DODOMA: Spika Ndugai aeleza sababu ya kiongozi wa upinzani bungeni kutokuwa na gari lake

Ndugai acha kutumika kisiasa kumbuka mwenzako sita aliharibu kipindi cha bunge la katiba tu kikatosha kuhukumiwa na wananchi hata ile siku baada ya kuwa amekufa,cheo ni dhamana kuna siku na wewe hautakuwa na hayo mamlaka ndo utakumbuka na wale uliowanyanyasa enzi zako
 
..anachopendekeza Spika ni sawa na kusema serekali isiwe na watumishi, Mawaziri waandae bajeti zao wenyewe na kuziwasilisha bungeni.

..kambi ya upinzani bungeni lazima ipatiwe watumishi watakaosaidia kufanya utafiti utakaosaidia kambi ya upinzani kutekeleza jukumu lake la kuishauri, kuisimamia, na kuikosoa serekali.

..watumishi wa kambi ya upinzani walitakiwa waondolewe baada ya bunge kukamilisha taratibu za kuajiri watumishi wapya.

NB:

..Spika amezungumzia kuhusu uwezo wa wabunge kuandika hotuba au maoni.

..Sasa ni vizuri Spika akatofautisha kati ya hotuba binafsi za wabunge wa upinzani, na hotuba za kambi rasmi ya upinzani bungeni.
 
Speaker yafaa asitokane na chama cha siasa kwani madhara yake yanaonekana wazi ambapo Speaker anakuwa ni kibaraka wa watawala. Very Shameful.
 
jkt madereva wapo kibao tu wanashindwa kuwaza ajira au wampe gari atafute dereva wao walipe kama kawaida tatizo liko wap
Hujuma na visasi wamuachie nanii .haya ni makusudi mazima hana ataa aibu kwa majibu Hayo . ajiulizi kama na wananchi watajiuliza je Ingekuwa ni yeye Spika angefanya hivyo .sana Sana tunafundishwa chuki
 
Sababu zisizo na mashiko,bora angekaa kimya tu.
Swala la malipo ya matibabu na Mh.Lisu nayo alitoa majibu mepesi.
Tanzania tuna ombwe la uongozi kwenye baadhi ya mihimili:Itatugharimu.
Sio baadhi ni karibia kote kunapwaya kama sio siasa mpya awamu hii tunafundishwa visasi na chuki
 
Yaani napata hasira kuona mtu mzito kama Spika anatoa majibu ya kitoto kama hayo!
Pole sana ndugu inauma sana kuona watu wenye akili kama hizi ndio viongozi unajiuliza mtu uwa anastaafu ghafla au vipi!! kazi ya udeleva ina ugumu gani mpk akosekane mtu mwingine kwa miaka kadhaa na wkt huyo ndugu anastaafu kwanini hakuandaliwa mtu mwingine kuchukua nafasi kwani ilikuwa inafaamika kuwa mhusika atastaafu muda wowote ule?
 
Leo nimechefukwa na kitendo cha kumnyang'anya gari Mbowe.
This is int fair. If politics is the game, lets play by the standards.
Kitendo cha kutoa visababu vya kitoto kitoto kwa mtu mzima, kunaaibisha kiti naheshima ambayo jamuhuri imekupatia.
What is the car by the way? Siku hizi hata fresh graduates wanayamiliki!
Embu mrudishieni Mbowe gari lake mara moja kabla sijachefukwa zaidi.
Ngoja niishie hapo maana nikiendelea...
Chicken-Sitting-on-Eggs.jpg
 
Back
Top Bottom