Dodoma: Wabunge wadai nyongeza ya Posho na Mishahara yao kwa Hoja Dhaifu

Jamani Chadema imeishiwa sasa inataka pesa ili kujiandaa na uchaguzi wa 2015 na kuendeleza maandamano isabu zao sasa zimeenda kombo. Tunaomba wenye dhamana za hilo wasipandishe mishahara wala posho bungeni mpaka bunge lijalo

Punguza ushabiki wa siasa za Magamba, na sio vizuri kuandika madudu kama haya.
 
Jamani Chadema imeishiwa sasa inataka pesa ili kujiandaa na uchaguzi wa 2015 na kuendeleza maandamano isabu zao sasa zimeenda kombo. Tunaomba wenye dhamana za hilo wasipandishe mishahara wala posho bungeni mpaka bunge lijalo
Serikali iliyofilisika itawaongozea vipi mshahara na posho wakati inashindwa kabisa hata kujitegemea kwa matumizi ya kawaida. Wabunge hao wanaojenga hoja hizo naona bado hawana akili nzuri za kutambua mambo mepesi kabisa.
 
huyu mtu anapst 16 nahic ametoa hii mada ili abishane aongeze idad amkute invisble
 
Sasa Chadema walikuwa wanamshambulia kwa nini Shibuda leo wote wanataka mshahara na posho ziongezwe..

Au dola imepanda?
 
Sasa Chadema walikuwa wanamshambulia kwa nini Shibuda leo wote wanataka mshahara na posho ziongezwe..

Au dola imepanda?
Hii ndio raha ya mpumbavu asiyejitambua,hutumia mkono na kinyesi kuandika chochote.
 
Back
Top Bottom