does iphone 4 work in tanzania

fullmoon

New Member
Jul 28, 2011
4
0
Hi wadau..
A little bit of help here.. Am about to buy iphone 4 but I would to know if it works here in tz. Cos the last I heard it was nt possible. So please fill me in!
 


GSM Bands Capabilities for IPhone 4.


2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100


a.jpg

Tanzania GSM Bands Information.

Tanzania90018003G/HSDPA





Go for the phone mkuu since we can see that it Works in Tanzania!!
 
unatakiwa uchakachue kasim card tuu kawe kadogo kwisha kazi bongo tambarare
 
Its working in tanzania,ila ningekushauri uchukue iliyokuwa factory unlocked ili usikumbane na shida za unlocks,hapo utakuwa unaamani na iphone yako.
 
Yes! It is my preferred phone right now. Just make sure you buy it unlocked (can be used internationally).
 
thank you wadau for fillin me in..sasa i want to buy hapa, any suggestion for genuine places where i can buy??.. ambayo ntapata tayar ni factoru unlocked, and whats the price...
 
zinafanya kazi vizuri tu.kama huko uliko unaweza ya kununua vitu kwenye ebay basi unaweza kununua Gevey unlocking sim card inagharimu kama dola 6,i did it and enjoy my i phone ndani ya bongo bila usumbufu wa ku unlock kaka
 
zinafanya kazi vizuri tu.kama huko uliko unaweza ya kununua vitu kwenye ebay basi unaweza kununua Gevey unlocking sim card inagharimu kama dola 6,i did it and enjoy my i phone ndani ya bongo bila usumbufu wa ku unlock kaka
Inawezekana kuwa na njia nyingi za ku unlock, lakini this is the best one, thumb up
 
Kaka hawa watu wasikupoteze na kukwambia nunua yoyote, kwa vile ulikuwa hata hujui kama inafanya kazi au la, ina maana kwa kiwango chako kimbilia kama ulivyoambiwa awali kwenye factory unlocked. Locked zinafanya kazi lakini uwe na muda wa kupoteza ku-unlock na kujailbreak at least mara 5 kwa mwaka kila inapotoka firmware mpya, wako ambao kazi hiyo kwao ni enjoyment lakini amini usiamini wako amabao kwao ni adhabu. La sivyo utabaki na firmware ya zamani. Lakini zqidi kama una uwezo na subira ningekushauri usubiri iPhone 5 ambayo imebaki kama miezi miwili hivi itoke.
 
If your I-Phone 4 is unlocked Phone means you can make it work with any GSM Network Sim card....It's locked I-phone 4 means you need to unlock it.Get the remote unlock service from the site Prounlocking.com
unlock it and use with any GSM Network Sim card.
 
Back
Top Bottom