Dokta na mgonjwa

kingazi

Member
Jul 4, 2011
35
7
jamaa mmoja alikwenda hospitalini,alivyofika kwa dokta mazungumzo yalikuwa hivi,
Dokta,:sema mgonjwa unasumbuliwa na nini?
Jamaa:uume wangu hausimami.
Docta:una mke?
Jamaa:hapana
Dokta:una mchumba?
Jamaa:hapana
Dokta:una mpenzi?
Jamaa:hapana
Dokta:kuna starehe yoyote unayopenda?
Jamaa:hapana.
Dokta:sasa unataka uume usimame ili utundikie koti au ili iweje hebu potea.
 
Hahahahahaaa, huyo Dokta vipi Bana... Sasa jamaa atafanyaje hizo starehe wakati hawezi kazi?
 
Huyo daktari nadhani alikuwa feki. Hapa siyo kipi kipi kiltangulia yai au kuku! Inatakiwa iwe inauwezo wa kusimama yenyewe ndipo utatafuta wapenzi wa kuipoza baadhi yao ndiyo watakuwa wachumba na mmoja wao ndiyo atakuwa mke! This is how God created man. Wanyama wengine kama ndege, punda n.k. nao Muumba kawatengenezea formula ya kuendelezea species i.e creation. Daktari alichotegemewa ni kurekebesha hali ya huyo jamaa siyo rahisi na mara nyingi haiwezekani ndivyo Muumba alivyomuumba. Tatizo la wanadamu ni kutokubali reality kila mwanaume anataka asimamishe na kila mwanamke anataka azae, hapatatosha hapa. Tatizo la wanadamu ni kulifanya jambo hili kuwa ni la starehe kinyume cha makusudio ya The Creator ambaye madaktari wanaita Nature. Matokeo yake ndiyo hayo magharika ya Sodoma na Ghomora, Ukimwi n.k.
 
jamaa mmoja alikwenda hospitalini,alivyofika kwa dokta mazungumzo yalikuwa hivi,
Dokta,:sema mgonjwa unasumbuliwa na nini?
Jamaa:uume wangu hausimami.
Docta:una mke?
Jamaa:hapana
Dokta:una mchumba?
Jamaa:hapana
Dokta:una mpenzi?
Jamaa:hapana
Dokta:kuna starehe yoyote unayopenda?
Jamaa:hapana.
Dokta:sasa unataka uume usimame ili utundikie koti au ili iweje hebu potea.

Poor guy with the doc like him he is finished
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom