hahaha!,kuna huyo mmoja mwenye shati la damu ya mzee kaweka mikono nyuma ktk hali ya kukata tamaa kabisaaa.
halafu yule chekbob mwenye mwenye tshirt lenye mistari ya blu na meusi,tembea yake ya kujichokea.
ila yote tisa,huyo "dayasipora" mwenye "naiki eya" ni shedaaaaa.yaani ni mmatumbi pyuaaaa.lmao
tatizo ninyi ni wavivu wa kufikiri.. mbona alishaeleza ... bado watu wanakuja wanauliza bila kusoma previous posts! nani anataka kujibu maswali mara kumikumi..?
wengine wanauliza ili kukejeli tu...? up.umbavu huo hata mi sivumilii aisee
usipende kuomba msamaha kwa mtu chizi kama huyu..anaandika tu DMV kimenuka,then what? anahisi kama DMV is something very vital kila Mtanzania anajua..upuuzi mtupu,watu wenyewe anazungumzia 28 ambao hawajai hata kwenye canter,anatutajia majina tu utadhani wanaoingia JF ni DMV pekee yao
Halafu ndio mnataka uraia pacha! Mkafie mbali huko; mtuachie nchi yetu salama.
Mahudhurio mkutano mkuu wa jumuia dmv yakatisha tamaa
Polisi waitwa kutuliza hali ya hewa
Nje ya wanachama hai 586, ni wanachama 28 tu wahudhuria
Solomon cris auliza swali kuhoji uhalali wa mkutano mkuu kwa kukosa 2/3.
Wanachama 28 walio hudhuria mkutano nje ya wanachama hai 586, na ni nje ya 430 walio piga kura
Hamza Mwamoyo Menyekiti wa Boar akihoja uhalali wa uchaguzi kwa kutokutolewa report ya fedha
Hapa ni baada ya Solomn Cris kuuliza maswali yaliyo kosa majibu na uongozi wa jumuia kuanza kumshambulia
Solomon na Dotto wakisema mkutano huu mkuu ni batili kwa kukosa 2/3 ya wanachama hai 586
Solomn Cris na Dotto wakiwa na Polis ambapo mwisho wa maongezi waliombwa kuondoka ili kuzuia shari
Wengi bado wanaupinga uongozi wa Jumuia ya DMV kwa kukosa uhalali
Hapa ni baadaya ya watu wengi kutawanyika
Bado hakieleweki; watu wametoka nje
Mahudhurio mkutano mkuu wa jumuia dmv yakatisha tamaa
Polisi waitwa kutuliza hali ya hewa
Nje ya wanachama hai 586, ni wanachama 28 tu wahudhuria
Solomon cris auliza swali kuhoji uhalali wa mkutano mkuu kwa kukosa 2/3.
Wanachama 28 walio hudhuria mkutano nje ya wanachama hai 586, na ni nje ya 430 walio piga kura
Hamza Mwamoyo Menyekiti wa Boar akihoja uhalali wa uchaguzi kwa kutokutolewa report ya fedha
Hapa ni baada ya Solomn Cris kuuliza maswali yaliyo kosa majibu na uongozi wa jumuia kuanza kumshambulia
Solomon na Dotto wakisema mkutano huu mkuu ni batili kwa kukosa 2/3 ya wanachama hai 586
Solomn Cris na Dotto wakiwa na Polis ambapo mwisho wa maongezi waliombwa kuondoka ili
kuzuia shari
Wengi bado wanaupinga uongozi wa Jumuia ya DMV kwa kukosa uhalali
Hapa ni baadaya ya watu wengi kutawanyika
Bado hakieleweki; watu wametoka nje
Hiyo MDV ndiyo nini?
Hawa hawa walitangaza dunia nzima kuwa hawatambui uongozi wa jumuiya hii. Kumbe wanawatambua na wameitikia wito wa mkutano?? Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Jamani nimekumbuka kicheko cha mahoka......Seriously maana ukitoa tamko please stick to it, huwatambua lala nyumbani acha wale wanaowatambua wawasikilize na on top o that mnawauliza maswali OMG!!! SO YOU RECOGNIZE THEM!!! MSAADA TUTANI WAJAMENI IM REALLY CONFUSED......:crazy: