Nambe JF-Expert Member Jan 18, 2011 1,451 528 Aug 30, 2012 #61 sipati picha huyo mchuchu baada ya kujua anakulaga vya dogo alinyweaje?? mustakabali wa malove yenu ulikuwaje baada ya varangati hilo.........??? naamin ulichika...................
sipati picha huyo mchuchu baada ya kujua anakulaga vya dogo alinyweaje?? mustakabali wa malove yenu ulikuwaje baada ya varangati hilo.........??? naamin ulichika...................
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Aug 30, 2012 #64 Hahahaha umetubania lakin umbea si kazi kusutwa ndo shuhuli lol
Joeli JF-Expert Member Apr 25, 2011 4,941 3,402 Aug 30, 2012 #65 another great funny stori kutoka kwa great storyteller wa mmu, bigup Mtambuzi afu kumbe we mdooogo mi niliijua mdingi kabisa khaaaaaaaaaaaaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
another great funny stori kutoka kwa great storyteller wa mmu, bigup Mtambuzi afu kumbe we mdooogo mi niliijua mdingi kabisa khaaaaaaaaaaaaa
Scofied JF-Expert Member Jun 5, 2012 2,455 1,657 Aug 30, 2012 #66 nimecheka paka mbavu zinauma...pole sana mkuu,watu mmetoka mbali sana....