Dodoma: Yaliyojiri Mkutano Mkuu maalum wa CCM, mabadiliko yamepitishwa, Arfi na Machali wahamia CCM

Nimejaribu kufuatlia protoko kule Dodoma pale Rais wa Zanzibar anaposahaulika na kupewa nafasi ya mwisho utafikiri wakuja.
 
Ha ha ha haaaa.. Machali Bwana, Wallah hatodumu huko, mambo mengi Sana yatakua yanasutana na nafsi yake.
 
uite watu malofa uhudhurie kikao safi sana awamu ya 3 nakuja na ndizi ya zawadi kutoka kaskazini
 
Nadhani Mwenyekiti aligundua kuwa ikipigwa kura ya siri mabadiliko yangeweza kwama...ndo maana kaamua kura iwe ndiooooo/siyoooo

Ila kuna kitu nimeshindwa kuelewa maana kinana mwanzoni alisema ili mabadiliko yapite inatakiwa sehemu fulani ya wajumbe Kutoka bara na nyingine Kutoka visiwani. Sasa hyo kura ya Ndioooo...inaletaje maana kwa hzo asilimia za bara na visiwani.

Kama hujui uliza
siyo kujifanya mjuaji kumbe boga!!
Akisi ya wajumbe ndani ya mkutano mkuu
iwe theluth mbili kila upande ndani ya Ukumbi
yaani walio Hudhuria
 
Waabudu sanamu wako ccm na ndio wametuletea vioongozi wote walioitawala inchi hii toka imepata uhulu
 
Katika mkutano wa CCM ulioisha hivi punde Shein amemaliza hotuba yake na kusema "sasa nimkaribishe Mwenyekiti afunge mkutano wake, sijui kama ni protokali au vipi".

Ila kuna la zaidi ya hapa. Katika mtiririko wa waliohutubia viongozi wakuu wote walimaliza, infact Kikwete ndio alikuwa mwisho. Ndipo wakaanza.

Kukaribisha wageni mbali mbali. Machali akakaribishwa na kuhutubia, Dr. Yared Fubusa, na Arfi na wasanii mbalimbali ndipo sasa wakati wanataka kufunga wakambuka kumbe wamemsahau Dr Shein. Ndipo alipokaribishwa kuhutubia kwa unyonge na kumalizia kutups dongo hilo.

Ndugu Polepole, ama kweli leo umevuruga protokali! Kina Machali na Fubusa umewaona wa maana kuliko Makamu mwenyekiti wa CCM? Hii ni mihemko au nini?
Lipumba nae aende tu ccm au kazi aliyotumwa haijaisha???
 
Kwa Mahitaji Ya Nguo Za Kiume za Kijanja Hapa Nchini
Tembelea
Black_Shop_Online
*Instagram*
Delivering wherever You Are in All Regions in Tz
WhatsApp or Call
*0713078949*
Best
*Quality*
&
*Quantity*
Hizo nguo za kiume za kijanja ni sare za ccm???
 
Back
Top Bottom