Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
nyie watu mna mambo sanaHebu angaza angaza uone kama bwana yule yumo?
nyie watu mna mambo sanaHebu angaza angaza uone kama bwana yule yumo?
Jitahidi sana kuizuia njaa isihamie kichwaniNjaa ni mbaya...wajukuu zangu mjitahidi kuishinda njaa...
Nadhani Mwenyekiti aligundua kuwa ikipigwa kura ya siri mabadiliko yangeweza kwama...ndo maana kaamua kura iwe ndiooooo/siyoooo
Ila kuna kitu nimeshindwa kuelewa maana kinana mwanzoni alisema ili mabadiliko yapite inatakiwa sehemu fulani ya wajumbe Kutoka bara na nyingine Kutoka visiwani. Sasa hyo kura ya Ndioooo...inaletaje maana kwa hzo asilimia za bara na visiwani.
Lipumba nae aende tu ccm au kazi aliyotumwa haijaisha???Katika mkutano wa CCM ulioisha hivi punde Shein amemaliza hotuba yake na kusema "sasa nimkaribishe Mwenyekiti afunge mkutano wake, sijui kama ni protokali au vipi".
Ila kuna la zaidi ya hapa. Katika mtiririko wa waliohutubia viongozi wakuu wote walimaliza, infact Kikwete ndio alikuwa mwisho. Ndipo wakaanza.
Kukaribisha wageni mbali mbali. Machali akakaribishwa na kuhutubia, Dr. Yared Fubusa, na Arfi na wasanii mbalimbali ndipo sasa wakati wanataka kufunga wakambuka kumbe wamemsahau Dr Shein. Ndipo alipokaribishwa kuhutubia kwa unyonge na kumalizia kutups dongo hilo.
Ndugu Polepole, ama kweli leo umevuruga protokali! Kina Machali na Fubusa umewaona wa maana kuliko Makamu mwenyekiti wa CCM? Hii ni mihemko au nini?
Kama hujui uliza
siyo kujifanya mjuaji kumbe boga!!
Akisi ya wajumbe ndani ya mkutano mkuu
iwe theluth mbili kila upande ndani ya Ukumbi
yaani walio Hudhuria
Kama hujui uliza
siyo kujifanya mjuaji kumbe boga!!
Akisi ya wajumbe ndani ya mkutano mkuu
iwe theluth mbili kila upande ndani ya Ukumbi
yaani walio Hudhuria
Nimekodoa macho,na kufungua maskio yangu sijasikia hizo kanuni.Mbona kanuni hazikusomwa?&u ndo watu wameuza mbuzi ndani ya gunia?
Hizo nguo za kiume za kijanja ni sare za ccm???Kwa Mahitaji Ya Nguo Za Kiume za Kijanja Hapa Nchini
Tembelea
Black_Shop_Online
*Instagram*
Delivering wherever You Are in All Regions in Tz
WhatsApp or Call
*0713078949*
Best
*Quality*
&
*Quantity*