Mzigo uliomwaga unga wa mzee(Dominique Strauss-Kahn)

locust60

Senior Member
Oct 1, 2008
101
12
The Guinean Beauty and Chambermaid (Nafissatou Diallo) of the Sofitel Hotel in Manhattan New York who was allegedly forced to have oral sex by IMF Boss, Dominique Strauss-Kahn.
 
Attachments

  • IMF1.jpg
    IMF1.jpg
    35.7 KB · Views: 769
haka kabinti kana matatizo, kamemuharibia kazi mwenzake. si bora kangenegotiate dau tu yakaisha chini kwa chini, isitoshe na doubt kwamba huu utakuwa mchezo tu iliDSK asipate uraisi mwakani.
 
The Guinean Beauty and Chambermaid (Nafissatou Diallo) of the Sofitel Hotel in Manhattan New York who was allegedly forced to have oral sex by IMF Boss, Dominique Strauss-Kahn.

Did she agreed for normal sex?
 
Nadhani anaitwa AMINATA, hayo ndio majina maarufukw wakinadada huko Guinea.
 
Dah huyo mzee naye ana habari ndefu naye. Nasikia wako mabinti from the woodwroks wanamshutumu mzee na hako kamchezo kake.
 
Ameonyesha ukomavu sana kuwa mapenzi hayanunuliwi hata kama wewe ndo unatengeneza na kuyasimamia hayo mapesa
 
Aaaaah mtoto wakawaida kabisa, huyu uswaz gharama yako wanzuki na jero ya supu ya mapupu tu!
 
Kumbe vishri vyetu vya mtaani vya ukweli bana, si wanafanana kabisa na huyu si tunaviletea zalau eh! Subiri siku ije baminham na washabiki wao elfu tano hapa, vitabebwa vyote kudadeki
 
Kicheche Sarkozy anachekelea tu hasimu wake wa kisiasa kubambwa, nadhani sasa atapeta kiulani uchaguzi ujao.
 
Hili ni funzo tosha, vidume wengi tunapenda sana kuwadhalilisha hawa wamama dhalili wanaofanya kazi hizi duni za usafi au u-weita na kudhani hawana haki kama sie wengine. Tena hicho kibabu kilivomuona ni mwafrika basi ndio kikaona ndio njia ya mteremko zaidi ya kurelease stress. Mwacheni alijue jiji na vitongoji vyake.
 
haka kabinti kana matatizo, kamemuharibia kazi mwenzake. si bora kangenegotiate dau tu yakaisha chini kwa chini, isitoshe na doubt kwamba huu utakuwa mchezo tu iliDSK asipate uraisi mwakani.
vipi mkuu ulitaka ampe ile kitu nameza nyingine?nafikiri huyu jamaa si mstarabu hata kidogo,pengine huyu dada alitaka kufanya naye mazunguzo,lakini kwa ajili ya pesa zake akagoma!inaweza kana jamaa ana dharau ya hali ya juu na hasa ukizingatia huyu msicha ni mafrika,jamii ambayo inadharauliwa sana na wazungu!!
 
akaa kalikuwa kana takaa umaarufu,wangapiii wamekulaa akaja ropokaaaa
 
Back
Top Bottom