Does Age Really Matter??

mwanajamii one uko poa............!
ni kweli umri unamatter sana katika mahusiano kwani kwa ninavyoelewa mimi wanaume huwa na nguvu flani mpaka miaka 80 wakati wanawake hupoteza nguvu na hamu huanzia miaka 45-55,ndio maana siku hizi ndoa nyingi hupata matatizo na kupelekea wanaume kutoka nje kutokana na hili suala la watu kuoana oana tu hata kama wamepitana miaka miwili.

ushauri kwa wanawake.
jitahidi angalau mpenzio akupite miaka kuanzia 10 hadi 25 utayafurahia mapenzi
 
hahhahaha huu ni ubakaji sasa
 
ubakaji wa nini kimei?mwanamke akipishana na mpenziwe miaka hiyo hawezi achika ati maana atakuwa katika nafasi nzuri ya kujifunza mambo mapya yatakayomchanganya mtu wake
 
ha ha ha ha we mamie acha tu hiyo miaka ni mingi.......kuna mzee kaoa mke kampita miaka 10 dah masela wanavyo jigongea mzee wa watu hata hajui.....acha kitu inaitwa damu changa....
BTW.....mzima wewe....long tym not seen...:hippie:
 
Maeneo ya Usalule uko haujamuona DOVUTWA
 
mwanajamii one uko poa............!
ni kweli umri unamatter sana katika mahusiano kwani kwa ninavyoelewa mimi wanaume huwa na nguvu flani mpaka miaka 80 wakati wanawake hupoteza nguvu na hamu huanzia miaka 45-55,ndio maana siku hizi ndoa nyingi hupata matatizo na kupelekea wanaume kutoka nje kutokana na hili suala la watu kuoana oana tu hata kama wamepitana miaka miwili.

ushauri kwa wanawake.
jitahidi angalau mpenzio akupite miaka kuanzia 10 hadi 25 utayafurahia mapenzi

Aksante saba mydia....................but I think inategemea......I, MJ1 nilipishana naye almost 10 years................ yet I experienced hell.......so I believe and I say again I think Age aint nothing but a number.....mradi kuna penzi la kweli
 
ha ha ha ha we mamie acha tu hiyo miaka ni mingi.......kuna mzee kaoa mke kampita miaka 10 dah masela wanavyo jigongea mzee wa watu hata hajui.....acha kitu inaitwa damu changa....
BTW.....mzima wewe....long tym not seen...:hippie:

huyo wife hata kama angeolewa na damu changa watu wangegonga tuu kwani
anaelekea ni kunguru. ingekuwa wa kutulia basi angejipatia mstiri mmoja ili
ajazilie pale ambapo husband hamfikishi...
 
huyo mama mchungaji aliambiwa watu wanaoa ili wasichekwe waqkiongozana na wife?!
mwambie age sio soo hata kidogo mradi watu mnapendana. ila kama biashara ni watu watasemaje
huko njiani basi kweli mzee mzima anaweza akakwazika watu wakianza kuchonga "jamaa kaoa old lady".
 
mwanajamii one uko poa............!
ni kweli umri unamatter sana katika mahusiano kwani kwa ninavyoelewa mimi wanaume huwa na nguvu flani mpaka miaka 80 wakati wanawake hupoteza nguvu na hamu huanzia miaka 45-55,ndio maana siku hizi ndoa nyingi hupata matatizo na kupelekea wanaume kutoka nje kutokana na hili suala la watu kuoana oana tu hata kama wamepitana miaka miwili.

ushauri kwa wanawake.
jitahidi angalau mpenzio akupite miaka kuanzia 10 hadi 25 utayafurahia mapenzi

What in the world ...................... hapo nyumba ndogo lazima, ..........sasa sie tulozaa mapema si unawezakuta mkweo ni umri wako ......:lying: not that I will qn, kama wamependana shauzi zao .
....... ila haijakaa vizuri hii
 
Aksante saba mydia....................but I think inategemea......I, MJ1 nilipishana naye almost 10 years................ yet I experienced hell.......so I believe and I say again I think Age aint nothing but a number.....mradi kuna penzi la kweli

Mie MJ1 nkikuona na mtu amekuzidi miaka kumi ntakuuliza dada kulikoni labda kama wafuata vingine ati...........ndo yaleyale ya kufumba macho na kuvuta hisia za John wakati uko na Juma ........:doh:
 
Mie MJ1 nkikuona na mtu amekuzidi miaka kumi ntakuuliza dada kulikoni labda kama wafuata vingine ati...............
ndo yaleyale ya kufumba macho na kuvuta hisia za John wakati uko na Juma ........:doh:

Hahaha acha tu kaka unajua sie kina dada huwa tunajidanganya kuwa mtu akikuzidi sana umri anakuwa ameshamaliza maruwe ruwe yote, amesettle na anajua kulea loh.......anayetaka somo anitafute.......mbona nililivua mie pendo...........nadhani inategemea mtu na mtu wajameni
 
Mie ndo hapo nasemaga kuishi na mwanamke inataka ujasiri na umakini wa hali ya juu...........
unaanza shkamoo, then shka ........... the hujambo .......... siju huko mwisho ....... vipi
we zoba umeshindaje ............ mie naona age-mate +/- 3, hata ikifikia huko kuzodoana
haifedheheshi sana .......... my be I am just being naive ..................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom