DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Sio mambo yetu kwa awamu zilizopita, kwa sasa haya ni mambo yetu kabisa

*kutekana
*kutolea watu bastola mbele ya hadhara
*na sasa imefiki kushambulia kabisa
*ngoja tusubiri watalipua wapi baada ya ofisi za mawakili

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hio inaeleweka kabxaaa
Nikitu cha aibu saana kwa nchi kama yetu hii nchi ya Amani ktk bara La Afrika
Kupatwa na mkasa kama huo,,
Medias/Blogs zote za nje HEADLINE ni Lissu
Wakuu leo ijumaa ni siku kubwa saana kwa waislam ningewaomba tuzidi kumuombea Dua huyu Mtanzania mwenzetu
 
image ya nchi inaharibiwa na hawa waalifu waliofanya hili shambulio, nimeona amnesty, bbc, new york times, aljazeera etc...hii sio picha nzuri, haya sio mambo yetu kabisa.



Suala sio wanaongeleaje, cha msingi ni kuangalia wanachokisema ni kweli au siokweli! Kama ni kweli its OK na kama sio kweli HATUA ZICHUKULIWE KUONDOA KUCHAFULIWA BILA SABABU
 
Kuna mtu humu anaitwa WABERAYO, uwe unabakisha akiba ya maneno.

"Lissu bana, sniper wanafanya kazi gani? au wanamuogopa yeye nani? akiuawa raia gani atafanya nini kwa nchi hii ya Tanzania?....
Lissu ana nini cha kufuatiliw? kawakaba kuwa na yeye ana wataalamu wa usalama? au anataka aonyeshe picha gani?

Lissu..."


Hio ni quote ya text uliandika August 18 2017, nadhani mpaka leo bado unakumbuka.
 
Kuna makubaliano ya kitaarifa kati ya Bunge na Jeshi la Polisi kuwa Mbunge Lissu ameshambuliwa kwa risasi kati ya 28-32. Kati ya hizo,amepatwa na risasi tano: moja mkononi,mbili mguuni na mbili tumboni

Risasi husika hazikupigwa sehemu moja. Inaarifiwa kuwa baada ya kuona wanaowafuatilia,Lissu alishauriwa kutoshuka garini na dereva wake na akatii. Kiintelijensia,garini 'alitake cover' kulingana na nafasi iliyokuwepo.

Kufanikiwa kukoswa na risasi 23-27 si jambo dogo. Hakika,Lissu amethibitisha ukamanda wake katika kutetea uhai wake. Naamini,Lissu amesaidiwa na mafunzo ya kiulinzi na kiusalama huko JKT. Kamanda Lissu akirejea,atakuwa imara zaidi!

Bunduki za kivita kwa Wabunge ni za nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
 
Kuna mtu humu anaitwa WABERAYO, uwe unabakisha akiba ya maneno.

"Lissu bana, sniper wanafanya kazi gani? au wanamuogopa yeye nani? akiuawa raia gani atafanya nini kwa nchi hii ya Tanzania?....
Lissu ana nini cha kufuatiliw? kawakaba kuwa na yeye ana wataalamu wa usalama? au anataka aonyeshe picha gani?

Lissu..."


Hio ni quote ya text uliandika August 18 2017, nadhani mpaka leo bado unakumbuka.
......
......asante sana Mkuu
 
inahitaji kila mwananchi awe mjeshi au polisi kama ilivyo rwanda, manake kule kila mtu ni askari, au waisrael kuwa kila mtu ni mjeshi matukio kama haya mtu aweze pambana au kukwepa
 
Back
Top Bottom