MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 952
- 354
Hata Quatara hana asili ya Ivory Coast kama sikosei ni Gambia alipoonekana tishio kuna sheria ilitungwa kumuondolea sifa za kugombea urais zilizohusishwa na uzawa na asili ya mgombea baada ya hapo Gbagbo akabadili sheria hiyo iliyomrejeshea Quatara sifa ya kugombea.
Mkuu zilikuwa ni fitna za wabinafsi wacheche kumzuia huyu jamaa asigombee,fuatilia mambo vizuri Bagbo ni muumini mkubwa wa huo ubaguzi dhidi ya watu anaodai si wazawa wa cote d'ivoire (yeye huiita hiyo sera ivorite).Lakini Outarra aliteuliwa na rais wao wa kwanza Felix Boigny kuwa waziri mkuu na aliperfome vizuri na hapo ndo alipoanza kuwa kwenye limelight.Yaleyale ya Kina Kaunda na Chiluba!Africa haiwezi kuendelea kwa viongozi aina ya kina Bagbo