wengi huwa tunaingia barabarani kwa kuwa ni rahisi kuliendesha ila nalo reverse haiwezi kuingia kama gari lipo kwenye mwendo kwani gia liva inapokuwa pale kwenye D wengi anapoihamisha kwenda kwenye neutral huwa wanaisogeza huku amebonyeza ile button kubwa juu ya over drive (hapa ndio penye shida kwani gari ya automatic kutoka D kwenda Neutral unasukuma tu bila kubonyeza ikifika kwenye N inagota na haiendi kwenye reverse na the same kama ukiisogeza kwenye D 2 nako inasogea ila ukitaka iende L au reverse ndio unabonyeza ile button. Hii huwa inawakumba wale wazee wa kutaka kutumia neutral kwenye mteremko wanajisahau kusogeza tu gia liva wao wanasogeza gia liva huku wamebonyeza (jaribu tu kesho uone maana gia liva ya auto inasogea freely kwenye D, N na 2 inapokuwa kwenye mwendo except kwenye L na R ndipo unabonyeza kitufe kikubwa ndio inaingia

du lazima utakuwa ni mwalimu wa driving school,thanks
 
du nikusahihishe kidogo kwenye wheel alignment na balance umeeleza kinyume .....balance ni stability ufikapo 80 kph ...alignment ni tyre wear

Asante mdau..
Unajua tena hivi vitu unaandika haraka haraka usiiibe sana muda wa Mwajiri...
Cheers
 
umetisha mkuu utafikiri kinana na tembo vile
Nipo kwenye computerised garage kwa sasa mkuu; na kwa bahati na shule imepanda, mzee wangu alikuwa mwalimu wa mitambo magari miaka ya 1940 wakati wa vita kuu. Kwa hiyo nina damu ya magari. Liseni yangu ya udereva (class C)nilipata 1967 baada ya kusota na test za magoa kwa miezi sita. No accident, magari yangu yako poa.
 
du lazima utakuwa ni mwalimu wa driving school,thanks

Hapana mkuu mie nimejifunza gari mtaani na nilianza kwa gari manual na nilikuwa ninajiuliza hivi ukitaka kuingiza gia namba 4 bahati mbaya ikaingia reverse itakuaje hasa ukizingatia manual huwa mpaka uizoee na kukimbia speed inahitaji muda kiukweli nilikuwa ninaishia gia na.3 na ikifikia naingiza gia na 4 nilikuwa nina hofu kweli kwa kuingiza taratibu na mara nyingi nilikuwa najikuta inaingia na 2 na engine kuunguruma kwa nguvu kwa kuwa nimeitoa gia ndogo kwenda kubwa kitu ambacho ni hatari ndipo aliekuwa ananipa mwongozo akaniambia nisigope kwa kuwa haiwezekani kuingia reverse sana sana itapiga kelele kama meno yanaumana hivi, the same nilipokuja kuendesha automatic nako nilikuwa najiuliza baada ya kuona wengi waliokuwa wananielekeza wananiambia nikibadilisha gia nibonyeze button ya juu kitu ambacho kwa hizo gia tatu za D, 2 na N inasukumwa tu
 
Duh! Kweli jf kiboko
Kuhusu mafuta sikuwahi kujua kama ukiweka mchana mafuta yanapotea lol!
Thanks kwa darasa mkuu

Dos and Donts1.Acha accelaration za haraka haraka..
2.Inspect na usafishe Oxygen sensors, MAF sensors
3.Badislisha air cleaner kila unapofanya service.. kwa mazingira ya wengi wetu ( ukiacha wa masaki) kuipuliza na upepo haitoshi.. cant get it clean
4.Usioshe na Sabuni kali za detergent zinachosha rangi
5.Usiweke mafuta mchan wa jua kali- mengi yatapotea maana yanakuwa too much upepo (gas)- weka asubuhi na mapema wakati kuna ubaridi unapata mengi.
6.

kwa wanaopenda mwendo mkali kama mimi:
1. Hakikisha una matairi mazima
- Yasiwe yameisha muda wake ( huwa zina expiry miaka 4 from date of manufacture)
- ukiona tairi zako zina crakes ujue zishaexpiry..( tiketi ya ajali hiyo)
- Tairi hata kama haijatumika kabisa kama imeisha muda wake inapoteza elasticity yake kabisa.. so badala ya
kutanuka inapopata joto yenyewe inachanika

2. Fanya wheel alignement inaongeza stability- Ukiona gari yako inatetemeka unapokuwa spidi kubwa jua alignment kushney
3. Fanya wheel balancing kuhahkikisha tairi zako haziishi upande
4. Rotate tairi kila baada ya miezi sita ( from mbele to nyuma na kulia to kushoto) muhimu sana kwa wenye AWD vehicles
5.Hakikisha unaweka upepo kulingana na manufactures recomendations.- Gari nyingine ni 28psi wakati zingine ni 36psi.- upepo ukizidi/kupungua tiketi ya ajali
6. hakikisha brake zako ziko sawa.. usisubiri mpaka zianze kupiga kelele ndo ujue zimeisha
 
Hapana mkuu mie nimejifunza gari mtaani na nilianza kwa gari manual na nilikuwa ninajiuliza hivi ukitaka kuingiza gia namba 4 bahati mbaya ikaingia reverse itakuaje hasa ukizingatia manual huwa mpaka uizoee na kukimbia speed inahitaji muda kiukweli nilikuwa ninaishia gia na.3 na ikifikia naingiza gia na 4 nilikuwa nina hofu kweli kwa kuingiza taratibu na mara nyingi nilikuwa najikuta inaingia na 2 na engine kuunguruma kwa nguvu kwa kuwa nimeitoa gia ndogo kwenda kubwa kitu ambacho ni hatari ndipo aliekuwa ananipa mwongozo akaniambia nisigope kwa kuwa haiwezekani kuingia reverse sana sana itapiga kelele kama meno yanaumana hivi, the same nilipokuja kuendesha automatic nako nilikuwa najiuliza baada ya kuona wengi waliokuwa wananielekeza wananiambia nikibadilisha gia nibonyeze button ya juu kitu ambacho kwa hizo gia tatu za D, 2 na N inasukumwa tu

kwa manual ni ngumu sana kuingiza reverse gear wakati unaenda mbele simply because:
gari ikiwa neutral gear lever inakaa btn gear namba 3/4 na hata ukitoa gear inadrop automatically kwenye hii position
kama uko namba 5 ambayo kwa magari mengi ya kijapani chini yake kuna reverse ukitoa gear tu lever inadondokea btn 3/4....kwa gari nyingi za europe reverse inaingia position ya namba 1 lakini ili kuingiza reverse kuna kibutton unakivuta juu au unabonyeza gear lever chini ndio unapata reverse.....kwa kifupi kuingiza reverse bahati mbaya haiwezekani lazima uamue kwa makusudi....
kwa automatic P R N D 3 L etc ukiwa unaendesha unatumia D ukiisukuma juu bahati mbaya inaingia N-Neutral so utajua tu uko kwenye wrong gear kama hujakusudia.....
 
Wanasiasa wanafiki sana.
Huwa hawaoni kabisa positove side ya JF.
Imagine watu wangapi wamefaidika na hii thread!
Big up Chemwali
 
Last edited by a moderator:
Nipo kwenye computerised garage kwa sasa mkuu; na kwa bahati na shule imepanda, mzee wangu alikuwa mwalimu wa mitambo magari miaka ya 1940 wakati wa vita kuu. Kwa hiyo nina damu ya magari. Liseni yangu ya udereva (class C)nilipata 1967 baada ya kusota na test za magoa kwa miezi sita. No accident, magari yangu yako poa.

Mkuu kama una garage ya uhakika nikuletee VW yangu nipi mbeya huku kumwaga oil tu mafundi wanaharibu waneshaniharibia sana hii gari next month mwishoni nakuja nayo mjini kuitengeneza kama upi fit nikutafute matatizo mengi ni umeme lakini
 
ukifaidika usiache kurudi kwenye jukwaa ili nasi tukafumue engines kabisa
 
Back
Top Bottom