Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika , Kwamba Balozi Dr Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika , anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya , kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .

Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .

View attachment 2717521
....kwa kesi ya mchongo...
 
Why mbeya?

Wachuna ngozi walianzia mbeya!!!

Mlipuko wa madhehebu Mbeya!!!

DP world waichagua mbeya kujenga msikiti mkubwa mbeya!!

Kesi ya kupinga kubinafsishwa bandari Mbeya!!!

Kesi ya Uhaini Mbeya!!!

Nabii Filikunjombe pia alitokea Mbeya!!!

Prophet Mwabukusi anatokea Mbeya!!!

Mbeya kunani?!¡???
 
Asafirishwe na kufikishwa haraka sana maana hatuwezi kuwalea na kuwaacha watu aina ya Slaa wakiendelea kuchochea machafuko na vurugu hapa nchini kisa tu wamepewa na kuhongwa vifedha. Tulitegemea mtu wa umri wake atumie busara ,hekima katika kupima kauli zake kabla ya kufungua kinywa chake.lakini badala yake amekuwa mtu wa kuongea tu lolote linalotua katika kinywa chake pasipo kupima athari zake katika jamii na usalama wa Taifa letu.

Hata hivyo alichokuwa amesahau ni kuwa kwa sasa watanzania walishampuuza na hakuna mwenye akili Timamu awezaye kumsikiliza wala kumuunga mkono. Hakuna anayemuamini wala haaminiki machoni pa Watanzania.Ameshindwa kujiongoza acha aongozwe kwa sheria. Hastahili kuitwa Balozi maana ni Balozi wa kuhamasisha machafuko na uhaini kwa Taifa letu ,.Anataka serikali ipinduliwe baada ya kuona njia za halali hawezi kufanikiwa na kufanikisha ajenda zake.Hakuna wa kumuunga mkono wala kuambatana naye kikauli.
 
Sasa akipelekwa Mbeya ndo shida ya dawati au tatizo la ajira litaisha nchini
Acha apelekwe tu ili akajibu mahakamani.masuala ya madawati sijui ajira yanatekelezwa vizuri sana na serikali yetu,.miezi michache iliyopita serikali yetu imemwaga maelfu ya ajira kwa vijana katika kada za ualimu ,afya n.k.kila mwaka inafanya hivyo na inaendelea kufanya hivyo.wachochezi wote ni lazima wasakwe popote walipo na kutupwa ndani .
 
Asafirishwe na kufikishwa haraka sana maana hatuwezi kuwalea na kuwaacha watu aina ya Slaa wakiendelea kuchochea machafuko na vurugu hapa nchini kisa tu wamepewa na kuhongwa vifedha. Tulitegemea mtu wa umri wake atumie busara ,hekima katika kupima kauli zake kabla ya kufungua kinywa chake.lakini badala yake amekuwa mtu wa kuongea tu lolote linalotua katika kinywa chake pasipo kupima athari zake katika jamii na usalama wa Taifa letu.

Hata hivyo alichokuwa amesahau ni kuwa kwa sasa watanzania walishampuuza na hakuna mwenye akili Timamu awezaye kumsikiliza wala kumuunga mkono. Hakuna anayemuamini wala haaminiki machoni pa Watanzania.Ameshindwa kujiongoza acha aongozwe kwa sheria. Hastahili kuitwa Balozi maana ni Balozi wa kuhamasisha machafuko na uhaini kwa Taifa letu ,.Anataka serikali ipinduliwe baada ya kuona njia za halali hawezi kufanikiwa na kufanikisha ajenda zake.Hakuna wa kumuunga mkono wala kuambatana naye kikauli.
Wewe ulitakiwa uwe Mirembe, muda huu. Hakuna unalojua zaidi ya uchawa wa kijinga jinga tu.
 
Hiv haka kazee Wilbroad Slaa si ndiyo alibwaga Manyanga Upinzani akauza mechi ya Wapinzania kwa Magufuli akakimbilia uhamishoni kwa dau kubwa sana? Baadaye akatunukiwa Ubalozi? Leo hii anaiona tena CCM ni mbaya? Eti inauza bandari? Anaongea kipinzanipinzani? Yaani ni mchumia tumbo mkubwa sana huyu acha wamnyooshe.
 
Asafirishwe na kufikishwa haraka sana maana hatuwezi kuwalea na kuwaacha watu aina ya Slaa wakiendelea kuchochea machafuko na vurugu hapa nchini kisa tu wamepewa na kuhongwa vifedha. Tulitegemea mtu wa umri wake atumie busara ,hekima katika kupima kauli zake kabla ya kufungua kinywa chake.lakini badala yake amekuwa mtu wa kuongea tu lolote linalotua katika kinywa chake pasipo kupima athari zake katika jamii na usalama wa Taifa letu.

Hata hivyo alichokuwa amesahau ni kuwa kwa sasa watanzania walishampuuza na hakuna mwenye akili Timamu awezaye kumsikiliza wala kumuunga mkono. Hakuna anayemuamini wala haaminiki machoni pa Watanzania.Ameshindwa kujiongoza acha aongozwe kwa sheria. Hastahili kuitwa Balozi maana ni Balozi wa kuhamasisha machafuko na uhaini kwa Taifa letu ,.Anataka serikali ipinduliwe baada ya kuona njia za halali hawezi kufanikiwa na kufanikisha ajenda zake.Hakuna wa kumuunga mkono wala kuambatana naye kikauli.
Utadhalilika muda si mrefu
 
Back
Top Bottom