DOKII SASA AKIMBILIA KUIMBA SIASA ni gamba

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
[h=3]DOKII SASA AKIMBILIA KUIMBA SIASA[/h]

Msanii wa maigizo nchini ‘Dokiii’amesema kwa sasa ameamua kujikita zaidi katika kuimba muziki wa siasa katika kampeni mbalimbaki za Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kumuunga mkono mama yake ambaye ni Mwanachama wa Chama hicho.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Dokii alisema muziki wa bongo fleva ameuweka pembeni na kwamba atakuwa akiimba zaidi muziki wa siasa na kuigiza filamu mbalimbali.

“Kwa sasa nimeweka muziki pembeni unajua tena mama yangu ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa(Nec) nimeona nimuunge mkono kuimba nyimbo za kampeni na zinazohusu CCM,”alisema.

Pamoja na kuimba nyimbo za siasa alisema nia yake sio kuja kugombea Ubunge baadaye bali amevutiwa mwenyewe na Chama hicho kwani atakuwa anatumia kipaji chake cha uimbaji kuelimisha jamii masuala ya siasa.

Alisema pia pamoja na kuimba muziki wa siasa pia anaendelea na harakati za kuigiza katika filamu na sasa tayari wameshatoa filamu mbili zinazoitwa ‘sista duu’ na ‘machepele’.

Alisema baada ya siku mbili filamu hizo zitakuwa sokoni hivyo mashabiki wake wasikate tamaa wataendelea kumuona katika filamu mbalimbali na kuomba wamuunge mkono kwa kununua kazi hizo.
 
walipo karibu na huyu dada wamsaidie kimawazo asome alama za nyakati hata ukiimba siasa sio njia ya kutokea na ya kujizatiti katika maisha ya sasa na ya baadae siasa ni kama upepo leo unavuma huku na kesho kule kwa hiyo hilo ajiangalie kwanza.
 
Magazeti ya CCM hayauziki sembuse CD za kusifia magamba,dada bora hiyo pesa ya studio akalime viazi atatoka.
 
Help me please! Huyu nae ni msanii wa mziki tangu lini? Mama yake anaitwa nani? Ni yule dokii wa Kenya au?
 
Amejaribu Muziki wa Injili kama biashara Mungu akamkataa na muziki wake ukadoda kwa kukosa upako. Sasa anakamatana na kuti kavu(CCM) ambapo this time ataangukia pua na baada ya hapo sijui ataibukia wapi. Ina bidi atulie afanye planning kabla ya kutoa matamko hafifu
 
mmhhh,mbona amechokaa hivi!pole yake,hapa naona alitaka tujue kuwa mama yake yupo nec ya ccm hana lolote!
 
Hana jipya huyo,anavizia invitations kwenye matamasha ya mikesha ya magamba,si unajua ndio nafasi nzuri ya kuwapata waheshimiwa,hako katabia ka kupenda wanene hawezi kukaacha,kwa vile mvuto hakuna tena amehamua kuwa kama panya mzee ambaye vikimshinda anahamia stoo.
 
dokii sasa akimbilia kuimba siasa

msanii wa maigizo nchini ‘dokiii'amesema kwa sasa ameamua kujikita zaidi katika kuimba muziki wa siasa katika kampeni mbalimbaki za chama cha mapinduzi (ccm) ili kumuunga mkono mama yake ambaye ni mwanachama wa chama hicho.

Akizungumza jana jijini dar es salaam dokii alisema muziki wa bongo fleva ameuweka pembeni na kwamba atakuwa akiimba zaidi muziki wa siasa na kuigiza filamu mbalimbali.

"kwa sasa nimeweka muziki pembeni unajua tena mama yangu ni mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa(nec) nimeona nimuunge mkono kuimba nyimbo za kampeni na zinazohusu ccm,"alisema.

Pamoja na kuimba nyimbo za siasa alisema nia yake sio kuja kugombea ubunge baadaye bali amevutiwa mwenyewe na chama hicho kwani atakuwa anatumia kipaji chake cha uimbaji kuelimisha jamii masuala ya siasa.

Alisema pia pamoja na kuimba muziki wa siasa pia anaendelea na harakati za kuigiza katika filamu na sasa tayari wameshatoa filamu mbili zinazoitwa ‘sista duu' na ‘machepele'.

Alisema baada ya siku mbili filamu hizo zitakuwa sokoni hivyo mashabiki wake wasikate tamaa wataendelea kumuona katika filamu mbalimbali na kuomba wamuunge mkono kwa kununua kazi hizo.
kwisha habari yake
 
.. Baada ya kufulia ktk maigizo, akaamua kuimba mziki wa injili coz aliona akina Rose Mhando "umewatoa". Huko nako hakufanikiwa maana alienda kibiashara, sasa anataka kuimba nyimbo za magamba! Nyimbo za uhamasishaji ktk siasa zilikuwa zinalipa zamani enzi za Komba, sio zama za leo za vijana. Huyu mmama (umri umeshaenda) anatapatapa!
 
Jinga sana.Haungi mkono watanzania anaunga mkono mama yake,alafu anataka watanzania tumuunge mkono kwa kununua kazi zake.
 
DOKII SASA AKIMBILIA KUIMBA SIASA

Msanii wa maigizo nchini ‘Dokiii'amesema kwa sasa ameamua kujikita zaidi katika kuimba muziki wa siasa katika kampeni mbalimbaki za Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kumuunga mkono mama yake ambaye ni Mwanachama wa Chama hicho.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Dokii alisema muziki wa bongo fleva ameuweka pembeni na kwamba atakuwa akiimba zaidi muziki wa siasa na kuigiza filamu mbalimbali.

"Kwa sasa nimeweka muziki pembeni unajua tena mama yangu ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa(Nec) nimeona nimuunge mkono kuimba nyimbo za kampeni na zinazohusu CCM,"alisema.

Pamoja na kuimba nyimbo za siasa alisema nia yake sio kuja kugombea Ubunge baadaye bali amevutiwa mwenyewe na Chama hicho kwani atakuwa anatumia kipaji chake cha uimbaji kuelimisha jamii masuala ya siasa.

Alisema pia pamoja na kuimba muziki wa siasa pia anaendelea na harakati za kuigiza katika filamu na sasa tayari wameshatoa filamu mbili zinazoitwa ‘sista duu' na ‘machepele'.

Alisema baada ya siku mbili filamu hizo zitakuwa sokoni hivyo mashabiki wake wasikate tamaa wataendelea kumuona katika filamu mbalimbali na kuomba wamuunge mkono kwa kununua kazi hizo.
Anatuambia tungojee baada ya siku mbili wakati hiyo sista duu wa bush imeshaangaliwa mpaka imeota sugu,imekula kwake!!!!
 
jamani dokii ni mtu mzima mno, nashauri atafute mwanaume amuoe...atatangatanga hadi lini?..uzee wote huo anaishi tu kama bachela.....ametumika sana na mengi huyu kipindi fulani, anatafunwa mno....tulia utafute mwanaume akuoe ili uheshimike sasa...utaliwa na viiongozi hadi lini? miaka ndo inaenda hivyo....tangu ulipoanza kuigiza hadi leo..aisee umechuja ile mbaya...si muda mrefu utaanza kutoka mvi....kaa chini utafakari...halafu amua kitu cha muhimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom