Tuhuma ya Dkt. Slaa kuhongwa, TAKUKURU mnapo pa kuanzia

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau suala la RUSHWA ni Janga la TAIFA.

TAKUKURU kama Chombo cha UMMA kinachopambana na Rushwa kitakuwa kimepata Shahidi Muhimu kwenye hili La Dr Slaa Kuhongwa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015 ambaye ni Mfanyabiashara Maarufu Nchini Bw. ROSTAM AZIZI.

Huyu bwana inaonekana ana Ushahidi Muhimu juu ya DR SLAA kuhongwa na atakuwa anamjua Aliyemhonga na kiasi Alicholipwa.

Ni Muhimu sasa kama kweli TAIFA lina nia ya Dhati ya Kupambana na RUSHWA kwa TAKUKURU kuanzisha Uchunguzi wa TUHUMA hii iliyoibuliwa na Mfanyabiashara Rostam Aziz kwani itasaidia kuwabaini wale wote Walioratibu Zoezi la Utoaji wa RUSHWA kwa DR. SLAA na kuwachukulia HATUA KALI za KUSHERIA ili liwe FUNZO kwa Wengine.

Na endapo TAKUKURU itakaa KIMYA kwa hili basi Wananchi tutapoteza IMANI na CHOMBO hiki kwani SHAHIDI yupo kwanini kisimtumie huyo Shahidi.

Pia soma - Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi
 
View attachment 2684845
huyo ukishamtishia hayo mambo ya kesi anakanusha na kuomba radhi fasta!!
 
Wadau suala la RUSHWA ni Janga la TAIFA.

TAKUKURU kama Chombo cha UMMA kinachopambana na Rushwa kitakuwa kimepata Shahidi Muhimu kwenye hili La Dr Slaa Kuhongwa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015 ambaye ni Mfanyabiashara Maarufu Nchini Bw. ROSTAM AZIZI.

Huyu bwana inaonekana ana Ushahidi Muhimu juu ya DR SLAA kuhongwa na atakuwa anamjua Aliyemhonga na kiasi Alicholipwa.

Ni Muhimu sasa kama kweli TAIFA lina nia ya Dhati ya Kupambana na RUSHWA kwa TAKUKURU kuanzisha Uchunguzi wa TUHUMA hii iliyoibuliwa na Mfanyabiashara Rostam Aziz kwani itasaidia kuwabaini wale wote Walioratibu Zoezi la Utoaji wa RUSHWA kwa DR. SLAA na kuwachukulia HATUA KALI za KUSHERIA ili liwe FUNZO kwa Wengine.

Na endapo TAKUKURU itakaa KIMYA kwa hili basi Wananchi tutapoteza IMANI na CHOMBO hiki kwani SHAHIDI yupo kwanini kisimtumie huyo Shahidi.

Pia soma - Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Tar 22 July lazima kiwake.
 
Acha ujinga ww. Mtu anae qualify kuhongwa kwa mujibu wa sheria ni mtu aliye kwenye mamlaka ya utoaji wa haki au jambo fulani( kutoa upendeleo). Dr Slaa hata angepewa hela wazi wazi bado haiqualify kuwa rushwa. Fisiemu hamnaga akili kabisa?
 
Back
Top Bottom