Ouattara married his wife, Dominique Nouvian Folloroux, who is a French Roman Catholic Pied-Noir, in a 1991 wedding ceremony held in the town hall of the prestigious 16th arrondissement. Although there have been claims that the marriage ceremony was presided over by French President Nicolas Sarkozy when he was mayor of Neuilly, this was not actually the case.http://en.wikipedia.org/wiki/Alassane_Ouattara#cite_note-7
Karibuni marais wote wa Afrika ni vibaraka!Tatizo ndo lipo hapo, yule ni kibaraka tu wa nchi za magharibi...
Tatizo ndo lipo hapo, yule ni kibaraka tu wa nchi za magharibi. Angekuwa ni kwa ajili ya raia wa ivorycoast asingekubali wananchi wafe ili aingie madarakani, kwani wangapi wanadhulumiwa kura ktk afrika, mbona wengi tu lakini hawaanzishi vita? sembuse yeye?
It seems Ouattara is not fighting to be in power for Ivorian's interest BUT for Western countries's! Is there any substance in this?
Samahani Kigogo, kwa kuwa tupo kwenye international forum nilitaka kujumuisha wengi zaidi, kumbe nilisahau kuwa kiswahili ndio lugha kubwa kabisa ya kiafrica.wewe sio lazima uandike kiingereza hata ukiandika kikwere tutakuelewa tu ..sasa hiyo heading ndo nini ulitaka kuandika
Interracial=Multiculturalism=Globalization! Hola!!!!