docta na munua Vigra.

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata kupiga bao 18 bila kuchoka ila itategemeana na nguvu ya binti atakae tembea nae na akamsisitiza kuwa kutumia hi dawai binti hawezi akakuacha hata mzazi wake akifanyaje kutokana na dozi atakayopewa. tena dokta akamuulza kijana anategemea kuwa na game lini, kijana akamjibu siku hiyohiyo baadae kidogo. hivyo dr. akamsisitiza kijana anywee hapopo, ili baada ya lisaa ianze mambo yake. kijana akatii na akanywa ile dawa. baada ya kijana kuondoka kulikuwa na jamaa mmoja akawa anmwambia dokta huyu kijana aliyetoka hapa huwa anatembea na binti yako. na wanapendana sana. dr. akavuta kumbukumbu binti yake alimuaga ataenda kumtembelea rafiki yake na anategemea atachelewa au atalala huko kabisa. ungekuwa wew ndo dr. ungefanya nn? ukizingatia viagra aliyonunua kijana ndo itaende kumtendea kaz binti yako?
 
Kama ingekuwa mimi, najuwa kuwa hamna kijana ambae anaweza kununuwa viagra. Kidonge kimoja cha 50mg ni sh 30,000/- Labda kama ananunuwa sildenafil citrate molecule kwa trade mark ingine. Labda ya India au Malaysia. Ina impurities nyingi na nina uhakika kuwa ataumwa na kichwa sababu ya hizo impurities. Kwa hiyo hata kuwa na uwezo wa kumbamiza kama alivyo dhamiria.

Waaala nisingejali. Na siajabu angepata priapism. Ha Ha Haaaa.
 
Dah!
Mkuu katika sentensi zako hebu tumia lugha ya Taifa basi angalau na sisi tuambulie unachokisema?
 
Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata kupiga bao 18 bila kuchoka ila itategemeana na nguvu ya binti atakae tembea nae na akamsisitiza kuwa kutumia hi dawai binti hawezi akakuacha hata mzazi wake akifanyaje kutokana na dozi atakayopewa. tena dokta akamuulza kijana anategemea kuwa na game lini, kijana akamjibu siku hiyohiyo baadae kidogo. hivyo dr. akamsisitiza kijana anywee hapopo, ili baada ya lisaa ianze mambo yake. kijana akatii na akanywa ile dawa. baada ya kijana kuondoka kulikuwa na jamaa mmoja akawa anmwambia dokta huyu kijana aliyetoka hapa huwa anatembea na binti yako. na wanapendana sana. dr. akavuta kumbukumbu binti yake alimuaga ataenda kumtembelea rafiki yake na anategemea atachelewa au atalala huko kabisa. ungekuwa wew ndo dr. ungefanya nn? ukizingatia viagra aliyonunua kijana ndo itaende kumtendea kaz binti yako?

Chamsingi ni kuwaandalia mazingira mazuri ya kuja kuoana maadamu wawe wanapendana kwa dhati.{ingawa sinahakika sana kama hii maada hapa ni mahali pake sahihi}
 
Back
Top Bottom