Dodoma

Bollo Yang

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
440
50
Habari wana ndugu wote,

Nimeingia Dodoma kwa mara ya kwanza jana jioni, nipo town najaribu kutafuta sehemu ya masaji (Massage Parlour) but sijafanikiwa kabisa.

Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kunielekeza mahala ambapo huduma inapatikana nitashukuru sana.

Ahsante
 
mkiwa dar massage parlour mnazisoma magazetini, mkiwa nje na dar mnajifanya watu wa kufanyiwa masaji. Unataka changudoa au masaji? kuwa mkweli
 
Nahitaji masaji kiukweli kabisa, kama ningekua nataka changudoa ningetafuta kimya kimya! lol
 
Nenda mtaa wa ONE-WAY!..Ukikosa hapo nenda KIKUYU FLATS, pale huwezi kosa!
 
Nahitaji masaji kiukweli kabisa, kama ningekua nataka changudoa ningetafuta kimya kimya! lol

Nenda Double M Saloon mlango wa kuingilia viwanja vya Sabasaba.........Au waweza kwenda maeneo ya barabara ya Sita kwa Lajii Freedom Hair Cutting Saloon mkabala na Peter Fashion.............
 
Mi bado ni mgeni kabisa huku, nimeingia jana jioni. Naweza kupata contacts?

We ulizia mtu yeyote ilipo Double M Saloon ama Lajii Freedom Hair Cutting Saloon....Ukifika huko utasaidiwa namna ya kupata huduma unayohitaji
 
please would someone explain on this technicality,how come this thread has zero views but has six replies-or is it my computer has seen better days?
 
ulizia rajii freedom saloon
mpaka jana ulikuwa hujawahi fika dodoma?!
sasa kule iponya makalia utafika kweli?
 
Angalia sana mkuu! Hiyo inaitwa "Idodomya", usijetitia au titimizwa ha wenyewe. Mmmh, JF kuna raha sana. Udumu JF wetu. Tunakupenda.
 
please would someone explain on this technicality,how come this thread has zero views but has six replies-or is it my computer has seen better days?

pia mimi nimeliona hilo ndio nilikuwa najiuliza, ila labda ni tatizo dogo litajirekebisha
 
hizo sehemu zote walizokueleza ni vituo vya machangu. sema kwanza ukiwa dar masaji unafanyiwa wapi
 
Mkuu labda kawaulize waheshimiwa pale wanaweza kukusaidia
Habari wana ndugu wote,

Nimeingia Dodoma kwa mara ya kwanza jana jioni, nipo town najaribu kutafuta sehemu ya masaji (Massage Parlour) but sijafanikiwa kabisa.

Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kunielekeza mahala ambapo huduma inapatikana nitashukuru sana.

Ahsante
 
hizo sehemu zote walizokueleza ni vituo vya machangu. sema kwanza ukiwa dar masaji unafanyiwa wapi

Acha mawazo finyu na kuchafua watu bana...,nani kakwambia Double M Hair cutting Saloon na Lajii Fredom Hair Saloon ni vituo vya machangu????.....Maneno huumba........
 
Ni muda nami sijafika ila kwa kupata mwenyeji wa kukuongoza nenda double road karibu na air port kuna CHAKO NI CHAKO utapata mwenyeji na atakuelekeza uwe muwazi zaidi vinginevyo utapata huduma tofauti. kuwa makini bunge linaendelea
 
Back
Top Bottom