DMV Kimenuka ni wazi uchaguzi ulichakachuliwa

Hebu kajambe mbele siyo lazima kila thread ukate viuno wakati hujui lolote.

Lakini ndugu yangu Matola, hivi kwani ungeandika DMV ni jumuiya au chama cha watanzania wanaoishi, mji kuu wa Marekani yaani Washington DC kwa maana ya District of Columbia, jimbo la Maryland na la Virginia (DMV) ingekugharimu nini? Wakati mwingine sio kila mtu anayekuja hapa anaelewa hayo mambo makubwa ya huko uzunguni. Wengine wanauliza kwa ajili ya kuwasaidia wengine waelewe vizuri kile ulichotaka kieleweke, kwa hiyo ushirikiano ni muhimu ili ulicholenga kifike kwa hadhira yako kinafika ipasavyo.
 
nilikuwekea mtego nione jinsi ulivyokilaza #1 , nimekunasa kwa jinsi tu ulivyojibu naamini kwamba wewe una matatizo. Kama una akili timamu rekebisha post zako zikae kisomi matusi hayasaidii nakama nimekukosea basi naomba unisamehe mkuu

Sipendi kutukana lakini huyu Matola ni mtata, anaona ubaya gani kuleza kirefu cha DMV. Ni sawa na mtu anayetumia maneno kama DC Metro areas hivi kama mtu hajawahi kufika DC (District of Columbia pale Washington) atajuaje mambo ya Metro. Saa zingine Watanzania tunakuwa limbukeni wa ajabu sana. Na hii inaleta mashaka sana kama kweli Matola ni Great Thinker. Tunataka JF isonge mbele kwa kujenga hoja badala ya kukaa kutukanana matusi ya namna hii. Ni nani alikwambia kuwa Whatsapp inatumika tu kuoneshana chupi tu. Jaribu kujirekebisha bw Matola. Usitumie nafasi ya kutokujulikana kutukana watu. Tueleze hiyo DMV ni nini, wala huchukui sekunde 5 kufanya hivyo.
 
Da! Matola mbona unakuwa mbabe hivyo?! Watu wana haki ya kuuliza kujua hiyo DMV ni nini kama hawajui; waeleweshe kaka! Hata mie sikujua ni nini hicho mpaka niliposoma post nyingi.
 
Lakini ndugu yangu Matola, hivi kwani ungeandika DMV ni jumuiya au chama cha watanzania wanaoishi, mji kuu wa Marekani yaani Washington DC kwa maana ya District of Columbia, jimbo la Maryland na la Virginia (DMV) ingekugharimu nini? Wakati mwingine sio kila mtu anayekuja hapa anaelewa hayo mambo makubwa ya huko uzunguni. Wengine wanauliza kwa ajili ya kuwasaidia wengine waelewe vizuri kile ulichotaka kieleweke, kwa hiyo ushirikiano ni muhimu ili ulicholenga kifike kwa hadhira yako kinafika ipasavyo.

Uko sahihi ESAM. Sio wana JF wote wanakaa marekani, na ni haki ya kila mwana JF kusoma na kuelewa maudhui yaliyomo humu, kulingana na taratibu. Naamini ameelewa, tunasubiri aombe msamaha, ni muungwana huyu, ana utamaduni wa majuu.
 
Sipendi kutukana lakini huyu Matola ni mtata, anaona ubaya gani kuleza kirefu cha DMV. Ni sawa na mtu anayetumia maneno kama DC Metro areas hivi kama mtu hajawahi kufika DC (District of Columbia pale Washington) atajuaje mambo ya Metro. Saa zingine Watanzania tunakuwa limbukeni wa ajabu sana. Na hii inaleta mashaka sana kama kweli Matola ni Great Thinker. Tunataka JF isonge mbele kwa kujenga hoja badala ya kukaa kutukanana matusi ya namna hii. Ni nani alikwambia kuwa Whatsapp inatumika tu kuoneshana chupi tu. Jaribu kujirekebisha bw Matola. Usitumie nafasi ya kutokujulikana kutukana watu. Tueleze hiyo DMV ni nini, wala huchukui sekunde 5 kufanya hivyo.

mkuu tunashukuru kwa ufafanuz mzuri
 
DMV = DC, Maryland, Virginia.

Maelezo mengine soma thread utaelewa.
Matola na habari zako za DMV, hivi mngetarajia idadi hiyo kubwa ya watu wangekaa wapi? Viti vinaonekana viliwatosha waliohudhuria!
 
Hongereni Wana DMV kwa kusimama kidete kupinga dhuluma ambayo hao CCM wamefundishwa kutoka nyumbani kuchakachua Uchaguzi. Msimamo huo huo kutoka na MABANGO kila kukiwa na shughuli yoyote ile
 
Matola
Umempanda chati siku hizi badala ya kuongelea majimatitu leo unaongelea DMV!
 
Last edited by a moderator:
nilikuwekea mtego nione jinsi ulivyokilaza #1 , nimekunasa kwa jinsi tu ulivyojibu naamini kwamba wewe una matatizo. Kama una akili timamu rekebisha post zako zikae kisomi matusi hayasaidii nakama nimekukosea basi naomba unisamehe mkuu

usipende kuomba msamaha kwa mtu chizi kama huyu..anaandika tu DMV kimenuka,then what? anahisi kama DMV is something very vital kila Mtanzania anajua..upuuzi mtupu,watu wenyewe anazungumzia 28 ambao hawajai hata kwenye canter,anatutajia majina tu utadhani wanaoingia JF ni DMV pekee yao
 
Dah! Kweli ughaibuni kugumu.Hii chata ya Nike tulikuwa tunavaa hapa bongo miaka ya 90.
 
Attachments

  • 1410204288004.jpg
    1410204288004.jpg
    49 KB · Views: 123
nilikuwekea mtego nione jinsi ulivyokilaza #1 , nimekunasa kwa jinsi tu ulivyojibu naamini kwamba wewe una matatizo. Kama una akili timamu rekebisha post zako zikae kisomi matusi hayasaidii nakama nimekukosea basi naomba unisamehe mkuu

usipende kuomba msamaha kwa mtu chizi kama huyu..anaandika tu DMV kimenuka,then what? anahisi kama DMV is something very vital kila Mtanzania anajua..upuuzi mtupu,watu wenyewe anazungumzia 28 ambao hawajai hata kwenye canter,anatutajia majina tu utadhani wanaoingia JF ni DMV pekee yao
 
Tanzania Diaspora sasa mmeanza kutoka usingizini, mmeanza sasa kuujua unafiki wa Ma-CCM! BIG UP!!!!
 
Dah! Kweli ughaibuni kugumu.Hii chata ya Nike tulikuwa tunavaa hapa bongo miaka ya 90.

hahaha!,kuna huyo mmoja mwenye shati la damu ya mzee kaweka mikono nyuma ktk hali ya kukata tamaa kabisaaa.
halafu yule chekbob mwenye mwenye tshirt lenye mistari ya blu na meusi,tembea yake ya kujichokea.

ila yote tisa,huyo "dayasipora" mwenye "naiki eya" ni shedaaaaa.yaani ni mmatumbi pyuaaaa.lmao
 
Sipendi kutukana lakini huyu Matola ni mtata, anaona ubaya gani kuleza kirefu cha DMV. Ni sawa na mtu anayetumia maneno kama DC Metro areas hivi kama mtu hajawahi kufika DC (District of Columbia pale Washington) atajuaje mambo ya Metro. Saa zingine Watanzania tunakuwa limbukeni wa ajabu sana. Na hii inaleta mashaka sana kama kweli Matola ni Great Thinker. Tunataka JF isonge mbele kwa kujenga hoja badala ya kukaa kutukanana matusi ya namna hii. Ni nani alikwambia kuwa Whatsapp inatumika tu kuoneshana chupi tu. Jaribu kujirekebisha bw Matola. Usitumie nafasi ya kutokujulikana kutukana watu. Tueleze hiyo DMV ni nini, wala huchukui sekunde 5 kufanya hivyo.

tatizo ninyi ni wavivu wa kufikiri.. mbona alishaeleza ... bado watu wanakuja wanauliza bila kusoma previous posts! nani anataka kujibu maswali mara kumikumi..?

wengine wanauliza ili kukejeli tu...? up.umbavu huo hata mi sivumilii aisee
 
Kama unaakili nzuri lazima utajiongeza mwenyewe, umetoa post halafu watu wote wanaocomment wanataka uwafafanulie ww unawatukana huoni kwamba ndio upumbavu wenyewe huo.
 
Back
Top Bottom